#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Ni kijiji gani ambacho hao wezee wanaweza wakajifungia ndani mwezi mmoja bila kutoka?
Kijijini watu wanalima na kuvuna hapo shambani vitu vingi, pia hakuna msongamano wa watu kama mjini, hivyo ni safe zaidi kwa wazee ambalo ndio kundi hatari zaidi
 
Watu maskini bwana wanaamini wazungu wanaumia juu yao. Hivi hapa Tanzania kuna mtu anakaa anaamini kuwa Mbowe anamuonea wivu wa kisiasa mwenyekiti wa kitongoji, au Mo Dewji anamuonea wivu muuza mitumba ya kutembeza.

Wazungu hawana time na sisi, hizi ni shobo zetu na kujikuta basi tumesalimika. Hakuna mzungu yuko anaijadili Afrika wala anaiwazia mabaya msitake kujitia huruma kwa ujinga wenu. Mzungu na Mwafrika wakiamua kila mtu apambane na maisha yake nani anaumia? Hivi kitu gani kiko Afrika kikikosa kwenye soko la dunia hakina mbadala? Linganisha na tunavyowategemea wao.

Na ni hivi, ukitaka uishi kwa amani vuta picha ungekuwa wewe ndo Mchina umepambana na ugonjwa umeudhibiti. Vipi utaacha walioambukizwa waje kwako tena ili upate shida zilezile ulizopambana nazo?

Kwahiyo watu maskini wako wanafurahi kuona wazungu wanakufa uku wao hawajui hatma yao. Ujinga ni kitu kibaya sana.

Italy, Marekani, Spain, France na kote uko ugonjwa haukuanzia uko na walikuwa wanabeza kwa kiasi fulani. Sasa umehamia uko wako wanapambana, its the matter of time utaleta tabu hapa na sisi dark continent tuanze kutia huruma. Tena wazungu ndo watakuja kutusaidia, haohao mnaowabeza na kufurahia tabu zao. Mwafrika maskini akikosa akili na uwezo wa kujikwamua anabaki na vipaji viwili tu, WIVU na UCHAWI.
 
Mimi mzee (dingi) 60+ jana nilipata mafua nikapiga piga chafya na kutoa kamasi nikaanza kutafuta kusikilizia dalili, nikawa nasikiliza kama homa itapanda na haikutokea. Nimeamka vizuri tu.

Naona watu wengine wanajimwambafai eti walipata corona wakapona kama mafua vile. Mi naona ilikuwa ni mafua ya kawaida.

Kichonishangaza ni kupanda basi toka posta mpya mpaka G/la mboto alikohoa jamaa mmoja tu mara moja kwa muda wa zaidi ya saa 1na 30, foleni ilikuwa ndefu sana watu kibao wamesimama.

Watu wanaogopa kukohoa au kipiga chafya ndani ya daladala, hii imenionyesha wa TZ tunafuata masharti vizuri sana.
Mimi 58 kawhiyo nami niondoke
 
Watu maskini bwana wanaamini wazungu wanaumia juu yao. Hivi hapa Tanzania kuna mtu anakaa anaamini kuwa Mbowe anamuonea wivu wa kisiasa mwenyekiti wa kitongoji, au Mo Dewji anamuonea wivu muuza mitumba ya kutembeza.

Wazungu hawana time na sisi, hizi ni shobo zetu na kujikuta basi tumesalimika. Hakuna mzungu yuko anaijadili Afrika wala anaiwazia mabaya msitake kujitia huruma kwa ujinga wenu. Mzungu na Mwafrika wakiamua kila mtu apambane na maisha yake nani anaumia? Hivi kitu gani kiko Afrika kikikosa kwenye soko la dunia hakina mbadala? Linganisha na tunavyowategemea wao.

Na ni hivi, ukitaka uishi kwa amani vuta picha ungekuwa wewe ndo Mchina umepambana na ugonjwa umeudhibiti. Vipi utaacha walioambukizwa waje kwako tena ili upate shida zilezile ulizopambana nazo?

Kwahiyo watu maskini wako wanafurahi kuona wazungu wanakufa uku wao hawajui hatma yao. Ujinga ni kitu kibaya sana.

Italy, Marekani, Spain, France na kote uko ugonjwa haukuanzia uko na walikuwa wanabeza kwa kiasi fulani. Sasa umehamia uko wako wanapambana, its the matter of time utaleta tabu hapa na sisi dark continent tuanze kutia huruma. Tena wazungu ndo watakuja kutusaidia, haohao mnaowabeza na kufurahia tabu zao. Mwafrika maskini akikosa akili na uwezo wa kujikwamua anabaki na vipaji viwili tu, WIVU na UCHAWI.
Hii aya ya mwisho umejijibu ulichoandika huko juu, na umekubaliana na hoja yangu. Ugonjwa umeanzia China. Mbona leo hawataki watu waende China ? Ndio maana nikamalizia kwa kusema, nasi tuoambane corona isiweke makao kwetu la sivyo watu wetu watashindwa kwenda nje kutafuta riziki

Kwa kuwa wewe si mfanyabiashara hujui biashara za watu zitadhurika vipi. Unajua ni kiasi gani cha bidhaa za matumizi ya nyumbani na ujenzi na biashara tuna import toka China ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah....kwa kifupi bila kumumunya maneno.... hadi kufika June mwaka huu ...wakubwa wanatarajia vifo visivyopungua millioni 10 kutoka Afrika......Tuombe Sana...

