evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Wazo zuri sana ndio tuoneuzalendo wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakufa Kwa preshaHili ni jambo la dharula. Wabunge kwa kipindi hiki kigumu wasilipwe mafao yao ambayo hua zaidi ya milion 200 kila mmoja na wapo wabunge zaidi ya 350. Na badala yake serikali wachukue hizo pesa waongezee kidogo wanunue ventilators za kusaidia kupumua zaidi ya 350. Na aamini zitasaidia sana.
Inabidi wabunge wayasemehe mafao yao kwa kipindi hiki cha miaka 5 kutokuwepo kabisa.
Sijui ni ukaidi ama dharau ?kama wote watanzania tungeamua kumsikiliza Mr Polepole, mzee wetu mwenye busara kisha tukachota zile hekima zake basi ii covid 19 isingefua dafu kabisa
ALisema ya kwamba Corona ni sawa na wapinzani na tutapambana nayo kama tunavyopambana na wapinzani
cha kushangaza watu wakakimbilia makanisani na kujifukizia kwenye ma vyungu,For God sake hadi RPC bora kabisa kuwahi kutokea nchini yaani Rpc shana wa Arusha naye akaenda kupiga sala kanisani wakati anajua jinsi Chadema na lema wanavyoshughulikiwaga
Yule mwenyekiti wa ccm mara naye kapiga maombi,nikajiuliza hivi hawa wazee wa system si ndo waliwashughulikia wale kina mama wa chadema waliovunja geti gerezani ili wamtoroshe mbowe?wazee wa system jamani tumieni zile mbinu za kupambanaga na upinzani muimalize chadema
Ikishindakana basi ifanyike plan B ya usajili itumike nji yoyote ili hata kama ni kutoa kafara kwa bwana covid chochote kile nyie ni wazee wa intelejensia hamuwezi shindwa bwana
Kama hamtaelewa basi mtafuteni mzee polepole popote alipo bila shaka yeye na komredi bashiru wapo likizo ya pasaka.
Corona haitambui rais wala nani ndio maana Magufuli alikimbia mapema sana kwenda kujificha Chato kwaoSijui ni ukaidi ama dharau ?kama wote watanzania tungeamua kumsikiliza Mr Polepole, mzee wetu mwenye busara kisha tukachota zile hekima zake basi ii covid 19 isingefua dafu kabisa
ALisema ya kwamba Corona ni sawa na wapinzani na tutapambana nayo kama tunavyopambana na wapinzani
cha kushangaza watu wakakimbilia makanisani na kujifukizia kwenye ma vyungu,For God sake hadi RPC bora kabisa kuwahi kutokea nchini yaani Rpc shana wa Arusha naye akaenda kupiga sala kanisani wakati anajua jinsi Chadema na lema wanavyoshughulikiwaga
Yule mwenyekiti wa ccm mara naye kapiga maombi,nikajiuliza hivi hawa wazee wa system si ndo waliwashughulikia wale kina mama wa chadema waliovunja geti gerezani ili wamtoroshe mbowe?wazee wa system jamani tumieni zile mbinu za kupambanaga na upinzani muimalize chadema
Ikishindakana basi ifanyike plan B ya usajili itumike nji yoyote ili hata kama ni kutoa kafara kwa bwana covid chochote kile nyie ni wazee wa intelejensia hamuwezi shindwa bwana
Kama hamtaelewa basi mtafuteni mzee polepole popote alipo bila shaka yeye na komredi bashiru wapo likizo ya pasaka.
Wazo zuri sana siyo zile porojo za akina Mbowe mwisho wa siku ni kuilaumu Serikali tu. Wabunge waachie viinua mgongo vyao kwa ajili ya kulinda maisha ya WatanzanjaHili ni jambo la dharula. Wabunge kwa kipindi hiki kigumu wasilipwe mafao yao ambayo hua zaidi ya milion 200 kila mmoja na wapo wabunge zaidi ya 350. Na badala yake serikali wachukue hizo pesa waongezee kidogo wanunue ventilators za kusaidia kupumua zaidi ya 350. Na aamini zitasaidia sana.
Inabidi wabunge wayasemehe mafao yao kwa kipindi hiki cha miaka 5 kutokuwepo kabisa.
Watakufa Kwa presha
Hata huyo wa kwenye avatar yako anatakiwa kutolipwa chochote kuanzia sasa. Pesa zote zipelekwe kununua mashine za upumuajiAcheni upuuzi
Hela za mwenge mmezipeleka wapi?
Hela za Muungano mmepeleka wapi?
Hela za Mei mosi mmepeleka wapi?
Hela za Rostam + waisani kibao
Mnashindwa kununua hizo machine zakupumua mpaka sahivi ccm majambakuzi sana.
Hata huyo wa kwenye avatar yako anatakiwa kutolipwa chochote kuanzia sasa. Pesa zote zipelekwe kununua mashine za upumuaji
Hata huyo wa kwenye avatar yako anatakiwa kutolipwa chochote kuanzia sasa. Pesa zote zipelekwe kununua mashine za upumuaji
Sijui ni ukaidi ama dharau ?kama wote watanzania tungeamua kumsikiliza Mr Polepole, mzee wetu mwenye busara kisha tukachota zile hekima zake basi ii covid 19 isingefua dafu kabisa
ALisema ya kwamba Corona ni sawa na wapinzani na tutapambana nayo kama tunavyopambana na wapinzani
cha kushangaza watu wakakimbilia makanisani na kujifukizia kwenye ma vyungu,For God sake hadi RPC bora kabisa kuwahi kutokea nchini yaani Rpc shana wa Arusha naye akaenda kupiga sala kanisani wakati anajua jinsi Chadema na lema wanavyoshughulikiwaga
Yule mwenyekiti wa ccm mara naye kapiga maombi,nikajiuliza hivi hawa wazee wa system si ndo waliwashughulikia wale kina mama wa chadema waliovunja geti gerezani ili wamtoroshe mbowe?wazee wa system jamani tumieni zile mbinu za kupambanaga na upinzani muimalize chadema
Ikishindakana basi ifanyike plan B ya usajili itumike nji yoyote ili hata kama ni kutoa kafara kwa bwana covid chochote kile nyie ni wazee wa intelejensia hamuwezi shindwa bwana
Kama hamtaelewa basi mtafuteni mzee polepole popote alipo bila shaka yeye na komredi bashiru wapo likizo ya pasaka.
Hivi uko serious kabisa unaongea hivyo.Ni kweli hata mishahara ya watumishi walipwe nusu nusu ya chakula tu kwa wakati huu mgumu.
Wewe una chuki na mzalendo namba moja. Chuki husababisha mtu kuwa mchawi.Hata huyo wa kwenye avatar yako anatakiwa kutolipwa chochote kuanzia sasa. Pesa zote zipelekwe kununua mashine za upumuaji
Usikute huko Chato hata akitaka kuongea na Msigwa anatinga PPE kama wale tunaowaona Ununio wakizika. Kwa hilo atakuwa amejizatitiCorona haitambui rais wala nani ndio maana Magufuli alikimbia mapema sana kwenda kujificha Chato kwao