Nzuguni one
JF-Expert Member
- Dec 23, 2019
- 1,157
- 481
Duuuhhh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We! Kama ya kawaida tuu kayakimbia ndio umuambie kumeza 100'c tumboni? Usilete utani kabisa usije mkimbiza ukasikia yuko DRC bure!Jana kaongea vituko vitupu! Mtu anawezaje kumeza mvuke wa 100 Celsius? Aanze yeye tumuone!
Moja kwa moja kwenye mada.
Kufuatia mwendelezo wa hatua za serikali kuhusiana na ugonjwa wa Corona nchini ikiwamo hotuba ya jana ya mheshimiwa rais, ni wazi sasa mheshimiwa anahitaji mawazo mbadala.
Mawazo mbadala hatayapata tokea kwa hao waliomzunguka wala hao wakuu wanaomzunguka ambao kwa sababu zilizo wazi wana matumbo yao yanayohofia tumbuzi.
Ilikuwa muhimu sana, kwa maslahi ya taifa hili mheshimiwa rais akakutana sasa na watu wengine wanaowasilisha mawazo tofauti, angalau kwa mazungumzo tu:
1. Baba Askofu Niwemugizi
2. Askofu Dr. Bagonza
3. Mheshimiwa Zitto Kabwe
Na wengine wa namna hiyo waliojipambanua kuwa hawana maslahi binafsi.
Mkuu watu hawa watakusaidia kuliokoa taifa hili. Kumbuka umoja ni nguvu.
Kwa nini Uganda waweze?
Paskali,itendee haki nafsi yako.With this, you may end up with split mind!!!Tiba mbadala,tiba mbadala,mmhTunapambana na Corona, kalipoanza ndio kalikuwa ka Corona sasa ni Corona, tuwasikilize viongozi wetu kwa kutekeleza kila maelekezo tunayopewa.
Tufuate maelekezo ya kitaalamu ya jinsi ya kujikinga lakini pia tuongezee na tiba asili na tiba mbadala.
P
Na sasa ndio amejifungia kijijini ndio tutegemee mambo ya kienyeji zaidi.
Kwani haijulikani kwamba wapo wanaopona? Mnabuni vimiradi vya upigaji, mara sijui kupulizia mitaa madawa, mara kupulizia mabasi, mara satnaizaKwa kuwa mwanaFA amepona kabisa ni vema wizara ya afya ikamtumia kama balozi wa kuelimisha jamii na kuitoa hofu kwa kuiaminisha kwamba Covid 19 inapona.