#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Nimekuwa nikifuatilia mijadala humu hasa ile ihusuyo ugonjwa hatari dunia ni Wa covid-19.

Mara baada ya ugonjwa kutangazwa umeingia nchini, Serikali ilikuwa imeshajua na kuona ni halali kututangazia ili tuanze kujilinda, siku Moja kabla ya kutangaza Magufuli aliondoka DSM kwa njia ya barabara tukiaminishwa alikuwa anakagua miradi na madaraja yaliyovunjika na kuwatumbua watu kwa kile kilichozaniwa ni uzembe kazini, tuliaminishwa Magufuli anakwenda Dodoma kwani tayari alishasema yeye anahamia huko na watu tulikuwa tukisubiri yeye kuhamia huko kama ambavyo alikuwa amelieleza taifa.

Baada ya kufika Dodoma akalihutubia taifa akisema corona ni ka ugonjwa ka mlipuko kama ilivyo kwa ugonjwa wa kipindupindu au mengine na tena akasisitiza kuwa hana mpango wa kufunga mipaka kama wafanyavyo nchi zingine na majirani zetu limbukeni, akasema sisi tujilinde kwa kunawa na kumuomba MUNGU tu jambo ambalo liliwavutia sana viongozi wa dini na akasifiwa na viongozi hao, kwa nini wamsifie? Tutajua baadae.

Mara baada ya hotuba hiyo hakukaa tena kwa wagogo mara huyo akakimbilia chato ambapo ndipo alipo mpaka sasa.

Na hivi majuzi amesisitiza na kusema kuwa hawezi funga mipaka maana majilani zetu wanatutegemea sana,sasa sijajua majilani wapi wanatutegemea ili hali wao wamefunga mipaka?

Waziri wa afya ametoa msisitizo na kuonyesha hofu ya ugonjwa kulipuka sasa lakini siku kadhaa baada ya kuonyesha hofu hiyo ametutangazia ongezeko la wagonjwa na vifo jambo ambalo limetushitua kwa kiasi kikubwa sisi wananchi lkn cha kushangaza ndugu Magufuli yeye halikumshitua na wala hayaongelei kabisa hasa pale anapokuwa anahutubia taifa na wala hatoi pole kwa wafiwa ni kama jambo la wananchi kufa kwa ugonjwa wa corona ni la kawaida kwake,ninapata wasiwasi sana hapa.

Niwarudishe Nyuma kwenye historia ya wana wa Israel wakati wanatoka utumwani kuelekea kaanan, waliongozwa na kiongozi wao Musa ambaye alikuwa bega kwa bega nao, alilala walipo lala, aliwafariji pale walipohitaji wafarajiwe, hakuna mahali aliwaacha peke yao wakipambana, pale yalipotokea magonjwa alikuwa mstari wa mbele kusaidiana nao.

Sasa ndugu yetu Magufuli ametukimbia Dar es salaam na amekimbilia mafichoni huko kwao Chato akijua kuwa kule corona haiwezi fika, kwa nini hajakaa na sisi DSM atufariji na ashirikiane na viongozi wengine kusaidia janga hili?

Kumekuwa na watu wanaounga mkono hotuba zake za kutochukua tahadhali zaidi ya ugonjwa huu, miungoni mwa wapiga mapambio ambao binafsi nawaiata wajinga ni viongozi wa dini ambao wao kukosa sadaka ni zaidi ya corona.

Kama walituletea dini wao wamefunga majumba yao ya ibada ili kuepusha maambukizi sisi tulioletewa tena kwa Njia ya utumwa bado tumeshupaza mashingo na kujifanya sisi ni taifa teule la MUNGU wendawazimi mkubwa sana.

Ni Muda sasa tunahitaji Magufuli aje Dar es salaam tuungane naye katika mapambano haya na sio yeye kutoa hotuba zake akiwa uhamishoni au huko alikojificha kwa kuogopa corona, asijidanganye hakuna MTU aliyeweza kuukimbia mkono wa MUNGU.

Aje achape Kazi pamoja nasi na sio yeye kujifungia kuogopa corona wakati anahamasisha wananchi wake wasiogope wachape kazi, aje aanze na ziara za kushtukiza bandarini, TRA na maofisi mengine mengi ili tuchape kazi kwa pamoja.

