Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baridi inafanya virus awe active kwa mda mrefu.Niliona case kama hii China. Familia ziliambukizwa kupitia AC.But how ?
Kwenu wamekufa wangapi kwa maambukizi yaliyosababishwa na maombi ya rais Magufuli??tujadili:
hakuna ubishi kwamba dar es salaam ni mji ulioathiriwa na kirusi cha corona kuliko miji yote ya jamhuri.
kwa sisi wakazi wa dar es salaam inabidi sasa tupeane tahadhari juu ya maeneo au vitongoji vilivyoathirika zaidi ili kuchukua tahadhari na hasa ikibidi tuzishinikize mamlaka ziviweke kwenye lockdown. mfano kama kitongoji A kinaonekana kina waathirika wengi kitangazwe na watu wake wawekwe lockdown wiki 2 wanunue na kuuza ndani ya kitongoji chao tu wasiende vitongoji vingine na wala isiruhusiwe watu wa kutoka maeneo mengine kuenda kwenye kitongoji hicho.
tuanze kuvitaja.
huku niliko kitongoji changu kina ZERO cases [emoji1431]
Ndugu, kizaazaa ni kila kona, maderava malori huo vijijini wanapokula na kulala sijui hali ipo vipi.Eneo lililoathirika zaidi Bagamoyo Road,kuanzia Mwenge hadi Mapinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti kwa sababu anawageuka na kuwapa lawama wametulia na kukaa pembeni na kusubiri atakapotoa neno ndio wanaenda kulifanyia kazi na kunyamaza tena. Kweli watu wamechoka kuburuzwa kama punda kisha kutolewa kafara. unaambiwa kila idara imeganyika vipande vipande hawajui wafanye lipi waache lipi.so solution wanaona ni kususa tu.
Hata ningekuwa mm kama uniamin kaz uliyonipa na kubeza nakuachia kaz yako au nasusa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best! - JamiiForumsSijaelewa kwanini wakili apewe dhamana ya kuongoza wizara ya afya. Doesn't make sense.