Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,492
- 2,361
Baada ya kelele kuwa nyingi toka kwa baadhi ya watu kuhusu namna tunavyochukulia corona, tulisikika tukisema:
1. Hatuwezi kuzuia wachina kwa kuwa ni watalii acha waje watakuza uchumi wetu
2. Wachina wanaokuja hawatoki Wuhan ambako ni chimbuko la maambukizi
3. Wachina ni ndugu zetu hatuwezi kuwazuia
4. Baada ya muda tukaona tangazo mchina anatafutwa akisemekana ana corona
5. Wenzetu wanaathirika sana kwa kuwa nchi zao ni za baridi sisi ni kwetu kuna joto
6. Muafrika ana ngozi ngumu tumafua tunagonga mwamba
Ongeza na zako unazozikumbuka