#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Nadhani wana assume kua hvyo vingime vimecompromise immunity yako sana ila ulipotokea huo ugonjwa mwili ukaelemewa zaidi na kushindwa kuresist hvyo uka R.I.P... sasa kilichokuua itakua ni huo ugonjwa wa mwsho maana wa mwanza ulikudhoofisha immunity ila hauku-kuua...

alamsiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mwenye HIV(au magonjwa mengine pia) bila ya Corona anaweza kuishi hata miaka 40,sasa kwa nini akifa ghafla baada ya kuvamiwa na Corona unataka tuseme kuwa amekufa kwa sababu ya HIV wakati bila ya Corona hapo angeishi miaka yake 40?
 
Serikali ya JMT na SMZ zote kwa ujumla wangeanza kutuangalia sisi wazee/katika janga hill la corona.

Maana sisi ndio tuko kwenye hatari zaidi, wengine tuna betri + kisukari+Bp .

Pia hata immunity zetu ziko chini ukicompare na vijana.

Sisi hili Taifa la Asali na maziwa, tumeshiliki kulijenga at the great extent

Serikali mtuhurumie wazee.
 
Hata waathirika wa Virusi vya Ukimwi pia wanatakiwa wawe kwenye kundi maalum
 
Tunaona kwa wenzetu Ulaya na Asia kwa namna ugonjwa huu unawadhuru. Tunaona kwa namna ambavyo Italy waziri mkuu analia hadharani kwa jinsi ambavyo ugonjwa huu umeshindikana kudhibitiwa hadi mrusi anasema ataenda kutoa msaada. Kwa wenzetu hili jambo tayari limeshaweka historia mpya kwao hata kama litaisha.

Kwetu sasa. Si tunasema kuwa sisi ni immune? Yaweza kuwa kweli kabisa na tukishapuuzia maisha yanaendelea huku corona akiendelea kuishi baina yetu. Tunaugua mafua na homa tunapona huku corona akiwa ndani hawezi kudhuru ila anaambukizwa kwa mtu mwingine.

Ulaya, Marekani na Asia wakishafanikiwa kuudhibiti huko kwao kitakachofuata ni kuiweka Afrika kwenye total isolation. Hatutaruhusiwa kwenda nje ya Afrika. Wanatuona tunavyoubeza huu ugonjwa. Wakati ukifika tutasaga meno hivyo ndugu zangu, nimeandika kwa uchache ile unumbe umefika. Itakuwa ni zaidi ya Apartheid. Zaidi ya Xenophobia. Tuwe makini nasi kama wananchi tushirikiane na serikali zetu ili Ulaya na Asia wakitokomeza na huku uwe umeisha

Huo ujumbe niliuweka ila Mods wakaunganisha na zingine. sasa tunachoona ni kuwa China wametoa tangazo kuwa wamezuia wageni kuingia China hadi hapo watakapoamua vingine. Hili zoezi kwa kweli litachukua muda mrefu sana hadi pale chanjo itakapopatikana kwani China haitaweza tena kuruhusu nchi yao kuingia kwenye janga kama hili. Italia na Uhispania wanalia. Kesho utasikia wamepiga marufuku ya hali ya juu kwa wazamiaji wote kwa kigezo cha corona.

Niliona katuni moja waafrika wanazuia wazungu kuingia Afrika na ikawa kama mzaha vile. sasa katazo la kutoka nje ya Afrika likianza tutapata taabu sana. Ni kwamba Afrika chini ya Sahara ndiyo itakayoathirika na hii aftermath. Waafrika wataonekana ni career wa virusi hivi na watakuwa na uwezo wa kuvisambaza tena nje ya Afrika na janga lingine linaweza kuibuka, hivyo hawatakuwa tayari hawa watu

Mwanzo walikuwa wanahoji kwa nini Afrika haijaathirika, na hakuna vifo. Walijisikia vibaya na bado wanajisikia vibaya. Pamoja na malaria, kipundupindu, ukimwi, ebola, njaa; bado hawaoni kuwa kwetu yanatosha. Walipenda tushirikiane nao kuugua hii corona. Sasa kwa kuwa inaonekana kushindikana kuugua, itawezekana kushuhudia kipindi kigumu na cha mpito kwa Afrika kuelekea kuitokomeza corona. India kuchapa viboko raia wake wanaokaidi amri ya isolation sio kama hawajui. Rwanda na Uganda hadi kutumia risasi za moto si kama hawajui. Tujifunze na tuamke sasa ili kwa pamoja tuutokomeze huu ugonjwa
 
Kwani kuna chapisho lolote mpaka sasa linalosema kwamba waafrica ni carriers?

Kingine sijaelewa kwenye hoja yako ya wao kututenga sisi waafrica kusini mwa sahara. Nafikiri hoja ya msinngi ni kwamba tunatakiwa na tuna jukumu la kupiga vita kuenea kwa hivi virusi miongoni mwetu kwa sababu ni hatari kwetu sisi na humakind kwa ujumla. Kuweka msisitizo kwamba tuupige vita kuenea kwake sababu wenzetu wakivishinda watatutenga sio sahihi.

Kwani ni lazima kwenda Ulaya bwashee!!!
 
Baada ya Corona Marekani Na Ulaya kutakuwa na fulsa kibao za ajira both skilled, semi skilled & unskilled labour.

Kutakuwa na fulsa za uwekezaji hasa kwenye kilimo na hisa za makampuni mbali mbali maana hisa kwa sasa zinashuka kwa kasi sana kwenye masoko ya hisa Marekani na Ulaya.

Fulsa zitakuwa tele wale wenye ndoto za kwenda ulaya na marekani kufanya kazi ndio wakati sahihi kwani kutakuwa hakuna restriction sana kwenye visa kama ilivyokuwa kabla.
 
Idiot! Umeshindwa kujiwekeza mwenyewe kwa uvivu mkubwa ulionao unawaza kufanya kazi kwa wengine. Mode ujinga kama huu muwe mnaondoa haraka.
 
Usichokijua kutokana na umasikini wako wa akili ni kwamba Corona inakuja kutumaliza wote hapa Afrika kwa sababu ya umasikini wa akili!
 
Kwani kuna chapisho lolote mpaka sasa linalosema kwamba waafrica ni carriers?

Kingine sijaelewa kwenye hoja yako ya wao kututenga sisi waafrica kusini mwa sahara. Nafikiri hoja ya msinngi ni kwamba tunatakiwa na tuna jukumu la kupiga vita kuenea kwa hivi virusi miongoni mwetu kwa sababu ni hatari kwetu sisi na humakind kwa ujumla. Kuweka msisitizo kwamba tuupige vita kuenea kwake sababu wenzetu wakivishinda watatutenga sio sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si kila kitu lazima kisemwe rasmi. Nikuulize, kwa Tanzania mfano hadi sasa ni watu 13 ndio wana corona ? Si kweli. Kama wanayo mbona hatusikii vifo ? Pia tunasikia Marekank naye anaanza kurudisha watu wake kwao, hii si picha nzuri. Tunahitaji sana kuweka juhudi na dunia ione. Hata kama tutashindwa dunia ielewe.

Chini ya Sahara kwa kuwa Afrika inajulikana hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinyume na matarajio yao, wameumia wao zaidi.
 
Back
Top Bottom