Mtendaji Mkuu wa TANROADS: Tanzania inashika nafasi ya 9 kwa miundombinu ya barabara na madaraja kati ya nchi 54 za Afrika

Acheni ujinga basi,Tanzania inafanya vizuri sio tuu Kwa Barabara Bali maeneo mengi sana.
Nimetembea na kufanya road trip hizo nchi zote za sadc na east africa, southafrica hatupo nae level moja ,ametuzidi miaka 50 au 100 mbele, barabara za southafrica ni level nyingine kabisa kwa quality na quantity ,kwanza bila ya kutumia gps unapotea , ni fly overs kila kona, barabara utasema magorofa,
Acheni story za vijiweni
 
Kwa vile umejifungia hapo Uyole, nakuelewa mkuu!
Kwamba Mimi ndio nilifanya Utafiti au? Inawezekana wewe una deal na south Africa mjini tuu hujawahi hata fika interior kwao huko.

Tanznaia inafikika Kwa 85% ya Vijijini Kwa Barabara Bora kabisa za gravel achilia mbali Barabara kuu
 
Huo utafiti wa Tanzania kufikika kwa 85% nchi nzima umeutoa wapi? Nipe muongozo wa Road network za Tanzania vs South Africa, both tarmac vs gravel.
 
Katika miaka ya hivi karibuni,Tanzania imeonesha juhudi kubwa sana katika kuimarisha mtandao wake wa Barabara za mjini na Vijijini na kupelekea kuingia 10 Bora Afrika ya Nchi Zenye mtandao mkubwa na Bora wa Barabara 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DBtxqsVtgAU/?igsh=MTJ5MTJsZDkyOG10Zw==

My Take
Hongera TanRoads,Wizara ya Ujenzi na Serikali ya mama Samia Kwa kutoa kipaombele kwenye ujenzi wa Barabara.

Kazi inaendelea Kwa Kasi 👇👇

View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1852253431278281209?t=8MkHrRRWcBsL3VWZDX-qRw&s=19

Kwa hiyo!
Weka na hii ya Tanzania ni namba moja kwa kuwa na machawa yasiyoeleweka na yasiyojitambua na kutopenda haki zao.
 
Nimetembea na kufanya road trip hizo nchi zote za sadc na east africa, southafrica hatupo nae level moja ,ametuzidi miaka 50 au 100 mbele, barabara za southafrica ni level nyingine kabisa kwa quality na quantity ,kwanza bila ya kutumia gps unapotea , ni fly overs kila kona, barabara utasema magorofa,
Acheni story za vijiweni
Hapo ndio mnakosea,nimesema ukimtumia stori za flaiova ,intachenji uko sawa ila vigezo vingine sio sawa.

Ulitakiwa utafite vigezo harafu uangalie kimoja baada ya kingine.

Mfano hivi South Africa Barabara za Vijijini zinafikoka kirahisi?

View: https://www.instagram.com/p/DBYWIRMNlXr/?igsh=MWl6MWJkZHVmcGN6cg==
 
Hapo ndio mnakosea,nimesema ukimtumia stori za flaiova ,intachenji uko sawa ila vigezo vingine sio sawa.

Ulitakiwa utafite vigezo harafu uangalie kimoja baada ya kingine.

Mfano hivi South Africa Barabara za Vijijini zinafikoka kirahisi?
Southafrica yote ina quality roads hadi vijijini, kwanza vijiji vyao utasema miji maana ina all facilities kama malls etc ,huwezi kufananisha na nchi zetu hizi ,wametuzidi mbali sana ,hiyo hapo report ya world bank southafrica anaongoza kwa africa ,southafrica ni kama ulaya mzee usilinganishe na hizi nchi za africa hata siku moja acha kabisa
 
Attachments

  • Screenshot_20241101-111544_Chrome.jpg
    Screenshot_20241101-111544_Chrome.jpg
    162.5 KB · Views: 4
Southafrica yote ina quality roads hadi vijijini, kwanza vijiji vyao utasema miji maana ina all facilities kama malls etc ,huwezi kufananisha na nchi zetu hizi ,wametuzidi mbali sana ,hiyo hapo report ya world bank southafrica anaongoza kwa africa ,southafrica ni kama ulaya mzee usilinganishe na hizi nchi za africa hata siku moja acha kabisa
Jifunze ku post picha vizuri.

Takwimu zako ni za lini??
 
Back
Top Bottom