Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huitaji kitambaa kikubwa kutengeza mask. Unatengeza mask japo tatu hili ubadilishe mara mbili kwa siku na kama huna uwezo moja inatosha, ni bora kuliko kukosa kabisa. Hizo nchi za nje wanatumia mask moja siku nzima na hapo ni hospitali kwa vile kuna upungufu wa masks.Je, zipo za kutosha, na bei ni ya kumudu kwa namna zivaliwavyo- kubadilisha kila baada ya masaa manne?
Ukiambiwa uvae mask muda wote haina maana uavhe kunawa,kutumia sanitizer na njia nyingine zilizoshauriwa.Tuvae mask na gloves, hapo sawa, mask pekee haisaidii kama bado tukifika dukani tunashika meza ya duka, tunafungua milango ya maofisi nk
Sawa mimi nimenawa, je wenzangu wote watakaopanda bodaboda itakayonipeleka kazini nao watakuwa wamenawa? Vp wakiacha korona kwenye kiti cha abiria baada ya kushika bomba wakati wa safari?Ukiambiwa uvae mask muda wote haina maana uavhe kunawa,kutumia sanitizer na njia nyingine zilizoshauriwa.
Huitaji kuvaa gloves, mikono tutaendelea kuosha au kutumia vitakasa mikono. Maofisi na wafanya biashara waendelee kuweka maji na sabuni pamoja na vitaka mikono.Tuvae mask na gloves, hapo sawa, mask pekee haisaidii kama bado tukifika dukani tunashika meza ya duka, tunafungua milango ya maofisi nk
Kumbuka wewe ni banadamu sio robot, watu wanapuuzia kuvaa kondom, nini kushika pua. Mask tuvae na gloves tuvaeHuitaji kuvaa gloves, mikono tutaendelea kuosha au kutumia vitakasa mikono. Maofisi na wafanya biashara waendelee kuweka maji na sabuni pamoja na vitaka mikono.
Mikono unawza kuosha na sabuni au kujizuia usishike pua, mdomo au macho mpaka utakapo pata nafasi kunawa, lakini kuvuta hewa yenye vijidudu ni ngumu kujizuia kama hauna mask. Na hapo ndio umuhimu wa masks unazidi umuhimu wa gloves.