#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Eti kwa sababu anawageuka na kuwapa lawama wametulia na kukaa pembeni na kusubiri atakapotoa neno ndio wanaenda kulifanyia kazi na kunyamaza tena. Kweli watu wamechoka kuburuzwa kama punda kisha kutolewa kafara. unaambiwa kila idara imeganyika vipande vipande hawajui wafanye lipi waache lipi.so solution wanaona ni kususa tu.
wasijifunzie uongozi kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ILO wametupiga chini kutusaidi kisa hatuchachukua hatua za maana kusaidia wafanyakazi katika swala hili la corona.

Document iko kwa Kigogo twitter.
 
Kuacha kazi ni ku RESIGN", Kususa ni hila, , kiburi, ujinga, majungu na kikubwa ni kukosa uwajibikaji na kutokujua kazi.
Tabby kwanini umetoa avatar Picha yako tuliyokuzoea ya yule mwanamama? Halafu ulipoteaga kipindi flani hapa kati
 
Kama mtu anampigisha push up mke wake, anambebesha trip ya lory la mchanga kwa ndoo, anampiga mke wake Hadi analazwa, anasema Yuko busy kiasi kwamba kitandani kwake yamejaa mafaili (mke analala chini).
Unategemea wewe mtu Baki huyu baba akutendee Nini, atakupendaje wakati moyo wakwake umejaa chuki?
Mtu mwenye upendo katu hatotamani watu wake waishi Kama mashetani
 
Wanamsusia nani sasa, si wajiuzulu kama wameshindwa kwenda sawa. Uroho tu unawasumbua.
 
Kama mtu anampigisha push up mke wake, anambebesha trip ya lory la mchanga kwa ndoo, anampiga mke wake Hadi analazwa, anasema Yuko busy kiasi kwamba kitandani kwake yamejaa mafaili (mke analala chini).
Unategemea wewe mtu Baki huyu baba akutendee Nini, atakupendaje wakati moyo wakwake umejaa chuki?
Mtu mwenye upendo katu hatotamani watu wake waishi Kama mashetani
Upendo tulionao kwa baba ni wa uoga. Usipompenda baba walinzi watakuonyezha cha mtema kuni. By fire by force ni lazima wote tumpende Baba.
 
Kuna msemo usemao kwamba usiige kunywa kwa tembo utapasuka msamba

Baada tu ya Shirika la Afya Duniani. Yaani WHO kutangaza kwamba Corona ni Janga la Dunia viongozi wa nchi nyingi Duniani walichukua hatua Kali bila kujali uhalisia wa Mazingira ya ugonjwa huu

Wengi wa Viongozi wa Dunia ya kwanza walijua wanachofanya maana nchi za Ulaya na Marekani wana Utajiri wa kutupa

Maamuzi ya viongozi ya Dunia ya kwanza hayakutakiwa kufanana kwa asilimia kubwa kama maamuzi ya Viongozi wa Dunia ya tatu

Afrika watu wake ni masikini wa kutupwa wanapambana na njaa wanalala hawana chakula wanalala wanawaza vibarua asilimia 95% ya Waafrika hawako kwenye sekta rasimi
.
Viongozi wa Afrika walitakiwa wajue kwamba wataweza kufanya lockdown kwa muda gani

Viongozi wa Afrika walitakiwa wafanye maamuzi ya uhakika na endelevu kwa mfano kuhimiza watu kuchukua tahadhari na kuzuia mikusanyiko yote isiyo rasimi bila kufanya lockdown na maamuzi magumu yasiyo na maana

Tukijua chanjo itakuja baada ya muda mrefu tusingefanya maamuzi ya kukurupuka maana chanjo ndio suluhu

Herd immunity ndio njia nyingine sahihi sana yaani kutengeneza kinga ya jamii
 
Eti kwa sababu anawageuka na kuwapa lawama wametulia na kukaa pembeni na kusubiri atakapotoa neno ndio wanaenda kulifanyia kazi na kunyamaza tena. Kweli watu wamechoka kuburuzwa kama punda kisha kutolewa kafara. unaambiwa kila idara imeganyika vipande vipande hawajui wafanye lipi waache lipi.so solution wanaona ni kususa tu.
Source ya bango lako???
Ama ndivyo mnavyoendelea na mkakati wa uchochezi??
 
