Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #81
Mkuu, ngoja wataalam wa dini watakuja kulitolea ufafanuzi suala hili.Ni andiko/kitabu gani kinasema watu lazima wakazkwe kwao?
Good mkuu...Ni muhimu sana "kurudi nyumbani", inakupeni amsha kama wanafamilia kutopasahau nyumbani kwenu.
Changamoto sana hii ndugu yangu...Mkizikana makaburi ya kino mtakuwa na huo muda wa kwenda kwenu kweli?
Upo sahihi kabisa mkuu na hapa lawana au pongezi zitaenda kwa wazazi wenyewe.Lakini yote inategemea kama familia mlikuzwa vipi.
Sawa mkuuBinadamu ni wahamiaji siku zote.
Mkuu, honestly speaking wachagga wanajitahidi sana katika kwenda kwao aiseeKuna wachagga wa dar hawa tupo nao muda wote
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mhhh aisee wewe kibokoSame to me. Mtu akifa shughuli yake imeishia pale ule mwili hata ukichomwa poa tu.
Upo sahihi mkuumaana yeye anajua wanapoishi wazazi wake tu ila ye hajui walipozaliwa wazazi wake kama anajua ni through story au aliendaga mara moja tu
Safi sana baba boranajivunia kwetu na ndivyo itakavyokuwa kwa wanangu
home is best
OkaySawa,ni maamuzi ya mtu. But there is no way nikazikwe makaburi ya manispaa wakati makaburi ya familia walipozikwa babu, Bibi na ndugu weengii wa ukoo wetu yapo na yanasimamiwa vizuri? Huko mjini tunatafuta pesa kwa ajili ya nini hasa? Mimi ndugu na wanaukoo zaidi ya 80 % wako kijijini na uzao wao umetawanyika mikoa mbalimbali,lakini mara nyingi tunakutana kijijini kwani unakuta kila mtu amekuja na familia yake yote.
Hakika nyie mna umoja sana. Congrats.Sasa ikitokea misiba ndiyo kabisa, hata aliyeko Mtwara au Kigoma atakuja.
Hahahahahaaaaa, eti harufu ya kijijini kana kwamba kunakuwaga na harufu ya mjiniAngalia last para... Muoge muondoe harufu ya kijijini!!....literally it means huko kijijini hakufai hata kuishi mtu, yaani maisha yako mjini. Huu ni mfano mzuri kwa waliokimbia kijijini kwao na kuja mjini, and they don't want to hear anything about the mother land... Ndiyo maana mtu wa namna hii huwezi kumwambia habari za kuzikwa kwao kwenye makaburi ya familia au ukoo.
Wachagga na wanyakyusa ndio wengi wenye tabia kama hizi mkuuLakini kwa jamii ambazo kila mwaka wanaenda vijijini kwao, wamejenga huko, wanaendeleza mashamba, biashara, ufugaji, na wana mawasiliano daily na kijijini kwao, they will always want to be buriedhome village.
Mkuu, wengi wakihamia mjini ndio wanasahau kabisa makwao hata ukimuongelesha kihehe anajifanya hakijui hahahahahaaaaNa this is the main reason, Maana akipeleka msiba huko atafikia wapi? Alishakata connection long time sasa ataanzia wapi kuhusu makaburi, viongozi wa dini, support kwa washikaji etc etc...
Mwili hauna thaman tena bila pumzi. Ndio maana ukikaa siku mbili tu bila kuhifadhiwa kwenye fridge unaanza kutoa harufu. So sioni sababu ya kuingia gharamaMhhh aisee wewe kiboko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaburi linatisha mkuu!Maisha ya kuzika ndugu kwenye makaburi ya manispaa ni ya ajabu ila ndo hivo mjini watu hawana viwanja vikubwa au wengine wamekulia kwenye nyumba za kupanga hamna sehemu ya kuzika .
Watoto wa mjini wakiona nyumba mjini ina kaburi mbele wanashangaa hasa wazaramo.
Ni heshima kuzika kwenye ardhi ya kwenu hata kama ni kijijini
Hata mimi huwa nashangaa sana.Huwa nawashangaa watu 'wanaokompliketi ' mambo ya kuzika
Hapo Mkuu inategemea kwanza watu wana uelewa kiasi gani juu ya Kufa/ Mtu akifa ndio anakuwaje?Sasa wakuu ninaomba kujua chanzo kikuu ni nini? Je, ni wazazi wenyewe kutopenda kuwapeleka watoto kijijini wakati wa kipindi cha likizo ya mwaka ili wajuane na mazingira pamoja na ndugu zao wa huko au shida ipo wapi hapa wakuu?
Okay...Hapo Mkuu inategemea kwanza watu wana uelewa kiasi gani juu ya Kufa/ Mtu akifa ndio anakuwaje?
Kwa watu wanaoelewa/ Wasomi wazuri ambao hawafuati mila ambazo hazina mashiko; Haina haja ya Kuchoma Pesa hata kama ipo ya kutosha, ili tu kusafirisha maiti; Always maiti haina haki; Ninyi mliobaki inabidi kufanya option kwa ajili ya huo mwili wake, yeye hana option, hata kama alifanya Option akiwa hai, STill mnahitaji kuangalia mazingira baada ya kufa kabla hamjafanya maamuzi; Vitu kama Kuaga, Kuzika, sijui na makorokoro mengine ni Utamaduni tu, Ndioo maana Kuna wengine utamaduni wao wanachoma etc.