Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

Makaratasi yanayoonyesha ni mikataba haiwezi kuwa valid mpk ithibitishwe uvalidity wake haijalishi imeonekana kwny video mtembeo au picha mnato...kwenu mazezeta...
Mkiona Simba inajiachia na mchezaji Kagoma mjue kuna udhaifu au makosa yameonekana ktk mikataba hyo...
Simba kuruhusiwa kumtumia mchezaji haindoi kama mchezaji uyo alishawekewa pingamizi kabla Ligi haija Anza na Tff uwa Wana muda wao wa kupitia mapingamizi waliyowekewa wachezaji.

Kamati ya Sheria na haki za wachezaji pale Tff inafahamu kwamba Kuna pingamizi na lazima lisikilizwe kabla ya wachezaji wanao lalamikiwa Kuanza kucheza.

Kuna timu kadhaa ambazo wachezaji wao hawakuruhusiwa kucheza mpaka pale walipo kamilisha taratibu zote.
Tff inatakiwa ichukue hatua dhidi ya baadhi ya watendaji wake walio ruhusu Kagoma acheze.

Shauri la Mchezaji likiwa linasikilizwa lazima wahusika, walalamikaji na walalamikiwa waitwe na ilo halikufanhika kabla ya Kagoma kupewa leseni.

Hii inaonyesha Kuna Double standard pale Tff kwa baadhi ya Timu wachezaji kuzuiwa wasicheze mpaka kasoro zao za ki usajili zitatuliwe na Kagoma kupewa Leseni wakati shauri lake Bado halija zungumzwa.
 
Hili suala naona mnazunguka tu wakati waliofanya biashara na Yanga wapo Fountain Gate FC na wanatakiwa waulizwe walifanya biashara ipi na Yanga.Halafu pia watoe maelezo walifanya biashara ipi na Simba maana huko kutoa mikataba sijui tiketi ya Ndege haileti mantiki yeyote ile zaidi ya kuongeza sintofahamu kwenye suala lililo wazi kabisa.Fountain Gate walifanya biashara ipi na Yanga halafu wakafanya biashara ipi na Simba?
 
Na mchezaji alisaini wapi na wapi kabla ujaenda fountain gate, fountain gate kufanya biashara aiondoi uhalali wa kesi ya mchezaji kusaini pande mbili, kama fountain gate walifanya biashara na Simba kwanini mchezaji alisaini na yanga pia?
 
Hela zilitakiwa ziingizwe awamu mbili(mkataba)
Kama patakuwa hakuna kifungu kidogo kinasema pamoja na kifungu x yanga inaweza ingiza pesa zote ,kama hakuna yanga ilivunja mkataba
Wewe ni mwehu sio Bure, kwaiyo kuingiza pesa zote kabla ya muda mliokubaliana ni kosa kisheria?
 
Kwani shauri lilisikilizwa lini?
Binafsi naona ilikuwa busara uongozi wa Yanga kukaa kimya tu na kusubiria kamati ya sheria ije na maamuzi. Hii press ya kuonesha watu kuhusu nini kilichotokea kwangu naona haikuwa na maana.
 
Na mchezaji alisaini wapi na wapi kabla ujaenda fountain gate, fountain gate kufanya biashara aiondoi uhalali wa kesi ya mchezaji kusaini pande mbili, kama fountain gate walifanya biashara na Simba kwanini mchezaji alisaini na yanga pia?
mchezaji kusaini inajulikana kuwa alisaini Yanga na akasaini Simba lakini Simba walikamilisha taratibu zote hadi wakapata release letter kutoka Fountain Gate FC na wakafanya usajili wake kwenye MFUMO WA USAJILI na TFF wakatoa leseni yake kama mchezaji halali wa Simba na ndo maana Simba wanamtumia Mchezaji wao maana kaidhinishwa kwao.
 
There are arguments that certain contractual terms in favor of the player were not fulfilled by Yanga.....if this is true and that those terms were vital to the contract then the contract was voidable.......
 
mchezaji kusaini inajulikana kuwa aliaini Yanga na akasaini Simba lakini Simba walikamilisha taratibu zote hadi wakapata release letter kutoka Fountain Gate FC na wakafanya usajili wake kwenye MFUMO WA USAJILI na TFF wakatoa leseni yake kama mchezaji halali wa Simba na ndo maana Simba wanamtumia Mchezaji wao maana kaidhinishwa kwao.
Sasa hapo kesi ni ya kagoma na yanga na sio yanga na Simba, Simba alifata utaratibu lakini mchezaji akufata utaratibu ivyo mchezaji ataadhibiwa na sio Simba, Na mchezaji akiadhibiwa mwenye hasara ni Simba na sio yanga upon apo, akifungiwa miaka 2 kama kanuni zinavyosema Simba ndio mwenye hasara pamoja na kwamba atakuwa yeye kakwepa msala wa kukatwa point kwenye mechi alizomtumia kagoma!
 
Mashabiki wa Yanga ni Mbumbu na hamjielewi kabisa 🤣🤣🤣
IMG-20240912-WA0050.jpg
 
Binafsi naona ilikuwa busara uongozi wa Yanga kukaa kimya tu na kusubiria kamati ya sheria ije na maamuzi. Hii press ya kuonesha watu kuhusu nini kilichotokea kwangu naona haikuwa na maana.
Yeah, ni sawa na kuitishia press shauri ambalo lipo mahakamani. Huenda kuna mtu amewatonya kuwa hawana chao, wakaamua kuja kuomba sympathy ya public
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ni sawa mkuu lakini hatukupaswa kutumia nguvu kuitisha press wakati tumeshafungua kesi na ipo kwa wahusika, kwanini kusiwe na uvumilivu hadi maamuzi yatakapotolewa?
Bro naona leo umeamua kuweka wazi kuwa wewe Utopwenga mana kila siku huwa unasema hauna timu.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Huwezi kua na akili timamu useme utoto kama huo uki deposit pesa bank lazima uandike malipo kwa ajili ya nini,sasa unawezaje kulipa Nickson isomeke Kagoma? Tatizo ni kujifanya una akili wakati huna, kwenye maelezo ya zaidi ya nusu saa umechukua clip ya dakika mbili ili u justify u mbumbumbu wako
mtajua wenyewe, hii ndio maana halisi ya UBAYA UBWELA....
 
Kama Magoma mnamuona ana akili basi inabidi na mashabiki wa simba wakampigie magoti mzee Kilomoni kwa kumuomba msamaha kuwa walimkosea sana kipindi ambacho alikuwa anadai maslahi ya Simba kwa kukataa kutoa hati la jengo la Simba kwa Mo dweji na kutoridhika kwa mchakato wa mabadiliko ya Simba.
UBAYA UBWELA, atacheza Simba na point za game alizocheza hazitakatwa.
 
Kagoma tunaendelea kumtumia fanyeni lolote mafwele wakubwa nyie.
 
Back
Top Bottom