ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kila takwimu Kwa Sasa tumo 👇👇
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi inaendelea 👇👇Sahihi lakini si kwa south Africa wametuacha mbali saaaana wanachofanya hao viongozi wetu ni kuwa wanakua watanzania wengi ni mazuzu chochote watakachoongea watanzania watakubali tu. Lakini ukweli kwa south Africa tusidanganyane kabisa.
Chawa aliyeshiba damu ya yanga 'mama' yake!!!😂😂😂Sometimes kuwa tahira sio lazima uwe milembe
Tunawajibu Kwa vitendo.Hii ikikamilika Tanznaia tutakuwa Juu ya hapo so andaeni mapovu ya kutosha 👇👇Chawa aliyeshiba damu ya yanga 'mama' yake!!!😂😂😂
Katika miaka ya hivi karibuni,Tanzania imeonesha juhudi kubwa sana katika kuimarisha mtandao wake wa Barabara za mjini na Vijijini na kupelekea kuingia 10 Bora Afrika ya Nchi Zenye mtandao mkubwa na Bora wa Barabara 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBtxqsVtgAU/?igsh=MTJ5MTJsZDkyOG10Zw==
Pia soma Tanzania imeshika namba 9 Kwenye 20 Bora ya Nchi zenye Barabara bora Afrika Mwaka 2024. Yazipita Afrika Kusini, Algeria na Nigeria
My Take
Hongera TanRoads,Wizara ya Ujenzi na Serikali ya mama Samia Kwa kutoa kipaombele kwenye ujenzi wa Barabara.
Kazi inaendelea Kwa Kasi 👇👇
View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1852253431278281209?t=8MkHrRRWcBsL3VWZDX-qRw&s=19
Wale ambao hamtaki mezeni Razor barbed wire 👇👇
View: https://youtu.be/1xZXCDAOBvg?si=xQkfHPGdjXSOef0U
Wingi wa tatizo au Ukubwa wa tatizo? Wahi mirembe ndugu imeboreshwa sana Kwa Sasa Kwa Ajili ya nyie wenye shida za Afya ya akili.Tanzania pia inaongoza kwa wingi wa tatizo la afya ya akili.
Mkuu nenda kapimwe usije ukashindwa kuvuka barabara in the near future
Vyovyote iwavyo nenda kapime kisha leta majibu hapaWingi wa tatizo au Ukubwa wa tatizo? Wahi mirembe ndugu imeboreshwa sana Kwa Sasa Kwa Ajili ya nyie wenye shida za Afya ya akili.
Mkuu wala hatuna haja ya kujivunia hata tungeshika #1 kwenye hiyo orodha.Sis kama tukifikia malengo yetu kama taifa tutafurahi saana hata kama tutashika nafasi ya 70+ katika nchi 50+ za Kiafrika. TANROADS inapambana ndiyo lakin sio kushindana na SA.Hapo ndio mnakosea,nimesema ukimtumia stori za flaiova ,intachenji uko sawa ila vigezo vingine sio sawa.
Ulitakiwa utafite vigezo harafu uangalie kimoja baada ya kingine.
Mfano hivi South Africa Barabara za Vijijini zinafikoka kirahisi?
View: https://www.instagram.com/p/DBYWIRMNlXr/?igsh=MWl6MWJkZHVmcGN6cg==
Mkuu hivi hawa STATSTA siku waiweke nchi yetu kwenye nafas ya 1 kwenye orodha ya nchi zenye wananchi matajiri dunian utawaamin pia au utaona kama kebehi flani!?Acha wenge ,leta takwimu 👇👇View attachment 3140393
Kwani wanakurupuka?Mkuu hivi hawa STATSTA siku waiweke nchi yetu kwenye nafas ya 1 kwenye orodha ya nchi zenye wananchi matajiri dunian utawaamin pia au utaona kama kebehi flani!?
Wakipika wananufaikaje?👇👇Sijui Huwa wanazipikia sehemu Gani hizi takwimu?ukienda south afrika ukajionea ubora ukubwa wa mtandao wa barabara halafu ulinganishe na za kwetu utaona kabisa tumeachwa mara elfkumi.
🔨🔨Your level of stupidity has left me speechless
🤔🤔🤔🤔
Katika miaka ya hivi karibuni,Tanzania imeonesha juhudi kubwa sana katika kuimarisha mtandao wake wa Barabara za mjini na Vijijini na kupelekea kuingia 10 Bora Afrika ya Nchi Zenye mtandao mkubwa na Bora wa Barabara 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBtxqsVtgAU/?igsh=MTJ5MTJsZDkyOG10Zw==
Pia soma Tanzania imeshika namba 9 Kwenye 20 Bora ya Nchi zenye Barabara bora Afrika Mwaka 2024. Yazipita Afrika Kusini, Algeria na Nigeria
My Take
Hongera TanRoads,Wizara ya Ujenzi na Serikali ya mama Samia Kwa kutoa kipaombele kwenye ujenzi wa Barabara.
Kazi inaendelea Kwa Kasi 👇👇
View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1852253431278281209?t=8MkHrRRWcBsL3VWZDX-qRw&s=19
Wale ambao hamtaki mezeni Razor barbed wire 👇👇
View: https://youtu.be/1xZXCDAOBvg?si=xQkfHPGdjXSOef0U
Nani aache ujinga Sasa wewe fala? Waliotoa ripoti au ?Acheni ujinga wenu na punguza upumbavu.....japo Ä·idogoo tuu
Machawa woooteeeeNani aache ujinga Sasa wewe fala? Waliotoa ripoti au ?