Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Naunga mkono hoja, tena tusiishie huko bali mahabusu wote waachiwe, Wafungwa pia waachiwe kama Iran.
P
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja, tena tusiishie huko bali mahabusu wote waachiwe, Wafungwa pia waachiwe kama Iran.
P
Nimesoma ukichoandika kuhusu mahabusu na wafungwa nimeshtuka...Naunga mkono hoja, tena tusiishie huko bali mahabusu wote waachiwe, Wafungwa pia waachiwe kama Iran.
P
Huo ushauri siyo mzuri kwani maambukizi yako huku URAIANI na siyo MAGEREZA. Cha kufanya ni kusitisha mahabusi au wafunge wengine toka URAIANI kupelekwa MAGEREZA kwani wanaweza peleka maambukizi huko.Naunga mkono hoja, tena tusiishie huko bali mahabusu wote waachiwe, Wafungwa pia waachiwe kama Iran.
P
Sawa mkuu lakini mahakama zifunge tu!Nafikiri sasa hivi baadhi ya mashitaka yanaendeshwa kwa videos.
Hoja unayo lakini nchi zetu za dunia ya tatu ni shida .
Odhis *
Ha ha ha ha wafungwa wasiachiwe mkuu itakuwa ni hatari sanaNaunga mkono hoja, tena tusiishie huko bali mahabusu wote waachiwe, Wafungwa pia waachiwe kama Iran.
P
Una pendekezo mbadala?Mawazo yako mengi mazuri, ila hili LA kutumia jeshi siungi mkono.
Embu toa mapendekezo matatu tuu katika hiyo orodha yako. By the way hivi Katibu mkuu wa Wizara ya Afya ni Daktari wa binadamu kwa taaluma yake? nikipata jibu nitauliza swali gumuMapendekezo ambayo Mr President anatakiwa kufanya .
1. Kwa kuwa ugonjwa umeshafika kwenye community stage transimission , Ningeshauri ile mikoa ambayo case chache zimepatikana.. kungeagizwa test kits za kutosha ili kubaini ukubwa wa Tatizo, Pili kila anayepatikana positive apelekwe kwenye vituo vya karantini.
2. Kwa kuwa ventilator zime prove low rates healing 50% compare to Hydroxychlotoquine + Zinc , pia ni very expensive .. ningeshauri Tanzania itowe order kwa ndugu zetu wa India Watutengenezee hydroxy Ch.. Zinc mseto mara moja na tutume ndege kwenda kuchukua ili zitumike kwa waliotest positive ..
3. Kiwanda cheti cha pharmaceutical kama kinaweza tengeneza mseto huo basi ni wakati mwafaka wa kufanya hivyo.
4. Kwa wagonjwa wenye mild symptoms na wenye ku prove self karantini waruhusiwe kijitibu Nyumbani.
5. Mabaa na Shughuli zote zamikusanyiko isiyo ya lazima zipigwe marufuku.
6 . Wauza masoko wapunguzwe au wauze kwa zamu.. Kuwepo Na mita 2 toka muuza soko mmmoja mpaka mwingine .
7. Serikali ingize barakoa za kutosha Na kutumia wanajeshi kugawa kwenye maeneo mbalimbali na baada ya week mbili iwe ni marufuku kutembea bila barakoa.
6. Mabasi ya mikoani.. yaagizwe kubeba mtu mmoja kwa siti ya watu wawili.. kupunguza kukaribiana kwa Abiria .
7 . Dalaldala kubeba abiria nusu ya idadi ili abiria wakae kwa nafasi Na zoezi hili lisimamiwe Na jeshi.
8 . Kusiwe Na total Lockdown , watu warujusiwe kufanya kazi , pale maeneo ya kazi yatakapokuwa ni hatarishi, basi eneo hilo tu ndio lifungwe.
9: Stendi za mabasi zisimamiwe Na Jeshi Na wale wapiga debe waondolewe wote kupunguza msongamano usio Na lazima .
10. Hospital maalaum za Korona zisifanye kazi y huduma zingine za kawaida ili kupunguza maambukizi.
11. Ibada ziendelee lakini waumini waingie kwa zamu na kuwepo kwa umbali wa mita 2 toka muhimini mmoja Na mwingine Na Usafi wa kutosha ufanyike kila baada ya Ibada moja kuisha kabla ya kuingia Nyingine.
12. Wanajeshi wapelekwe mtaani ili kuangalia maeneo ya kazi ambayo yataonekana kuwa hatarishi basi yafungwe .
13. Shughuli za kilimo na mifuko ziendelee kama kawaida Na wakulima waelimishwe namna ya kujikinga Na kuweka mita 2 toka mkulima mmoja mpaka mwingine.
14 . Wenye viwanda pia wao observe mita 2 toka mtu mpaka mtu Na uvaaji wa mask.
....
Mkuu naunga mkono hoja lakini umesahau Dar inabidi iwekwe kizuizini ili kuzuia ugonjwa kuenea mikoani binafsi hili jambo naona serikali inabidi walishughulikie ndio itakuwa njia rahisi ya kupambana na Corona sababu ugonjwa bado haujafika mikoani.
Hata China wameweza kupunguza kasi ya ueneaji wa ugonjwa kwa sababu mji wa Wuhan ambao ulikuwa ndio kiini cha ugonjwa ndani ya China uliwekwa kizuizini.
Embu toa mapendekezo matatu tuu katika hiyo orodha yako. By the way hivi Katibu mkuu wa Wizara ya Afya ni Daktari wa binadamu kwa taaluma yake? nikipata jibu nitauliza swali gumu
Mawazo yako mengi mazuri, ila hili LA kutumia jeshi siungi mkono.