Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,290
- 2,468
Bado gemu la covid 19 bichi sanaKinyume na matarajio yao, wameumia wao zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado gemu la covid 19 bichi sanaKinyume na matarajio yao, wameumia wao zaidi.
We jamaa vip, hujasoma takwimu kuwa wanaokufa wengi ni wazee wa 60+''Lock down'' kwa Tanzania ni ngumu watu tunaishi kwakipato cha chakula cha kesho ama leo wengi hawana uwezo wa chakula cha mwezi mzima. Kuwa mzee haina maana unakaribia kufa kwanza vijana ndiyo rate yao ya kufa ni kubwa hapa tujifunze kwamba hii ni laana ya dhambi zetu nifunzo la jumla kwamba maisha yetu ni machafu yaani mwenendo wa maisha yetu hayampendezi Mungu tutafakari upya naman ya kuenenda pia kutojichangayachanganya na mataifa mengine bila mpangilio maalum
Victim mentality inakusumbua sana mkuu. Usipende kuishi maisha ya kuonewa hurumaTunaona kwa wenzetu Ulaya na Asia kwa namna ugonjwa huu unawadhuru. Tunaona kwa namna ambavyo Italy waziri mkuu analia hadharani kwa jinsi ambavyo ugonjwa huu umeshindikana kudhibitiwa hadi mrusi anasema ataenda kutoa msaada. Kwa wenzetu hili jambo tayari limeshaweka historia mpya kwao hata kama litaisha.
Kwetu sasa. Si tunasema kuwa sisi ni immune? Yaweza kuwa kweli kabisa na tukishapuuzia maisha yanaendelea huku corona akiendelea kuishi baina yetu. Tunaugua mafua na homa tunapona huku corona akiwa ndani hawezi kudhuru ila anaambukizwa kwa mtu mwingine.
Ulaya, Marekani na Asia wakishafanikiwa kuudhibiti huko kwao kitakachofuata ni kuiweka Afrika kwenye total isolation. Hatutaruhusiwa kwenda nje ya Afrika. Wanatuona tunavyoubeza huu ugonjwa. Wakati ukifika tutasaga meno hivyo ndugu zangu, nimeandika kwa uchache ile unumbe umefika. Itakuwa ni zaidi ya Apartheid. Zaidi ya Xenophobia. Tuwe makini nasi kama wananchi tushirikiane na serikali zetu ili Ulaya na Asia wakitokomeza na huku uwe umeisha
Huo ujumbe niliuweka ila Mods wakaunganisha na zingine. sasa tunachoona ni kuwa China wametoa tangazo kuwa wamezuia wageni kuingia China hadi hapo watakapoamua vingine. Hili zoezi kwa kweli litachukua muda mrefu sana hadi pale chanjo itakapopatikana kwani China haitaweza tena kuruhusu nchi yao kuingia kwenye janga kama hili. Italia na Uhispania wanalia. Kesho utasikia wamepiga marufuku ya hali ya juu kwa wazamiaji wote kwa kigezo cha corona.
Niliona katuni moja waafrika wanazuia wazungu kuingia Afrika na ikawa kama mzaha vile. sasa katazo la kutoka nje ya Afrika likianza tutapata taabu sana. Ni kwamba Afrika chini ya Sahara ndiyo itakayoathirika na hii aftermath. Waafrika wataonekana ni career wa virusi hivi na watakuwa na uwezo wa kuvisambaza tena nje ya Afrika na janga lingine linaweza kuibuka, hivyo hawatakuwa tayari hawa watu
Mwanzo walikuwa wanahoji kwa nini Afrika haijaathirika, na hakuna vifo. Walijisikia vibaya na bado wanajisikia vibaya. Pamoja na malaria, kipundupindu, ukimwi, ebola, njaa; bado hawaoni kuwa kwetu yanatosha. Walipenda tushirikiane nao kuugua hii corona. Sasa kwa kuwa inaonekana kushindikana kuugua, itawezekana kushuhudia kipindi kigumu na cha mpito kwa Afrika kuelekea kuitokomeza corona. India kuchapa viboko raia wake wanaokaidi amri ya isolation sio kama hawajui. Rwanda na Uganda hadi kutumia risasi za moto si kama hawajui. Tujifunze na tuamke sasa ili kwa pamoja tuutokomeze huu ugonjwa
Kwani dini zimetokea wapi ?
Uzushi ni upi hapo? Corona haiathiri zaidi wazee?Hataki uzushi kuhusu Corona!
Kwa sasa inaonekana bado haujaenea sana, ila kama vipi hata wakifika huko kijijini wajitenge siku 14 kwa uhakika zaidiWakienda kuueneza na huko? Tufuate tu maelekezo ya serikali mimi naona!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijauliza nani ame import.Hujui ukristu umekuwa imported na wazungu na uislam na Waarabu? Basi huu uzi haukufai
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona haipo Dar......bali kuna wagonjwa waliotoka nayo nje ya nchi!
Mungu akulipe,Mi mzazi wangu yupo kijijini..nimeshamtumia hela ya kununua vitu kama mafuta na mchele na maharage na kuweka ndani, vingine atatoa shambani, miezi hata 3 atatoboa navyo
Nimemshauri asiende sokoni wala kanisani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi takwimu umezitoa wapi?kwanza vijana ndiyo rate yao ya kufa ni kubwa
Mkuu hiyo Damu ya Kristo haipo Italy ??Wazee ndio wako front page kuamini kuwa wasali makanisan na misikitini kwa wingi kwan corona inaogopa dam ya kristo
Unaposema suala la lock down haliwezekani unamaanisha nini?Ndio hivyo tena, suala la corona haliepukiki kusambaa huku mjini, tunajifariji na kujaribu kunawa mkono ila ni suala la muda tu,
Nachotaka kuwashauri wazee wangu wa kuanzia miaka 60 na kuendelea warudi tu kijijini kwanza, kwa kuwa ugonjwa huu unaua wazee na watu wenye matatizo mengine kiafya, zaidi ya 95% ya vifo vyote vinaangukia kundi hili
Kijijini kule hakuna msongamano na pia unaweza kujifungia hata mwezi bila kutoka kiurahisi
Maana kikija kunuka hapa (ndani ya mwezi au miwili) hapa mjini hapatatosha na suala la lockdown kwa nchi zetu haliwezekani, so chonde chonde wazee, mjini hapawafai
Sent using Jamii Forums mobile app
Waafirka maisha yao ni kama kuku wa kienyeji, kuku wa kienyeji anatafuta anakula,ukimfungia bandani anakufaUnaposema suala la lock down haliwezekani unamaanisha nini?
Ndivyo inavyoenenea sasa, kila nchi ni mtu alitoka nayo nje ya nchi, hata China wanasema ni mtu alitoka nayo MarekaniCorona haipo Dar......bali kuna wagonjwa waliotoka nayo nje ya nchi!