Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kutengeneza image yake vizuri kwa Jamii ili watoto au kizazi chako kiishi vyema.Ukiwa katili,muuaji,mwizi,nk si unajiharibia wwe tu na uzao wako woteNipo
umri ukifika nitashauri,cha muhimu kuna haja ya kuwakuza watoto wetu kwenye misingi imara + hofu ya Mungu.
Pole sana kwa Taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Virusi vya corona hujihifadhi kwa wingi zaidi kwenye korodaniKatika Nchi nyingi hata Huko uchina huu ugonjwa umeua sana wanaume kuliko wanawake, hata Katika nchi ya marekani wengi wanaokufa ni wanaume
Nini siri ya Corona?
Kiafya wanawake wako vizuri ukitaka kulijua hilo ebu jifungie wewe na mke wako siku kadhaa bila kula chochote uone nani ataanza kufa kati ya mwanamke na mwanamme
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapumzike kwa Amani wazee walioifanyia mema taifa hili na ambao bado tuliwahitaji.
Hakuna kusema tena lockdown ni suala la upinzani ikiwa tunapoteza viongozi mfululizo kwa kipindi kifupi tangia nchi ipate uhuru.
Pengine wapo wanaosema sio kila kifo ni Covid-19 lakini haina haja kubishana sana nao mwenye macho haambiwi tazama tena.
Wazee ni hazina katika taifa, ni washauri katika taifa na hao ni wahanga katika nyakati hizi kutokana umri unaposogea immunity inakuwa dhaifu.
Hisia za kuchekwa na mataifa makubwa ziwazi sasa suala la Viongozi vifo kufuatana namna hii kweli haijawahi tokea.
Cc: Hero, Bia yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka wanaoambukizwa zaidi HIV ni wanawakeNdo maana mie sijawahi juta kuwa mwanamke aisee..sijawahi😄😄
Tatizo tulipofikia nchi ina majeraha imegawanyika sababu ya siasa sio za upinzani tena, ila siasa za chuki na uadui.Hata walipokuwa hai huo ushaurinwao huwa tunausikiliza...?
Haswa kipindi hiki level ya ubishi, viburi na ujuaji vimeongezeka kupita kiasi.
Matokeo yake ni nchi kuanza kuelemewa na baadhi ya mambo. Yes nje watatucheka ila sio ishu kubwa sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa case ni corona mzee baba..stick to thtKumbuka wanaoambukizwa zaidi HIV ni wanawake
COVID 19 watu walii- under rate sana...sasa ni muda ambao nani aondoke nani anabaki...
Nawahurumia sana wazee wangu wenye magonjwa nyemelezi.......hawa ni walengwa!!
🏃🏃🏃Hapa case ni corona mzee baba..stick to tht
You spoke my mind. Uko right kabisa.Tatizo tulipofikia nchi ina majeraha imegawanyika sababu ya siasa sio za upinzani tena, ila siasa za chuki na uadui.
Hivyo vijana wana uchungu na majeraha sana ndio maana unakuta viburi, ubishi na hasira.
Ndio maana hata kama wazo ni zuri vipi linazingatiwa na kufuatwa kwa kuangalia mtoaji ni mtu wa mlengo gani kisiasa.
Ni hatari kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuuNa kutengeneza image yake vizuri kwa Jamii ili watoto au kizazi chako kiishi vyema.Ukiwa katili,muuaji,mwizi,nk si unajiharibia wwe tu na uzao wako wote
Toa ushauri mbinu gani mpya zitumike badala ya kulalamika na kulaumu tu kama mtoto.Nchi nzima ina Corona. Kila sehemu imepiga hodi. Tubadili mbinu ya kukabiliana nayo maana mbinu ya sasa imefeli vibaya mno. Nchi inaangamia hii. Ramani hii inaonyesha jinsi Corona alivyosambaa na hao ni walioonyesha dalili wakapimwa.
View attachment 1435189