Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

Mbumbumbu tunawakata point 6
Wameshiriki utapeli
Rage ni nabii Kwa kuwaita mashabiki wa Simba mbumbumbu
 
Simba kuruhusiwa kumtumia mchezaji haindoi kama mchezaji uyo alishawekewa pingamizi kabla Ligi haija Anza na Tff uwa Wana muda wao wa kupitia mapingamizi waliyowekewa wachezaji.

Kamati ya Sheria na haki za wachezaji pale Tff inafahamu kwamba Kuna pingamizi na lazima lisikilizwe kabla ya wachezaji wanao lalamikiwa Kuanza kucheza.

Kuna timu kadhaa ambazo wachezaji wao hawakuruhusiwa kucheza mpaka pale walipo kamilisha taratibu zote.
Tff inatakiwa ichukue hatua dhidi ya baadhi ya watendaji wake walio ruhusu Kagoma acheze.

Shauri la Mchezaji likiwa linasikilizwa lazima wahusika, walalamikaji na walalamikiwa waitwe na ilo halikufanhika kabla ya Kagoma kupewa leseni.

Hii inaonyesha Kuna Double standard pale Tff kwa baadhi ya Timu wachezaji kuzuiwa wasicheze mpaka kasoro zao za ki usajili zitatuliwe na Kagoma kupewa Leseni wakati shauri lake Bado halija zungumzwa.
 
Hili suala naona mnazunguka tu wakati waliofanya biashara na Yanga wapo Fountain Gate FC na wanatakiwa waulizwe walifanya biashara ipi na Yanga.Halafu pia watoe maelezo walifanya biashara ipi na Simba maana huko kutoa mikataba sijui tiketi ya Ndege haileti mantiki yeyote ile zaidi ya kuongeza sintofahamu kwenye suala lililo wazi kabisa.Fountain Gate walifanya biashara ipi na Yanga halafu wakafanya biashara ipi na Simba?
 
Kagoma tumtumie mara ngapi mkuu au hufuatilii ligi?
Amesimamishwa baada ya kucheza mechi 2, kwaiyo kuanzia muda huo angalia kama atacheza mechi nyingine urudi hapa Tena!
 
Na mchezaji alisaini wapi na wapi kabla ujaenda fountain gate, fountain gate kufanya biashara aiondoi uhalali wa kesi ya mchezaji kusaini pande mbili, kama fountain gate walifanya biashara na Simba kwanini mchezaji alisaini na yanga pia?
 
Hela zilitakiwa ziingizwe awamu mbili(mkataba)
Kama patakuwa hakuna kifungu kidogo kinasema pamoja na kifungu x yanga inaweza ingiza pesa zote ,kama hakuna yanga ilivunja mkataba
Wewe ni mwehu sio Bure, kwaiyo kuingiza pesa zote kabla ya muda mliokubaliana ni kosa kisheria?
 
Kwani shauri lilisikilizwa lini?
Binafsi naona ilikuwa busara uongozi wa Yanga kukaa kimya tu na kusubiria kamati ya sheria ije na maamuzi. Hii press ya kuonesha watu kuhusu nini kilichotokea kwangu naona haikuwa na maana.
 
Na mchezaji alisaini wapi na wapi kabla ujaenda fountain gate, fountain gate kufanya biashara aiondoi uhalali wa kesi ya mchezaji kusaini pande mbili, kama fountain gate walifanya biashara na Simba kwanini mchezaji alisaini na yanga pia?
mchezaji kusaini inajulikana kuwa alisaini Yanga na akasaini Simba lakini Simba walikamilisha taratibu zote hadi wakapata release letter kutoka Fountain Gate FC na wakafanya usajili wake kwenye MFUMO WA USAJILI na TFF wakatoa leseni yake kama mchezaji halali wa Simba na ndo maana Simba wanamtumia Mchezaji wao maana kaidhinishwa kwao.
 
There are arguments that certain contractual terms in favor of the player were not fulfilled by Yanga.....if this is true and that those terms were vital to the contract then the contract was voidable.......
 
Sasa hapo kesi ni ya kagoma na yanga na sio yanga na Simba, Simba alifata utaratibu lakini mchezaji akufata utaratibu ivyo mchezaji ataadhibiwa na sio Simba, Na mchezaji akiadhibiwa mwenye hasara ni Simba na sio yanga upon apo, akifungiwa miaka 2 kama kanuni zinavyosema Simba ndio mwenye hasara pamoja na kwamba atakuwa yeye kakwepa msala wa kukatwa point kwenye mechi alizomtumia kagoma!
 
Binafsi naona ilikuwa busara uongozi wa Yanga kukaa kimya tu na kusubiria kamati ya sheria ije na maamuzi. Hii press ya kuonesha watu kuhusu nini kilichotokea kwangu naona haikuwa na maana.
Yeah, ni sawa na kuitishia press shauri ambalo lipo mahakamani. Huenda kuna mtu amewatonya kuwa hawana chao, wakaamua kuja kuomba sympathy ya public
 
Reactions: Tui
Ni sawa mkuu lakini hatukupaswa kutumia nguvu kuitisha press wakati tumeshafungua kesi na ipo kwa wahusika, kwanini kusiwe na uvumilivu hadi maamuzi yatakapotolewa?
Bro naona leo umeamua kuweka wazi kuwa wewe Utopwenga mana kila siku huwa unasema hauna timu.
 
Reactions: Tui
mtajua wenyewe, hii ndio maana halisi ya UBAYA UBWELA....
 
UBAYA UBWELA, atacheza Simba na point za game alizocheza hazitakatwa.
 
Kagoma tunaendelea kumtumia fanyeni lolote mafwele wakubwa nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…