Mtindo wa Misiba ya Siku Hizi: Watoto waliozaliwa mijini (1990's) wanavyokataa kusafirisha miili ya wazazi wao kwenda kuzikwa kijijini na kupasua ukoo

Mtindo wa Misiba ya Siku Hizi: Watoto waliozaliwa mijini (1990's) wanavyokataa kusafirisha miili ya wazazi wao kwenda kuzikwa kijijini na kupasua ukoo

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Sawa,ni maamuzi ya mtu. But there is no way nikazikwe makaburi ya manispaa wakati makaburi ya familia walipozikwa babu, Bibi na ndugu weengii wa ukoo wetu yapo na yanasimamiwa vizuri? Huko mjini tunatafuta pesa kwa ajili ya nini hasa? Mimi ndugu na wanaukoo zaidi ya 80 % wako kijijini na uzao wao umetawanyika mikoa mbalimbali,lakini mara nyingi tunakutana kijijini kwani unakuta kila mtu amekuja na familia yake yote.
Okay
 
Angalia last para... Muoge muondoe harufu ya kijijini!!....literally it means huko kijijini hakufai hata kuishi mtu, yaani maisha yako mjini. Huu ni mfano mzuri kwa waliokimbia kijijini kwao na kuja mjini, and they don't want to hear anything about the mother land... Ndiyo maana mtu wa namna hii huwezi kumwambia habari za kuzikwa kwao kwenye makaburi ya familia au ukoo.
Hahahahahaaaaa, eti harufu ya kijijini kana kwamba kunakuwaga na harufu ya mjini
 
Lakini kwa jamii ambazo kila mwaka wanaenda vijijini kwao, wamejenga huko, wanaendeleza mashamba, biashara, ufugaji, na wana mawasiliano daily na kijijini kwao, they will always want to be buried
emoji1019.png
home village.
Wachagga na wanyakyusa ndio wengi wenye tabia kama hizi mkuu
 
Na this is the main reason, Maana akipeleka msiba huko atafikia wapi? Alishakata connection long time sasa ataanzia wapi kuhusu makaburi, viongozi wa dini, support kwa washikaji etc etc...
Mkuu, wengi wakihamia mjini ndio wanasahau kabisa makwao hata ukimuongelesha kihehe anajifanya hakijui hahahahahaaaa
 
Maisha ya kuzika ndugu kwenye makaburi ya manispaa ni ya ajabu ila ndo hivo mjini watu hawana viwanja vikubwa au wengine wamekulia kwenye nyumba za kupanga hamna sehemu ya kuzika .

Watoto wa mjini wakiona nyumba mjini ina kaburi mbele wanashangaa hasa wazaramo.
Ni heshima kuzika kwenye ardhi ya kwenu hata kama ni kijijini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaburi linatisha mkuu!
Sasa kuna umuhimu gani wa kuliweka nyuma ya nyumba yako halafu uwe unaliona kila siku
 
Sasa wakuu ninaomba kujua chanzo kikuu ni nini? Je, ni wazazi wenyewe kutopenda kuwapeleka watoto kijijini wakati wa kipindi cha likizo ya mwaka ili wajuane na mazingira pamoja na ndugu zao wa huko au shida ipo wapi hapa wakuu?
Hapo Mkuu inategemea kwanza watu wana uelewa kiasi gani juu ya Kufa/ Mtu akifa ndio anakuwaje?
Kwa watu wanaoelewa/ Wasomi wazuri ambao hawafuati mila ambazo hazina mashiko; Haina haja ya Kuchoma Pesa hata kama ipo ya kutosha, ili tu kusafirisha maiti; Always maiti haina haki; Ninyi mliobaki inabidi kufanya option kwa ajili ya huo mwili wake, yeye hana option, hata kama alifanya Option akiwa hai, STill mnahitaji kuangalia mazingira baada ya kufa kabla hamjafanya maamuzi; Vitu kama Kuaga, Kuzika, sijui na makorokoro mengine ni Utamaduni tu, Ndioo maana Kuna wengine utamaduni wao wanachoma etc.

Huwa nashangaa unakita familia wasomi kabisa complain ya kwamba marehemu alisema kwamba akazikwe kijijini, hizi zote ni tamaduni kwa mtu mwenye exposure anafahamu kabisa kwamba hakuna tatizo lolote hata akizikwa wapi! Ni Imani potofu ndio zitakwambia kwamba eti msipomzika mahali aliposema kuna mambo yatatokea, ukiamini hivyo basi ndio upeo wako upo hapo etc
 
Hapo Mkuu inategemea kwanza watu wana uelewa kiasi gani juu ya Kufa/ Mtu akifa ndio anakuwaje?
Kwa watu wanaoelewa/ Wasomi wazuri ambao hawafuati mila ambazo hazina mashiko; Haina haja ya Kuchoma Pesa hata kama ipo ya kutosha, ili tu kusafirisha maiti; Always maiti haina haki; Ninyi mliobaki inabidi kufanya option kwa ajili ya huo mwili wake, yeye hana option, hata kama alifanya Option akiwa hai, STill mnahitaji kuangalia mazingira baada ya kufa kabla hamjafanya maamuzi; Vitu kama Kuaga, Kuzika, sijui na makorokoro mengine ni Utamaduni tu, Ndioo maana Kuna wengine utamaduni wao wanachoma etc.
Okay...
 
Back
Top Bottom