NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Juzi Kati nimekunjana shati na jomba langu [emoji3525]
Lipo kidato Cha pili kwenda shule mpaka lijisikie.
Mwenendo wake darasani siyo mbaya
Nahisi litakua linavuta na bangi.
Lipo kidato Cha pili kwenda shule mpaka lijisikie.
Mwenendo wake darasani siyo mbaya
Nahisi litakua linavuta na bangi.