Kama ndugu Magufuli akija na kukaa Dar es Salaam na tukamuona anafanya ziara za kikazi na kutuonyesha mfano wa kupiga kazi bila kuogopa corona wengine wetu tutaamini sasa akisemacho anakimaanisha na hana mpango wa kututoa kafara. Lakini asiporudi hapa bongo wengi wetu tutaamini hana nia njema na wananchi wake na atakuwa ameshiriki kwa Njia Moja ama nyingine kuwatoa kafara.

Watanzania tuache umbumbumbu tupende kuhoji wenyewe achana na viongozi wa dini wanaomezea sadaka zetu na wanaona waumini kikatazwa kwenda makanisani au misikitini ni pigo kwao.

Magufuli njoo Dar es salaam/nenda Dodoma tuchape Kazi kwa pamoja ili uwe na ufanano na Musa wa wana Israel ktk utendaji kwa watu wake tofauti na hivyo hutaaminika kamwe.

NB: corona covid-19 yaweza fika hata chato,kama imetoka China na kutembea nchi zote itashindwaje kufika huko hasa kwa nchi ambayo wananchi wake hawajadhibitiwa?

Niishie hapo kwa Leo.

Swelana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli hoja yako ni ya kitoto sana, kwamba Chato korona haiwezi fika? Anyway kwa anayemfatilia magufuli amekuwa na tabia ya kwenda Chato mara kwa mara hasa akipata muda wa mapumziko mpaka ikaleta mjadala humu, au umesahau?

Simtetei kwa kutochukua hatua stahiki alkini hoja ya kuwa Chato eti amekimbia korona ni ya kipuuzi sana. Edit bandio lako asee
 
Kiukweli hoja yako ni ya kitoto sana, kwamba chato korona haiwezi fika? Anyway kwa anayemfatilia magufuli amekuwa na tabia ya kwenda chato mara kwa mara hasa akipata mda wa mapumziko mpaka ikaleta mjadala humu, au umesahau? Simtetei kwa kutochukua hatua stahiki alkini hoja ya kuwa chato eti amekimbia korona ni ya kipuuzi sana. Edit bandio lako asee
Sasa kama hajakimbia corona ngoja tusubiri atarudi lini ili tuchape naye Kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejitahidi sana kutosema chochote lakini mwisho nimeshindwa. Itoshe kusema tu kuwa "usifananishe watu wa ukweli na wa hovyo hovyo!" Musa ni level nyingine.
 
Ngoja amalizie kwanza likizo yake ya Pasaka. Atarudi tu Jijini na kuungana na watani zetu "Wanaume wa Dar" kupambana na Corona.
 
Nimekuwa nikifuatilia mijadala humu hasa ile ihusuyo ugonjwa hatari dunia ni Wa covid-19.

Mara baada ya ugonjwa kutangazwa umeingia nchini, Serikali ilikuwa imeshajua na kuona ni halali kututangazia ili tuanze kujilinda,siku Moja kabla ya kutangaza Magufuli aliondoka DSM kwa njia ya barabara tukiaminishwa alikuwa anakagua miradi na madaraja yaliyovunjika na kuwatumbua watu kwa kile kilichozaniwa ni uzembe kazini,tuliaminishwa Magufuli anakwenda Dodoma kwani tayari alishasema yeye anahamia huko na watu tulikuwa tukisubiri yeye kuhamia huko kama ambavyo alikuwa amelieleza taifa.

Baada ya kufika Dodoma akalihutubia taifa akisema corona ni ka ugonjwa ka mlipuko kama ilivyo kwa ugonjwa wa kipindupindu au mengine na tena akasisitiza kuwa hana mpango wa kufunga mipaka kama wafanyavyo nchi zingine na majirani zetu limbukeni,akasema sisi tujilinde kwa kunawa na kumuomba MUNGU tu jambo ambalo liliwavutia sana viongozi wa dini na akasifiwa na viongozi hao,kwa nini wamsifie?tutajua baadae.

Mara baada ya hotuba hiyo hakukaa tena kwa wagogo mara huyo akakimbilia chato ambapo ndipo alipo mpaka sasa.
Na hivi majuzi amesisitiza na kusema kuwa hawezi funga mipaka maana majilani zetu wanatutegemea sana,sasa sijajua majilani wapi wanatutegemea ili hali wao wamefunga mipaka?

