Mtendaji Mkuu wa TANROADS: Tanzania inashika nafasi ya 9 kwa miundombinu ya barabara na madaraja kati ya nchi 54 za Afrika

Kila takwimu Kwa Sasa tumo 👇👇
Screenshot_20241023-215409.jpg
 
Kakweli SA sijawah fika lakin tz bara za mikoa mitatu ndo cjafka ni kiufupi hata DW,VoA,BBC ,CNN wangotoa huo mkeka ningeutilia mashaka kama nilvyotilia shaka walipo tangaza tz kuwa ktk uchumi wa kati.Naipend nchi yangu iwe nyeusi,nyeupe,kame au yenye mvua nyumban ni nyumban tusifosi mambo.
 
Katika miaka ya hivi karibuni,Tanzania imeonesha juhudi kubwa sana katika kuimarisha mtandao wake wa Barabara za mjini na Vijijini na kupelekea kuingia 10 Bora Afrika ya Nchi Zenye mtandao mkubwa na Bora wa Barabara 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DBtxqsVtgAU/?igsh=MTJ5MTJsZDkyOG10Zw==

Pia soma Tanzania imeshika namba 9 Kwenye 20 Bora ya Nchi zenye Barabara bora Afrika Mwaka 2024. Yazipita Afrika Kusini, Algeria na Nigeria

My Take
Hongera TanRoads,Wizara ya Ujenzi na Serikali ya mama Samia Kwa kutoa kipaombele kwenye ujenzi wa Barabara.

Kazi inaendelea Kwa Kasi 👇👇

View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1852253431278281209?t=8MkHrRRWcBsL3VWZDX-qRw&s=19

Wale ambao hamtaki mezeni Razor barbed wire 👇👇

View: https://youtu.be/1xZXCDAOBvg?si=xQkfHPGdjXSOef0U

Tanzania pia inaongoza kwa wingi wa tatizo la afya ya akili.

Mkuu nenda kapimwe usije ukashindwa kuvuka barabara in the near future
 
Wingi wa tatizo au Ukubwa wa tatizo? Wahi mirembe ndugu imeboreshwa sana Kwa Sasa Kwa Ajili ya nyie wenye shida za Afya ya akili.
 
Hapo ndio mnakosea,nimesema ukimtumia stori za flaiova ,intachenji uko sawa ila vigezo vingine sio sawa.

Ulitakiwa utafite vigezo harafu uangalie kimoja baada ya kingine.

Mfano hivi South Africa Barabara za Vijijini zinafikoka kirahisi?

View: https://www.instagram.com/p/DBYWIRMNlXr/?igsh=MWl6MWJkZHVmcGN6cg==
Mkuu wala hatuna haja ya kujivunia hata tungeshika #1 kwenye hiyo orodha.Sis kama tukifikia malengo yetu kama taifa tutafurahi saana hata kama tutashika nafasi ya 70+ katika nchi 50+ za Kiafrika. TANROADS inapambana ndiyo lakin sio kushindana na SA.
 
Katika miaka ya hivi karibuni,Tanzania imeonesha juhudi kubwa sana katika kuimarisha mtandao wake wa Barabara za mjini na Vijijini na kupelekea kuingia 10 Bora Afrika ya Nchi Zenye mtandao mkubwa na Bora wa Barabara 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DBtxqsVtgAU/?igsh=MTJ5MTJsZDkyOG10Zw==

Pia soma Tanzania imeshika namba 9 Kwenye 20 Bora ya Nchi zenye Barabara bora Afrika Mwaka 2024. Yazipita Afrika Kusini, Algeria na Nigeria

My Take
Hongera TanRoads,Wizara ya Ujenzi na Serikali ya mama Samia Kwa kutoa kipaombele kwenye ujenzi wa Barabara.

Kazi inaendelea Kwa Kasi 👇👇

View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1852253431278281209?t=8MkHrRRWcBsL3VWZDX-qRw&s=19

Wale ambao hamtaki mezeni Razor barbed wire 👇👇

View: https://youtu.be/1xZXCDAOBvg?si=xQkfHPGdjXSOef0U

Acheni ujinga wenu na punguza upumbavu.....japo Ä·idogoo tuu
 
Back
Top Bottom