#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Kabla ya corona Tanzania tulikuwa hatuziki? Watu hawafii ?

Tumia common sense brother
kuna mtu kaenda kuzika bibi yake juzi kakutana na maiti nyingine 18 , ni punguani gani ataendelea kuamini hiyo 16 isiyoongezeka huku makaburi yanazidi kujaa ?
 
Ni 16 tu iyo idadi nyingine mnayopika peleekeni Mabeberu

Jiwe Ame nullify matokeo yote ya maabara kuhusu Corona. Kasema ya mbuzi, hata mapapai yalikuwa accepted for processing hata mengine yakawa positive.

Sasa wewe unakuja na takwimu ambazo mkuu kisha nullify? Huku si kukosa adabu?

Tanzania hamna Corona msimuudhi meko.
 
Chadema nao warudi bungeni wapitishe bajeti ya wananchi , sidhani kama kuna mwananchi yuko tayari *kodi* yake ikalipe watu waliojitoa kazini kwa hiari yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mtu kaenda kuzika bibi yake juzi kakutana na maiti nyingine 18 , ni punguani gani ataendelea kuamini hiyo 16 isiyoongezeka huku makaburi yanazidi kujaa ?

Huyo punguani anaitwa msukule. Ipo misukule mingi tu. Angalia angalia utaona mabandiko na hoja zao.

Kwa mapambio na mavuvuzela yao kuunga mkono juhudi (no matter what) utawajua tu.

Wote watakuwa wana chale angalau mgongoni. Wananuka Ushirikina. Ushirikina umewakaa vilivyo.
 
kuna mtu kaenda kuzika bibi yake juzi kakutana na maiti nyingine 18 , ni punguani gani ataendelea kuamini hiyo 16 isiyoongezeka huku makaburi yanazidi kujaa ?
hao maiti 18 una uhakika kama wote wamekufa kwa corona?
 
hao maiti 18 una uhakika kama wote wamekufa kwa corona?
wote walibebwa na gari linalobeba maiti za corona na walizikwa usiku wa manane kwenye makaburi ya corona , sasa hapo unataka ushahidi gani ? uzi uko humuhumu jf na umewekwa na barafu
 
Kama kawa Watanzania wamempuuza sana kwa mara nyingine tena.Anapewa dozi ktk mitandao huko hatari anajutraa
 
Wana bodi saalam!

Wanajukwaa, mtukufu wetu amekuwa akisema kuwa corona ni vita kama vita zingine.
Kila vita ina siraha zake, na vita hutokea kwa sababu nyingi.

Hatujui vita ya corona imekuja kwasababu gani!

Lakini uasi pia ni vita, kununuliwa nako ni vita.
Kama vile walivyowanunua wabunge wa chadema na vyama vingine vya upinzani.
Ilikuwa vita ya kuua upinzani nchini.
Kama dr silaa alivyonunuliwa ilikuwa ni uasi na ni vita.

Leo hii mtukufu anahisi wanaopima corana katika maabara wamenunuliwa na mabeberu.,
Je hii vita anapigwa nani?
Kununua vipimio fake ni vita,
Hii vita anapigwa nani?

Hii ni kwakuwa watumishi wanajambo wanaolidai kwa awamu hii kwa matendo?
Wanajiona hawana thamani kuliko vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo mh, amevipa kipaumbele kuliko taaluma?

My taje,
Ukizoea kununua wengine, ili waasi walipokuwepo jua nawe kuna siku watakuasi
CHUMA HUNOA CHUMA.
TAFAKARI CHUKUA HATUA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa huu mwandiko mbovu usioeleweka Sidhani km unaweza kujenga hoja ukasikilizwa

Tumshukuru Rais Magufuli kwa kutuletea elimu bure itapunguza watu km Wewe
 
Poleni watz wote na dunia kwa hili tatizo.

Nipende kuwaambia kuwa uhai hauna sub... Huu muda niwakuwasikiliza wataalamu wa Afya nakufata unachoambia. Na sio wanasiasa. Ambao wengine wameishia darasa la saba.
 
Hivi kweli tupo serious? Mashine moja kupima population ya watu Milioni 60? Ni kweli hatuna uwezo wa kununua hizo mashine? hata kale ka 14.9 bilioni si kangenunua hata 10? kama hii ambayo wakiipa sample za papai na mafenesi inatoa majibu tofauti.

Tungekuwa na nyingine ingekuwa ni rahisi kujua kinachoendelea, nahitimisha kwa kuuliza swali langu, hivi ni kweli tuna mashine moja tu ya kupima hawa virus wa Korona kwa population ya watu Milion 60?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana Jamii!!

Bila shaka mnaendelea kuchukua tahadhali kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona, lakini pia nawakumbusha magonjwa mengine yapo na yanaendelea kuua watu kila siku hivyo basi tuendelee kuchukua tahadhali za kiafya kama ambavyo wataalamu husika wanatushauri.

Tangu kuwepo kwa ugonjwa wa Covid-19 tumeshuhudia dunia imeendelea kuchukua tahadhali nyingi ikiwemo kufunga mipaka, kufunga shule, kuzuia mikusanyiko isiyo ya lazima, hii yote ni kuhakikisha ugonjwa huu hausambai kwa kasi na hata kuushinda kabisa.

Moja kati ya tahadhali iliyochukulia karibia duniani kote ni kufunga shule hivo wanafunzi wote kubakia nyumbani wengi wao wakiendelea na masomo kwa njia ya mtandao (online studies).
Huku kwetu Afrika suala la kufanya masomo mtandaoni halikuwa suala la kawaida na haikuwa kawaida yetu kufanya hivo hata kabla ya ugonjwa huu kuja.

Ni jambo jema na ni njia moja wapo ya kusonga mbele kitekinolojia mashuleni. Tumeshuhudia ukuaji wa teknolojia katika sekta tofauti mbali na ya elimu hivyo ujio wa Covid-19 imekuwa ni fursa nzuri kupiga hatua ktk tekinolojia hiyo mashuleni.

Je mfumo wa masomo mtandaoni utakuwa ndio mtindo wetu mpya wa maisha baada ya ugonjwa huu wa Corona?

Karibuni
 
Back
Top Bottom