Waziri wa afya ametoa msisitizo na kuonyesha hofu ya ugonjwa kulipuka sasa lkn siku kadhaa baada ya kuonyesha hofu hiyo ametutangazia ongezeko la wagonjwa na vifo jambo ambalo limetushitua kwa kiasi kikubwa sisi wananchi lkn cha kushangaza ndugu Magufuli yeye halikumshitua na wala hayaongelei kabisa hasa pale anapokuwa anahutubia taifa na wala hatoi pole kwa wafiwa ni kama jambo la wananchi kufa kwa ugonjwa wa corona ni la kawaida kwake,ninapata wasiwasi sana hapa.

Niwarudishe Nyuma kwenye historia ya wana wa Israel wakati wanatoka utumwani kuelekea kaanan,waliongozwa na kiongozi wao Musa ambaye alikuwa bega kwa bega nao,alilala walipo lala,aliwafariji pale walipohitaji wafarajiwe,hakuna mahali aliwaacha peke yao wakipambana,pale yalipotokea magonjwa alikuwa mstari wa mbele kusaidiana nao.

Sasa ndugu yetu Magufuli ametukimbia Dar es salaam na amekimbilia mafichoni huko kwao chato akijua kuwa kule corona haiwezi fika,kwa nini hajakaa na sisi DSM atufariji na ashirikiane na viongozi wengine kusaidia janga hili?

Kumekuwa na watu wanaounga mkono hotuba zake za kutochukua tahadhali zaidi ya ugonjwa huu,miungoni mwa wapiga mapambio ambao binafsi nawaiata wajinga ni viongozi wa dini ambao wao kukosa sadaka ni zaidi ya corona.

Kama walituletea dini wao wamefunga majumba yao ya ibada ili kuepusha maambukizi sisi tulioletewa tena kwa Njia ya utumwa bado tumeshupaza mashingo na kujifanya sisi ni taifa teule la MUNGU wendawazimi mkubwa sana.

Ni Muda sasa tunahitaji Magufuli aje Dar es salaam tuungane naye ktk mapambano haya na sio yeye kutoa hotuba zake akiwa uhamishoni au huko alikojificha kwa kuogopa corona,asijidanganye hakuna MTU aliyeweza kuukimbia mkono wa MUNGU.
Aje achape Kazi pamoja nasi na sio yeye kujifungia kuogopa corona wakati anahamasisha wananchi wake wasiogope wachape Kazi,aje aanze na ziara za kushtukiza bandarini,tra na maofisi mengine mengi ili tuchape Kazi kwa pamoja.

Kama ndugu Magufuli akija na kukaa dar es salaam na tukamuona anafanya ziara za kikazi na kutuonyesha mfano wa kupiga Kazi bila kuogopa corona wengine wetu tutaamini sasa akisemacho anakimaanisha na hana mpango wa kututoa kafara,lkn asiporudi hapa bongo wengi wetu tutaamini hana nia njema na wananchi wake na atakuwa ameshiriki kwa Njia Moja ama nyingine kuwatoa kafara.

Watanzania tuache umbumbumbu tupende kuhoji wenyewe achana na viongozi wa dini wanaomezea sadaka zetu na wanaona waumini kikatazwa kwenda makanisani au misikitini ni pigo kwao.

Magufuli njoo Dar es salaam/nenda Dodoma tuchape Kazi kwa pamoja ili uwe na ufanano na Musa wa wana Israel ktk utendaji kwa watu wake tofauti na hivyo hutaaminika kamwe.

NB: corona covid-19 yaweza fika hata chato,kama imetoka China na kutembea nchi zote itashindwaje kufika huko hasa kwa nchi ambayo wananchi wake hawajadhibitiwa?

Niishie hapo kwa Leo.

Swelana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usimfananishe na Musa unakashifu imani za walio wengi. Labda umfananishe na huyu Mfalme wa dola ya Kirumi aliyetawala kuanzia 37- 41 kwa jina CALIGULA.

Gaius Caesar aliyepewa jina la Caligula “kiatu kidogo” alizaliwa Augst 31 mwaka 12 Baada ya Kristo yaani B.K. katika mji wa Antium kwa sasa unaitwa Anzio huko Italia. Alikuwa mtoto wa tatu katika watoto sita walizaliwa na Germanicus na mkewe Agrippina mkubwa. huyu alichukua uongozi toka kwa Tiberius akiwa ni mtawala wa Roma kuanzia mwaka 37 B.K na kuchukua jina la Gaius Caesar Germanicus.