Hii ni bahatnasibu. Ugonjwa nao unauwezo wa kutengeneza mutation za ajabu ambazo inawezachukua muda kuonesha dalili ila siku ukiona dalili ndyo umekwisha.

Tena hii itatokea africa sababu kubwa itakuwa ni.

1. Unywaji wa mitishamba isiyokuwa na kiwango maalumu.
Waafrica wengi tumerudi kwenye kutumia mitishamba ili kupambana na corona. Ila hii nayo inaweza kuwa hatari kiafya. Combination ya dawa za asili tunazo kunywa hazina dozi maalumu hivyo basi hii inaweza sababisha corona virus nayo kumutate au kuchange DNA na kuja na hybrid ya virus ambayo ni very strong.

2. Matumizi yasiyo sahihi ya vitakasa mwili.

Hivi sasa ukizunguka mijini kila sehemu kuna sabuni na maji . Sabuni zinazotumika sio zote zipo recommended na WHO. Wengine wanatumia mpaka dawa za kusafisha vyoo, wengine wanadilute sanitizer na wengine wameenda mbali hadi kuchanganya sabuni kwenye maji.
Hii nayo inaeffect kubwa kiafya. Ni ngumu kueleza kwa lugha ya kiswahili ila kwa kifupi hii nayo italeteleza virus kumutate ( sabuni nyingine zinaweza kudamage virus na sio kuiuwa) na kuwa very strong hata sanitizer zisiwe na msaada tena.

3. Utofaut wa hali ya hewa.
Virus inatabia ya kuadopt tokana na mazingira. Adoption inaivolve distortion of DNA. Sasa wenzetu uko wanaumiza kichwa kutafta chanjo kutokana na mazingira yao. Sisi huku africa tumekaa tunasubiri chanjo yao. Usishangae siku chanjo inapatikana ila haiwi effective africa. Kumbuka kipind mripuko unaanza, ilisemekana maeneo ya joto virus havisurvive kwa muda mrefu ila hivi sasa vimepiga kila kona. Mpaka sasa lazima kuna distortion ya Coronavirus DNA ambayo imeleteleza kuwa na Coronavirus inayo straive sehemu ya joto na nyingine sehemu ya baridi.

All in all wote wenye afya duni na magonjwa kama HIV, kisukari, BP, TB, etc wont survive this.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kwa sababu anawageuka na kuwapa lawama wametulia na kukaa pembeni na kusubiri atakapotoa neno ndio wanaenda kulifanyia kazi na kunyamaza tena. Kweli watu wamechoka kuburuzwa kama punda kisha kutolewa kafara. unaambiwa kila idara imeganyika vipande vipande hawajui wafanye lipi waache lipi.so solution wanaona ni kususa tu.
Sio kususa wanasubiri maagizo toka juu.. Ole wako ufanye bila kutumwa.. Barakoa utaiona bakora

Jr[emoji769]
 
Walifikiri korona ni kama chadema , korona inatandika mpaka mapolisi.
jabulani
Wanadhani corona, inatishika kwa Polisi wanaokoki risasi, au mabomu ya machozi, au magari ya washawasha, kama wanavyowafanyia kina Mbowe?

Huyu corona ni "invincible enemy" ambaye hata Marekani, wenye nguvu kubwa kabisa ya kijeshi duniani,ameshindwa kuiangamiza na inamchezesha mchakamchaka.............

This corona pandemic is a big threat to a whole world!
 
Ikimfikia huko mafichoni na kumuangamiza. Watu watasheherekea Sana.

Bia zitaadimika
Itakuwa zaidi ya furaha waliyokuwa nayo.baada ya kupata maluweluwe kule Ruangwa mkoani Lindi.

Sasa hivi wanasubiri bashite apotee atabaki baba yake na kale ka iringa kaliko mdharirisha Dr wakati kenyewe kana vyeti vya history.

Pumbafu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom