Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Ushauri hutolewa kabla ya jambo kutokea bali nasaha hutolewa baada ya tukio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri hutolewa kabla ya jambo kutokea bali nasaha hutolewa baada ya tukio
Nashauri shule na vyuo viendelee kufungwa lakini kwa upande wa vyuo vikuu, wakufunzi waanze kufundisha kwa njia ya mtandao.
Hii inawezekana hasa kwa masuala ya theory, na practical zinaweza kufanyika siku wakirejea vyuoni. Tutumie mitandao kuwafundisha kwa vile wapo majumbani.
Kwa kuanzia, kuna wawakilishi wa wanafunzi (CRs) na viongozi wa wanafunzi vyuoni, hawa wanaweza kutumiwa notes na wakufunzi kwa mtindo wa SLIDES na VIDEOS na kusambaza kwa wenzao na hivyo muhula wa masomo kuendelea kama kawaida.
Kwa wale wenye mikopo (BOOM) wanaweza kupewa nusu kwa mfano sh.250,000/= ili zingine wapewe wakirudi vyuo baada ya kusaini.
Nimeshuhudia vyuoni baadhi ya wanafunzi hawahudhurii darasani ila wanachukua slides na kujisomea na wamekuwa wakifaulu hata kuzidi wale wanaohudhuria.
Vyuo vitakapofunguliwa, wakufunzi wanaweza ku-HIGHLIGHT kile walichofundisha na baadae kutoa TEST ONE.
Ili kiepusha msongamano, usumbufu katika vituo vya mabasi, na kukosa usafiri, siku shule zikifunguliwa, wapishane kwa wiki moja. Kwa mfano, wanaweza kutangulia wa shule za msingi na sekondari na baada ya wiki moja wafuatie wa vyuo vya kati na vyuo vikuu.
Wanafunzi wa vyuo vikuu wana viherehere hasa wakati wa uchaguzi, hivyo si vyema uchaguzi ukawakuta wakiwa vyuoni.
[/QUOTE
Ushauri mzuri shule zifunguliwe baadae hali itakapotengamaa
"UMEMUWEZA"Ameanza kwa kuandika ni maoni yake hyo mantiki unayoitaka isubiri wakati mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Shule kufunguliwa kwa sasa ni hatari kubwa sana
Nashauri mwaka mzima wa masomo usitishwe tutaendelea mwaka ujao ili tupigane kwanza hii vita. Mishahara tulipe tu ilimradi lengo kummaliza adui yetu mkubwa kirusi corona.
HUWATAKII MEMA WATANZANIA UNATAKA TUANGAMIEWakuu kufuatia hatua zilizochukuliwa na serikali yetu kupambana na covid 19 hakika kama ingekuwa ni janga basi Watanzania tungekwisha tupukutike!
Shughuli zingine zote zinaendelea, shule na vyuo tu ndio vimesimama, sioni ulazima wa vyuo na shule kufungwa kwa kuepuka corona kama janga kwa nchi yetu.
Corona ipo kwaajili ya wazungu huko ulaya, ni zamu yao sasa wacha iwanyooshe.
Huku Africa tunapambana na majanga yetu ya maralia, njaa, ebola na mengine mengi.
Wazungu wanataka kulazimisha janga lao liwe la dunia nzima...haiwezekani.
PM Majaliwa tunaomba usiongeze muda wa kufunga shule na vyuo, watoto warudi kusoma kuanzia tarehe 17 April
Ahsante Mkuu digba sowey. Ukweli nilifikiri hili ni jukwaa la kuelimishana. Kama kuna jambo unahisi hatujalisema kwa jicho la tafakari ya kina, njia nzuri ni kuelimishana.Nisamehe mkuu kama nimekukwaza,bat hebu jiulize mtoto ulomzaa wewe unashindwa kumdhibiti vipi kwa mwalimu ataweza kweli kufuata maagizo yake?
Pili kumbuka kuwa wakati serikali inaamuru shule zifungwe tulikuwa na kesi moja,hivi inaingia akili kweli kufungua shule ilikhali visa vya ugonjwa vibazidi kuongeza ka?
Tatu ujue baada ya shule kufungwa kuna watoto walisafiri toka mjini kwenda vijijini na kinyume chake ,sasa huoni kuwa kurudusha watoto shuleni itapelekea kuongezeka kwa visa vya ugonjwa?
Mwisho nyumbani ndo salama zaidi kwa mtoto katika hali tuliyonayo,hivyo acheni watoto watulie majumbani hadi hapo serikali itakapotangaza vingine lakini pia acheni ujuaji serikali inawashauli wake wanaoishauli mambo yakiwa sawa hamtaona tena kama ilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha lugha za ovyo shule zinafunguliwa , mwezi wa 10 .kwani ujapata taarifa kuwa tz kuna wagonjwa 1000+
Acha ujinga. Umekariri habari zije kwa kiingereza na kiswahili. Nakujulisha kuwa Msumbiji Ugaidi umetamba kwa masaa 14 .wamevamia kambi ya Jeshi,vituo vya polisi, benki na wametembea na boti za jeshi na kuua Raia wengi sana. Ndani ya huu mwezi.Nawasiwasi ugaidi ulikuwa unachochewa na nchi nyingine zenye malengo ya kuiba rasilimali za nchi ugaidi unapofanyika. Sasa mataifa makubwa yanapambana na Corona na ugaidi umesimama. Swali la kujiuliza magaidi washapata walichokitaka?
Sent using Jamii Forums mobile app