"Bill Gates warns of 10 million deaths as Coronavirus spreads to Africa" Bill Gates warns of 10 million deaths as Coronavirus spreads to Africa

Sent using Beretta ARX 160
Hili ndilo la kutilia mkazo kuona kuwa haya hayafiki huko. Hawa watu huwa wanaongea vitu vinavyoweza kutokea kwa %80

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii aya ya mwisho umejijibu ulichoandika huko juu, na umekubaliana na hoja yangu. Ugonjwa umeanzia China. Mbona leo hawataki watu waende China ? Ndio maana nikamalizia kwa kusema, nasi tuoambane corona isiweke makao kwetu la sivyo watu wetu watashindwa kwenda nje kutafuta riziki

Kwa kuwa wewe si mfanyabiashara hujui biashara za watu zitadhurika vipi. Unajua ni kiasi gani cha bidhaa za matumizi ya nyumbani na ujenzi na biashara tuna import toka China ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewajibu kwa pamoja nyote mpaka nilipoishia kusoma. Kitendo cha wewe kujiaminisha kuwa eti wanakuonea wivu kisa hufi au hupati magonjwa ni kujitutumia tu wala huna lolote. Mwafrika aonewe wivu na mzungu kwa lipi?

Sisi Waafrika ndo tunawaonea wivu wazungu na ndo maana wakipata shida unaona wenzio kuna wanaofurahia.

Wazungu wanatubagua, hawatuonei wivu. Bakhresa ataanzaje kumuonea wivu muuza juisi za miwa pale Buguruni. Eti mimi hapa nianze kumuonea wivu mtu asiye na kazi, hana pa kulala, anaishi kwa msaada, akiumwa lazima achangiwe matibabu la sivyo atakufa. Huo si upuuzi sasa.
 
Hapa zitatengenezwa kit za kufanya surveillance, na ukitaka kusafiri kwenda nje utaambiwa utoe certificate ya kuchanjwa korona. Ni ngumu sana wazungu ku isolate Africa kwa sababu wanaitegemea sana sana kupita maelezo kwenye maslahi yao mbalimbali
 
Dah...kwa hesabu zao hadi 2021 bara la Afrika litabaki na idadi ya watu isiyozidi milioni 200...tena wasio na uwezo wa kuzaa..[emoji2960]

Sent using Beretta ARX160
 
Pamoja na malaria, kipundupindu, ukimwi, ebola, njaa; bado hawaoni kuwa kwetu yanatosha. Walipenda tushirikiane nao kuugua hii corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali hii ilikataa kuwarudisha raia wake nyumbani kwa janga la Corona, haina huruma wala kuwajali watu wake huku ndio walio iweka madarakani!

Kwa Malkia wameambukizwa, kwa maraisi wameambukizwa, mawaziri wakuu wameambukizwa wao wanayao yanawawafurahisha wakidhani wako immune dhidi ya corona.

Hawatoi taarifa, hawana taarifa, hawana mikakati, hawana vitendea kazi hata robo yake, yaani wapo wapo tu kama kuku aamkavyo na arudipo bandani mwake.

Ilikuwa tunu kuitwa mtanzania ila leo ni aibu kuitika kama mtanzania!!!!

Eeh mola wetu, moyo wa Farao ulikuwa sawa na wa jiwe (kama jiwe lina moyo).

Ulitenda mwuujiza akatambua uwepo wako naye Farao akaruhusu busara itawale.

Kwa unyenyekevu tunakuomba hebu ukajidhihirishe wewe na uwepo wako ili mioyo ya viongozi wetu ikaione nia njema iliyopo kwetu sisi waja wako, ili hatimaye busara ikaachwe kuchukua nafasi yake.

Ni wazi kuwa taarifa sahihi zitaakisi dharura na mikakati thabiti ya kuchukua kwa wakati.
 
Serikali hii ilikataa kuwarudisha raia wake nyumbani kwa janga la Corona, haina huruma wala kuwajali watu wake huku ndio walio iweka madarakani!

Kwa Malkia wameambukizwa, kwa maraisi wameambukizwa, mawaziri wakuu wameambukizwa wao wanayao yanawawafurahisha wakidhani wako immune dhidi ya corona.

Hawatoi taarifa, hawana taarifa, hawana mikakati, hawana vitendea kazi hata robo yake, yaani wapo wapo tu kama kuku aamkavyo na arudipo bandani mwake.

Ilikuwa tunu kuitwa mtanzania ila leo ni aibu kuitika kama mtanzania!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
JIELIMISHE kuhusu homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya CORONA aina ya COVID-19. Piga 199 au 08001100124
 
Back
Top Bottom