Kwa levels za nchi masikini inafanya vizuri, ila kwa namna ambavyo tunaisemea...eti kumi bora...kwa lipi mkuu? Kumi bora kwa hali hii mkuu?Acheni ujinga basi,Tanzania inafanya vizuri sio tuu Kwa Barabara Bali maeneo mengi sana.
Ndio maana inaitwa Nchi zinazoendelea ,hao unadhani wameendelea walipitia stage hizi hizi.Kwa levels za nchi masikini inafanya vizuri, ila kwa namna ambavyo tunaisemea...eti kumi bora...kwa lipi mkuu? Kumi bora kwa hali hii mkuu?
Kwa vile umejifungia hapo Uyole, nakuelewa mkuu!Ndio maana inaitwa Nchi zinazoendelea ,hao unadhani wameendelea walipitia stage hizi hizi.
Namba zinaongea ππ
View: https://www.instagram.com/p/DBt1HBmiQev/?igsh=ZDN6bWFnNjRvaW9h
Weights au average score index weights Kwa vigezo walivyotumia kupimaHizo namba mbele ya majina ya nchi zinawakilisha nini?
Nimetembea na kufanya road trip hizo nchi zote za sadc na east africa, southafrica hatupo nae level moja ,ametuzidi miaka 50 au 100 mbele, barabara za southafrica ni level nyingine kabisa kwa quality na quantity ,kwanza bila ya kutumia gps unapotea , ni fly overs kila kona, barabara utasema magorofa,Acheni ujinga basi,Tanzania inafanya vizuri sio tuu Kwa Barabara Bali maeneo mengi sana.
Kwamba Mimi ndio nilifanya Utafiti au? Inawezekana wewe una deal na south Africa mjini tuu hujawahi hata fika interior kwao huko.Kwa vile umejifungia hapo Uyole, nakuelewa mkuu!
Huo utafiti wa Tanzania kufikika kwa 85% nchi nzima umeutoa wapi? Nipe muongozo wa Road network za Tanzania vs South Africa, both tarmac vs gravel.Kwamba Mimi ndio nilifanya Utafiti au? Inawezekana wewe una deal na south Africa mjini tuu hujawahi hata fika interior kwao huko.
Tanznaia inafikika Kwa 85% ya Vijijini Kwa Barabara Bora kabisa za gravel achilia mbali Barabara kuu
Kwa hiyo!Katika miaka ya hivi karibuni,Tanzania imeonesha juhudi kubwa sana katika kuimarisha mtandao wake wa Barabara za mjini na Vijijini na kupelekea kuingia 10 Bora Afrika ya Nchi Zenye mtandao mkubwa na Bora wa Barabara ππ
View: https://www.instagram.com/p/DBtxqsVtgAU/?igsh=MTJ5MTJsZDkyOG10Zw==
My Take
Hongera TanRoads,Wizara ya Ujenzi na Serikali ya mama Samia Kwa kutoa kipaombele kwenye ujenzi wa Barabara.
Kazi inaendelea Kwa Kasi ππ
View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1852253431278281209?t=8MkHrRRWcBsL3VWZDX-qRw&s=19
Hapo ndio mnakosea,nimesema ukimtumia stori za flaiova ,intachenji uko sawa ila vigezo vingine sio sawa.Nimetembea na kufanya road trip hizo nchi zote za sadc na east africa, southafrica hatupo nae level moja ,ametuzidi miaka 50 au 100 mbele, barabara za southafrica ni level nyingine kabisa kwa quality na quantity ,kwanza bila ya kutumia gps unapotea , ni fly overs kila kona, barabara utasema magorofa,
Acheni story za vijiweni
Upo Tarura ,wakati Natafuta nakupa hii,haya madaraja Makubwa Yako kwenye Barabara za Vijijini (TARURA) na sio TanRoads (Barabara Kuu) ππHuo utafiti wa Tanzania kufikika kwa 85% nchi nzima umeutoa wapi? Nipe muongozo wa Road network za Tanzania vs South Africa, both tarmac vs gravel.
Elewa swali langu then jibu accordingly.Upo Tarura ,wakati Natafuta nakupa hii,haya madaraja Makubwa Yako kwenye Barabara za Vijijini (TARURA) na sio TanRoads (Barabara Kuu) ππ
View: https://www.instagram.com/p/DBxomyYtBWC/?igsh=MXh1bmg5NHhqMDJjNg==
Na wewe elewa comment yangu na subiria accordingly ππElewa swali langu then jibu accordingly.
Southafrica yote ina quality roads hadi vijijini, kwanza vijiji vyao utasema miji maana ina all facilities kama malls etc ,huwezi kufananisha na nchi zetu hizi ,wametuzidi mbali sana ,hiyo hapo report ya world bank southafrica anaongoza kwa africa ,southafrica ni kama ulaya mzee usilinganishe na hizi nchi za africa hata siku moja acha kabisaHapo ndio mnakosea,nimesema ukimtumia stori za flaiova ,intachenji uko sawa ila vigezo vingine sio sawa.
Ulitakiwa utafite vigezo harafu uangalie kimoja baada ya kingine.
Mfano hivi South Africa Barabara za Vijijini zinafikoka kirahisi?
Hakika. Yaani Afrika Kusini hii ninayoifahamu mie, (nimefika by the way) ifanane na Uswazi hapa kwenye ubora wa barabara? Barabara zenyewe ni kama hizi za Moro - Mwanza, Makambako - Tunduma, Dar - Nangurukuru. No waySometimes kuwa tahira sio lazima uwe milembe
Ana utani sana jamaa aise, yani analinganusha messi na bokoHakika. Yaani Afrika Kusini hii ninayoifahamu mie, (nimefika by the way) ifanane na Uswazi hapa kwenye ubora wa barabara? Barabara zenyewe ni kama hizi za Moro - Mwanza, Makambako - Tunduma, Dar - Nangurukuru. No way
Jifunze ku post picha vizuri.Southafrica yote ina quality roads hadi vijijini, kwanza vijiji vyao utasema miji maana ina all facilities kama malls etc ,huwezi kufananisha na nchi zetu hizi ,wametuzidi mbali sana ,hiyo hapo report ya world bank southafrica anaongoza kwa africa ,southafrica ni kama ulaya mzee usilinganishe na hizi nchi za africa hata siku moja acha kabisa
Utani wa ngumi kabisa. Nikiangalia Capetown ana Johannesburg haina tofauti kabisa na Oslo, Bremen au Copenhagen kimiundombinu, leo useme wanazidiwa na Mbeya ama Dar?Ana utani sana jamaa aise, yani analinganusha messi na boko