#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Hili ni jambo la dharula. Wabunge kwa kipindi hiki kigumu wasilipwe mafao yao ambayo hua zaidi ya milion 200 kila mmoja na wapo wabunge zaidi ya 350. Na badala yake serikali wachukue hizo pesa waongezee kidogo wanunue ventilators za kusaidia kupumua zaidi ya 350. Na aamini zitasaidia sana.
Inabidi wabunge wayasemehe mafao yao kwa kipindi hiki cha miaka 5 kutokuwepo kabisa.
Watakufa Kwa presha
 
Sijui ni ukaidi ama dharau ?kama wote watanzania tungeamua kumsikiliza Mr Polepole, mzee wetu mwenye busara kisha tukachota zile hekima zake basi ii covid 19 isingefua dafu kabisa

Alisema ya kwamba Corona ni sawa na wapinzani na tutapambana nayo kama tunavyopambana na wapinzani
cha kushangaza watu wakakimbilia makanisani na kujifukizia kwenye ma vyungu,For God sake hadi RPC bora kabisa kuwahi kutokea nchini yaani Rpc shana wa Arusha naye akaenda kupiga sala kanisani wakati anajua jinsi Chadema na lema wanavyoshughulikiwaga

Yule mwenyekiti wa ccm mara naye kapiga maombi,nikajiuliza hivi hawa wazee wa system si ndo waliwashughulikia wale kina mama wa chadema waliovunja geti gerezani ili wamtoroshe mbowe?wazee wa system jamani tumieni zile mbinu za kupambanaga na upinzani muimalize chadema

Ikishindakana basi ifanyike plan B ya usajili itumike nji yoyote ili hata kama ni kutoa kafara kwa bwana covid chochote kile nyie ni wazee wa intelejensia hamuwezi shindwa bwana

Kama hamtaelewa basi mtafuteni mzee polepole popote alipo bila shaka yeye na komredi bashiru wapo likizo ya pasaka.
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
Uchochezi
Sijui ni ukaidi ama dharau ?kama wote watanzania tungeamua kumsikiliza Mr Polepole, mzee wetu mwenye busara kisha tukachota zile hekima zake basi ii covid 19 isingefua dafu kabisa
ALisema ya kwamba Corona ni sawa na wapinzani na tutapambana nayo kama tunavyopambana na wapinzani
cha kushangaza watu wakakimbilia makanisani na kujifukizia kwenye ma vyungu,For God sake hadi RPC bora kabisa kuwahi kutokea nchini yaani Rpc shana wa Arusha naye akaenda kupiga sala kanisani wakati anajua jinsi Chadema na lema wanavyoshughulikiwaga
Yule mwenyekiti wa ccm mara naye kapiga maombi,nikajiuliza hivi hawa wazee wa system si ndo waliwashughulikia wale kina mama wa chadema waliovunja geti gerezani ili wamtoroshe mbowe?wazee wa system jamani tumieni zile mbinu za kupambanaga na upinzani muimalize chadema
Ikishindakana basi ifanyike plan B ya usajili itumike nji yoyote ili hata kama ni kutoa kafara kwa bwana covid chochote kile nyie ni wazee wa intelejensia hamuwezi shindwa bwana
Kama hamtaelewa basi mtafuteni mzee polepole popote alipo bila shaka yeye na komredi bashiru wapo likizo ya pasaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona haitambui rais wala nani ndio maana Magufuli alikimbia mapema sana kwenda kujificha Chato kwao
 
Hili ni jambo la dharula. Wabunge kwa kipindi hiki kigumu wasilipwe mafao yao ambayo hua zaidi ya milion 200 kila mmoja na wapo wabunge zaidi ya 350. Na badala yake serikali wachukue hizo pesa waongezee kidogo wanunue ventilators za kusaidia kupumua zaidi ya 350. Na aamini zitasaidia sana.
Inabidi wabunge wayasemehe mafao yao kwa kipindi hiki cha miaka 5 kutokuwepo kabisa.
Wazo zuri sana siyo zile porojo za akina Mbowe mwisho wa siku ni kuilaumu Serikali tu. Wabunge waachie viinua mgongo vyao kwa ajili ya kulinda maisha ya Watanzanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakufa Kwa presha

Hapana hawatakufa, ndo mda mwafaka sahivi wa kwenda vitani vita inamaanisha kujitolea si lazima uwe mstari wa mbele. Wabunge hizo pesa wasipewe zikinunuliwa ventilators tuta save maisha sana maana watu wakisaidiwa kupumua karibu wote wata recover.
 
