naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
balimar, Italy hakuna Yesu? Au hawajui kukemea? Walitembeza hadi sanam la bikira Maria liweke baraka na bado halikufua dafu, hapa kwetu wakemeaji maarufu wote kimya, wametuaminisha wanafufua wafu na kuombea wagonjwa hilo la Corona simsikii hata mmoja akisema atakwenda mloganzila akawaombee wagonjwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app