Kumbukumbu zinaonesha alikuwa ni mmoja ya watawala wakatili sana asiye na huruma, asiyetabirika na mwenye roho mbaya.alikamata watu wote ambao walikuwa wakimpinga na kuwa hukumu kifo.
 
Wewe usimtaje Nabii Mussa kumringanisha na mambo ya ajabu..utalaanika!!
 
Ndio maana ccm wameonorea kumsupport JPM kwa kuleta SATINIZER.
 
Nimekuwa nikifuatilia mijadala humu hasa ile ihusuyo ugonjwa hatari dunia ni Wa covid-19.

Mara baada ya ugonjwa kutangazwa umeingia nchini, Serikali ilikuwa imeshajua na kuona ni halali kututangazia ili tuanze kujilinda,siku Moja kabla ya kutangaza Magufuli aliondoka DSM kwa njia ya barabara tukiaminishwa alikuwa anakagua miradi na madaraja yaliyovunjika na kuwatumbua watu kwa kile kilichozaniwa ni uzembe kazini,tuliaminishwa Magufuli anakwenda Dodoma kwani tayari alishasema yeye anahamia huko na watu tulikuwa tukisubiri yeye kuhamia huko kama ambavyo alikuwa amelieleza taifa.

Baada ya kufika Dodoma akalihutubia taifa akisema corona ni ka ugonjwa ka mlipuko kama ilivyo kwa ugonjwa wa kipindupindu au mengine na tena akasisitiza kuwa hana mpango wa kufunga mipaka kama wafanyavyo nchi zingine na majirani zetu limbukeni,akasema sisi tujilinde kwa kunawa na kumuomba MUNGU tu jambo ambalo liliwavutia sana viongozi wa dini na akasifiwa na viongozi hao,kwa nini wamsifie?tutajua baadae.

Mara baada ya hotuba hiyo hakukaa tena kwa wagogo mara huyo akakimbilia chato ambapo ndipo alipo mpaka sasa.
Na hivi majuzi amesisitiza na kusema kuwa hawezi funga mipaka maana majilani zetu wanatutegemea sana,sasa sijajua majilani wapi wanatutegemea ili hali wao wamefunga mipaka?

Waziri wa afya ametoa msisitizo na kuonyesha hofu ya ugonjwa kulipuka sasa lkn siku kadhaa baada ya kuonyesha hofu hiyo ametutangazia ongezeko la wagonjwa na vifo jambo ambalo limetushitua kwa kiasi kikubwa sisi wananchi lkn cha kushangaza ndugu Magufuli yeye halikumshitua na wala hayaongelei kabisa hasa pale anapokuwa anahutubia taifa na wala hatoi pole kwa wafiwa ni kama jambo la wananchi kufa kwa ugonjwa wa corona ni la kawaida kwake,ninapata wasiwasi sana hapa.

Niwarudishe Nyuma kwenye historia ya wana wa Israel wakati wanatoka utumwani kuelekea kaanan,waliongozwa na kiongozi wao Musa ambaye alikuwa bega kwa bega nao,alilala walipo lala,aliwafariji pale walipohitaji wafarajiwe,hakuna mahali aliwaacha peke yao wakipambana,pale yalipotokea magonjwa alikuwa mstari wa mbele kusaidiana nao.

Sasa ndugu yetu Magufuli ametukimbia Dar es salaam na amekimbilia mafichoni huko kwao chato akijua kuwa kule corona haiwezi fika,kwa nini hajakaa na sisi DSM atufariji na ashirikiane na viongozi wengine kusaidia janga hili?

Kumekuwa na watu wanaounga mkono hotuba zake za kutochukua tahadhali zaidi ya ugonjwa huu,miungoni mwa wapiga mapambio ambao binafsi nawaiata wajinga ni viongozi wa dini ambao wao kukosa sadaka ni zaidi ya corona.

Kama walituletea dini wao wamefunga majumba yao ya ibada ili kuepusha maambukizi sisi tulioletewa tena kwa Njia ya utumwa bado tumeshupaza mashingo na kujifanya sisi ni taifa teule la MUNGU wendawazimi mkubwa sana.

