Serikali hii ilikataa kuwarudisha raia wake nyumbani kwa janga la Corona, haina huruma wala kuwajali watu wake huku ndio walio iweka madarakani!
Kwa Malkia wameambukizwa, kwa maraisi wameambukizwa, mawaziri wakuu wameambukizwa wao wanayao yanawawafurahisha wakidhani wako immune dhidi ya corona.
Hawatoi taarifa, hawana taarifa, hawana mikakati, hawana vitendea kazi hata robo yake, yaani wapo wapo tu kama kuku aamkavyo na arudipo bandani mwake.
Ilikuwa tunu kuitwa mtanzania ila leo ni aibu kuitika kama mtanzania!!!!
Sent using
Jamii Forums mobile app