Mtibeli Robert Heriel yawezekana akawa ndo mwana JF mwenye mwanamke mrembo sana JF nzima

Kwahiyo Mrs mtibeli umekuja kujipakulia minyama kwa picha za studio zenye editing? 😹
Nwei mmependeza..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Usituharibie biashara Sisi wenye photo studio.

Tunarekebisha picha , yaan hata Kama Una chunusi na michirizi tunaondoa chaap Kama upo flat screen tunarekebisha chogo linakuja
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Usituharibie biashara Sisi wenye photo studio.

Tunarekebisha picha , yaan hata Kama Una chunusi na michirizi tunaondoa chaap Kama upo flat screen tunarekebisha chogo linakuja
Mukubwa photo studio yako Iko wapi nije hapo 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…