Ni Muda sasa tunahitaji Magufuli aje Dar es salaam tuungane naye ktk mapambano haya na sio yeye kutoa hotuba zake akiwa uhamishoni au huko alikojificha kwa kuogopa corona,asijidanganye hakuna MTU aliyeweza kuukimbia mkono wa MUNGU.
Aje achape Kazi pamoja nasi na sio yeye kujifungia kuogopa corona wakati anahamasisha wananchi wake wasiogope wachape Kazi,aje aanze na ziara za kushtukiza bandarini,tra na maofisi mengine mengi ili tuchape Kazi kwa pamoja.

Kama ndugu Magufuli akija na kukaa dar es salaam na tukamuona anafanya ziara za kikazi na kutuonyesha mfano wa kupiga Kazi bila kuogopa corona wengine wetu tutaamini sasa akisemacho anakimaanisha na hana mpango wa kututoa kafara,lkn asiporudi hapa bongo wengi wetu tutaamini hana nia njema na wananchi wake na atakuwa ameshiriki kwa Njia Moja ama nyingine kuwatoa kafara.

Watanzania tuache umbumbumbu tupende kuhoji wenyewe achana na viongozi wa dini wanaomezea sadaka zetu na wanaona waumini kikatazwa kwenda makanisani au misikitini ni pigo kwao.

Magufuli njoo Dar es salaam/nenda Dodoma tuchape Kazi kwa pamoja ili uwe na ufanano na Musa wa wana Israel ktk utendaji kwa watu wake tofauti na hivyo hutaaminika kamwe.

NB: corona covid-19 yaweza fika hata chato,kama imetoka China na kutembea nchi zote itashindwaje kufika huko hasa kwa nchi ambayo wananchi wake hawajadhibitiwa?

Niishie hapo kwa Leo.

Swelana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sijasoma nimeishia kucheka tu,Musa yupo likizo ya pasaka si ndiyo?
 
Imani bila matendo...imekufa, tumwamini Mungu na tujihadhari kwani tunaujua ukweli, tusimjaribu Mungu hajaribiwi...
Tujikinge na corona
Tusikome kumwomba Mungu zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri ya pasaka kwa wakristo wote na Watanzania wote kwa ujumla.Nianze kwa kufanya mrejeo wa tamko la wizara ya Afya kupitia waziri wetu Mh.Ummy Mwalimu ya kuwa tujiandae na maambukizi ya ndani kwa ndani,ikiwa kama ndiyo hivyo.Mimi kama mtanzania nashauri yafuatayo ili kuweza kukabiliana na maambukizi hayo
1.Ikiwa kama serikali yetu tayari au tuna vifaa vya kutosha,basi visambazwe kwenye hospital zote,maabara na vituo vyote vya afya serikali na vya binafsi pia kwa idadi maalumu.
2.Mgonjwa yeyote atakayekuwa ameenda sehemu zote hizo kupata huduma za kimatibabu na akiwa na kifua,mafua au kama haelewi anachoumwa basi apimwe Corona tu.
3.Kama wagonjwa hao watapimwa na watakugundulika wana maambukizi au wana Corona basi watengwe kuanzia siku hiyo baada ya kugundulika na kupelekwa kwenye wodi mojawapo katika hospitali katika mkoa husika ambayo itatengwa kwa ajili ya wagonjwa wa Corona.

Nini faida ya hayo yote kwa mtazamo wangu
1.Tutapata kuwajua wagonjwa ambao wana corona na wapo mtaani lakini hawajijui.
2.Tutaweza kudhibiti maambukizi ya ndani kwa ndani kwani wagonjwa waliopatikana watakuwa wameshatengwa sehemu maalumu.
Mimi nimewaza hivyo kama mtanzania mwenzenu.
mazagaone@gmail.com

Mwanasayansi.
 
Mi sijielewi nipo upande gani! Nikiwaza jinsi ugonjwa huu ulivowatikisa wazungu napata mashaka na kumpinga Mr stone kwa hatua anazochukua, pia nkifikir kuhusu the new world order na jinsi mabeberu wanavoipelekesha Dunia, natamani MAGUFULI apate zaidi ya nguvu alizokuwa nazo MUAMAR GADDAFI au MUGABE

Tusonge kivyetuvyetu tuachane na hao waharibifu wa Dunia ingawa sio rahisi na maisha yatakuwa magumu kwelikweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom