Bhudagala
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 325
- 311
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sasa kama hajakimbia corona ngoja tusubiri atarudi lini ili tuchape naye Kazi.Kiukweli hoja yako ni ya kitoto sana, kwamba chato korona haiwezi fika? Anyway kwa anayemfatilia magufuli amekuwa na tabia ya kwenda chato mara kwa mara hasa akipata mda wa mapumziko mpaka ikaleta mjadala humu, au umesahau? Simtetei kwa kutochukua hatua stahiki alkini hoja ya kuwa chato eti amekimbia korona ni ya kipuuzi sana. Edit bandio lako asee
Usimfananishe na Musa unakashifu imani za walio wengi. Labda umfananishe na huyu Mfalme wa dola ya Kirumi aliyetawala kuanzia 37- 41 kwa jina CALIGULA.Nimekuwa nikifuatilia mijadala humu hasa ile ihusuyo ugonjwa hatari dunia ni Wa covid-19.
Mara baada ya ugonjwa kutangazwa umeingia nchini, Serikali ilikuwa imeshajua na kuona ni halali kututangazia ili tuanze kujilinda,siku Moja kabla ya kutangaza Magufuli aliondoka DSM kwa njia ya barabara tukiaminishwa alikuwa anakagua miradi na madaraja yaliyovunjika na kuwatumbua watu kwa kile kilichozaniwa ni uzembe kazini,tuliaminishwa Magufuli anakwenda Dodoma kwani tayari alishasema yeye anahamia huko na watu tulikuwa tukisubiri yeye kuhamia huko kama ambavyo alikuwa amelieleza taifa.
Baada ya kufika Dodoma akalihutubia taifa akisema corona ni ka ugonjwa ka mlipuko kama ilivyo kwa ugonjwa wa kipindupindu au mengine na tena akasisitiza kuwa hana mpango wa kufunga mipaka kama wafanyavyo nchi zingine na majirani zetu limbukeni,akasema sisi tujilinde kwa kunawa na kumuomba MUNGU tu jambo ambalo liliwavutia sana viongozi wa dini na akasifiwa na viongozi hao,kwa nini wamsifie?tutajua baadae.
Mara baada ya hotuba hiyo hakukaa tena kwa wagogo mara huyo akakimbilia chato ambapo ndipo alipo mpaka sasa.
Na hivi majuzi amesisitiza na kusema kuwa hawezi funga mipaka maana majilani zetu wanatutegemea sana,sasa sijajua majilani wapi wanatutegemea ili hali wao wamefunga mipaka?
Waziri wa afya ametoa msisitizo na kuonyesha hofu ya ugonjwa kulipuka sasa lkn siku kadhaa baada ya kuonyesha hofu hiyo ametutangazia ongezeko la wagonjwa na vifo jambo ambalo limetushitua kwa kiasi kikubwa sisi wananchi lkn cha kushangaza ndugu Magufuli yeye halikumshitua na wala hayaongelei kabisa hasa pale anapokuwa anahutubia taifa na wala hatoi pole kwa wafiwa ni kama jambo la wananchi kufa kwa ugonjwa wa corona ni la kawaida kwake,ninapata wasiwasi sana hapa.
Niwarudishe Nyuma kwenye historia ya wana wa Israel wakati wanatoka utumwani kuelekea kaanan,waliongozwa na kiongozi wao Musa ambaye alikuwa bega kwa bega nao,alilala walipo lala,aliwafariji pale walipohitaji wafarajiwe,hakuna mahali aliwaacha peke yao wakipambana,pale yalipotokea magonjwa alikuwa mstari wa mbele kusaidiana nao.
Sasa ndugu yetu Magufuli ametukimbia Dar es salaam na amekimbilia mafichoni huko kwao chato akijua kuwa kule corona haiwezi fika,kwa nini hajakaa na sisi DSM atufariji na ashirikiane na viongozi wengine kusaidia janga hili?
Kumekuwa na watu wanaounga mkono hotuba zake za kutochukua tahadhali zaidi ya ugonjwa huu,miungoni mwa wapiga mapambio ambao binafsi nawaiata wajinga ni viongozi wa dini ambao wao kukosa sadaka ni zaidi ya corona.
Kama walituletea dini wao wamefunga majumba yao ya ibada ili kuepusha maambukizi sisi tulioletewa tena kwa Njia ya utumwa bado tumeshupaza mashingo na kujifanya sisi ni taifa teule la MUNGU wendawazimi mkubwa sana.
Ni Muda sasa tunahitaji Magufuli aje Dar es salaam tuungane naye ktk mapambano haya na sio yeye kutoa hotuba zake akiwa uhamishoni au huko alikojificha kwa kuogopa corona,asijidanganye hakuna MTU aliyeweza kuukimbia mkono wa MUNGU.
Aje achape Kazi pamoja nasi na sio yeye kujifungia kuogopa corona wakati anahamasisha wananchi wake wasiogope wachape Kazi,aje aanze na ziara za kushtukiza bandarini,tra na maofisi mengine mengi ili tuchape Kazi kwa pamoja.
Kama ndugu Magufuli akija na kukaa dar es salaam na tukamuona anafanya ziara za kikazi na kutuonyesha mfano wa kupiga Kazi bila kuogopa corona wengine wetu tutaamini sasa akisemacho anakimaanisha na hana mpango wa kututoa kafara,lkn asiporudi hapa bongo wengi wetu tutaamini hana nia njema na wananchi wake na atakuwa ameshiriki kwa Njia Moja ama nyingine kuwatoa kafara.
Watanzania tuache umbumbumbu tupende kuhoji wenyewe achana na viongozi wa dini wanaomezea sadaka zetu na wanaona waumini kikatazwa kwenda makanisani au misikitini ni pigo kwao.
Magufuli njoo Dar es salaam/nenda Dodoma tuchape Kazi kwa pamoja ili uwe na ufanano na Musa wa wana Israel ktk utendaji kwa watu wake tofauti na hivyo hutaaminika kamwe.
NB: corona covid-19 yaweza fika hata chato,kama imetoka China na kutembea nchi zote itashindwaje kufika huko hasa kwa nchi ambayo wananchi wake hawajadhibitiwa?
Niishie hapo kwa Leo.
Swelana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sijasoma nimeishia kucheka tu,Musa yupo likizo ya pasaka si ndiyo?Nimekuwa nikifuatilia mijadala humu hasa ile ihusuyo ugonjwa hatari dunia ni Wa covid-19.