#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Nasikia via vyao vya uzazi(testicles) zina protein nyingi inaficha sana wadudu hao.
Afu its obvious wanaume ndio wana interact sana ili familia zipate chochote kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo
umri ukifika nitashauri,cha muhimu kuna haja ya kuwakuza watoto wetu kwenye misingi imara + hofu ya Mungu.
Pole sana kwa Taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kutengeneza image yake vizuri kwa Jamii ili watoto au kizazi chako kiishi vyema.Ukiwa katili,muuaji,mwizi,nk si unajiharibia wwe tu na uzao wako wote
 
Katika Nchi nyingi hata Huko uchina huu ugonjwa umeua sana wanaume kuliko wanawake, hata Katika nchi ya marekani wengi wanaokufa ni wanaume
Nini siri ya Corona?
Virusi vya corona hujihifadhi kwa wingi zaidi kwenye korodani
 
COVID 19 watu walii- under rate sana...sasa ni muda ambao nani aondoke nani anabaki...

Nawahurumia sana wazee wangu wenye magonjwa nyemelezi.......hawa ni walengwa!!
 
Bado wapo wengi tu watakaobaki. Hivyo usihofu kabisa! Na usisahau ya kwamba na wewe pia ni mzee mtarajiwa, hivyo unatakiwa uchukue tahadhari kubwa hasa wakati huu wa janga la Corona.
 
Chukua tahadhari,vaa barakoa,nawa mikono na sabuni au sanitizer,epuka misongamano,keep distance,hakuna atakae ishi milele sote ni wapitaji,zingine ni mbwembwe tu
Wapumzike kwa Amani wazee walioifanyia mema taifa hili na ambao bado tuliwahitaji.

Hakuna kusema tena lockdown ni suala la upinzani ikiwa tunapoteza viongozi mfululizo kwa kipindi kifupi tangia nchi ipate uhuru.

Pengine wapo wanaosema sio kila kifo ni Covid-19 lakini haina haja kubishana sana nao mwenye macho haambiwi tazama tena.

Wazee ni hazina katika taifa, ni washauri katika taifa na hao ni wahanga katika nyakati hizi kutokana umri unaposogea immunity inakuwa dhaifu.

Hisia za kuchekwa na mataifa makubwa ziwazi sasa suala la Viongozi vifo kufuatana namna hii kweli haijawahi tokea.

Cc: Hero, Bia yetu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata walipokuwa hai huo ushaurinwao huwa tunausikiliza...?
Haswa kipindi hiki level ya ubishi, viburi na ujuaji vimeongezeka kupita kiasi.
Matokeo yake ni nchi kuanza kuelemewa na baadhi ya mambo. Yes nje watatucheka ila sio ishu kubwa sana..


Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo tulipofikia nchi ina majeraha imegawanyika sababu ya siasa sio za upinzani tena, ila siasa za chuki na uadui.

Hivyo vijana wana uchungu na majeraha sana ndio maana unakuta viburi, ubishi na hasira.

Ndio maana hata kama wazo ni zuri vipi linazingatiwa na kufuatwa kwa kuangalia mtoaji ni mtu wa mlengo gani kisiasa.

Ni hatari kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo tulipofikia nchi ina majeraha imegawanyika sababu ya siasa sio za upinzani tena, ila siasa za chuki na uadui.

Hivyo vijana wana uchungu na majeraha sana ndio maana unakuta viburi, ubishi na hasira.

Ndio maana hata kama wazo ni zuri vipi linazingatiwa na kufuatwa kwa kuangalia mtoaji ni mtu wa mlengo gani kisiasa.

Ni hatari kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
You spoke my mind. Uko right kabisa.
Mbaya zaid hakuna mtu wa kuurudisha umoja.. yena wenye dhamana ndio wanachochea mpasuko.
Najua wanafaham wanachofanya but they dont care because wanafaidika wao ila madhara yameshaanza kuonekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes!
Nimefuatilia mijadala yao, hoja zao na critics zao real wanashauri mambo ya msingi sana. Mf issue ya kuwaweka Wabunge Karantini ni la msingi sana na ninashauri wabunge wanaojipenda waache kwenda bungeni tafadhari!

Muda huu sio wa Uchadema, U-ACT, au U-CCM hapa tunatakiwa kusimama kama taifa na tuwe na morale ya kushinda. Uchumi kitu gani wakati watengeneza uchumi wanakufa?

Tuiokoe Tanzania, Serikali zingatieni Ushauri wa Mbowe na Zitto. Mkiendelea kupuuza Mama Tanzania atakuwa anatundika turubai kila siku tena kwa misiba mapacha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi nzima ina Corona. Kila sehemu imepiga hodi. Tubadili mbinu ya kukabiliana nayo maana mbinu ya sasa imefeli vibaya mno. Nchi inaangamia hii. Ramani hii inaonyesha jinsi Corona alivyosambaa na hao ni walioonyesha dalili wakapimwa.
View attachment 1435189
Toa ushauri mbinu gani mpya zitumike badala ya kulalamika na kulaumu tu kama mtoto.

Maisha yako, ya familia, ndugu, jirani, na marafiki yako mikinoni mwako iwapo utajilinda na kujikinga dhidi ya maambukizi.

Kwa pamoja tutavuka salama.

JIKINGE UMKINGE JIRANI
 
Back
Top Bottom