Acheni upuuzi

Hela za mwenge mmezipeleka wapi?
Hela za Muungano mmepeleka wapi?
Hela za Mei mosi mmepeleka wapi?
Hela za Rostam + waisani kibao

Mnashindwa kununua hizo machine zakupumua mpaka sahivi ccm majambakuzi sana.
Hata huyo wa kwenye avatar yako anatakiwa kutolipwa chochote kuanzia sasa. Pesa zote zipelekwe kununua mashine za upumuaji
 
Aisee polepole Sahivi kichwa kinawaka moto sana awezi kufua dafu kweny hii vita.
 
Hata huyo wa kwenye avatar yako anatakiwa kutolipwa chochote kuanzia sasa. Pesa zote zipelekwe kununua mashine za upumuaji

Ni kweli hata mishahara ya watumishi walipwe nusu nusu ya chakula tu kwa wakati huu mgumu.
 
Sijui ni ukaidi ama dharau ?kama wote watanzania tungeamua kumsikiliza Mr Polepole, mzee wetu mwenye busara kisha tukachota zile hekima zake basi ii covid 19 isingefua dafu kabisa
ALisema ya kwamba Corona ni sawa na wapinzani na tutapambana nayo kama tunavyopambana na wapinzani
cha kushangaza watu wakakimbilia makanisani na kujifukizia kwenye ma vyungu,For God sake hadi RPC bora kabisa kuwahi kutokea nchini yaani Rpc shana wa Arusha naye akaenda kupiga sala kanisani wakati anajua jinsi Chadema na lema wanavyoshughulikiwaga
Yule mwenyekiti wa ccm mara naye kapiga maombi,nikajiuliza hivi hawa wazee wa system si ndo waliwashughulikia wale kina mama wa chadema waliovunja geti gerezani ili wamtoroshe mbowe?wazee wa system jamani tumieni zile mbinu za kupambanaga na upinzani muimalize chadema
Ikishindakana basi ifanyike plan B ya usajili itumike nji yoyote ili hata kama ni kutoa kafara kwa bwana covid chochote kile nyie ni wazee wa intelejensia hamuwezi shindwa bwana
Kama hamtaelewa basi mtafuteni mzee polepole popote alipo bila shaka yeye na komredi bashiru wapo likizo ya pasaka.

Kuna Watu wengine kama huyu Slow Slow ukiangalia tu Sura yake ilivyo ya Anticlockwise huwezi Kutegemea ziwe zinamtosha!!
 
Ni kweli hata mishahara ya watumishi walipwe nusu nusu ya chakula tu kwa wakati huu mgumu.
Hivi uko serious kabisa unaongea hivyo.
Watumishi ambao wana miaka 5 hawajaongezwa hata cent kwenye mishahara yao ndiyo wakatwe nusu mshahara? Kodi wanazolipa ndiyo kazi yake sasa. Hilo siyo jukumu lao kabisa labda kwa umoja wao waamue wenyewe wakatwe lakini siyo lazima.
Vitu ambavyo vipo kisheria tuache kuendeshwa na hisia. Posho za wabunge,mishahara na mafao yao yapo kisheria siyo hisani ya mtu fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema wachawi wa nchi yetu walikesha mitandaoni wakiomba Corona ije ,sasa imekuja wanakimbia kujificha? Kwa taarifa yenu itawafuata huko huko mpaka maombi yenu yatimie.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom