Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Umeelewa niniTulosoma cuba tushaelewaa
🤔🤔🤔Hiyo ni kesi tayari na ushahidi ndo huo
Nyota zimeendana mtoto anafuraha akiwa karibu yakoUmenikumbusha kitu.
Nilikuwa kila nikienda kanisani nina tabia y kukaa eneo lile lile ninalopendelea kukaa.
Sasa kwa upande wa pili kuna couple moja wana bint yao. Kila wakifika kanisani mtoto ananililia. Ninamchukua nakaa naye hadi ibada inaisha. Yule mtoto sasa hivi ana miaka mitatu na tabia yake ni hiyo hiyo. Wakija kanisani ananitafuta anakuja kukaa na mimi hadi ibada inaisha ndiyo wanamchukua na hapo kananililia kweli kanataka kuondoka na mimi.
Hapo ningekuwa mwanaume nahisi ndoa ya watu ingekuwa mashakani.
Mkuu nihame tenaKijana hama hapo ni kwa wema tu wala si ubaya.
Mkuu kesi za mauaji hiziHapo umeyakanyaga mzee,ngoja mumewe arudi utatakiwa umpe sababu tatu za kwanini mwanae anakuita baba...
Bora mzee angekuwepo hiyo ni changamoto ujue,kambie kakuite anko angalauMkuu nihame tena
hata wahenga walisema "anayetokea chumbani kwa mama ndiyo baba huyo", itakuwa dogo kakufuma na maza ake zaidi ya mara moja, na wewe kwa kuzuga umelazimika umzuge na izawad kila mkionana kama TAKRIMA.Kuna Jirani yangu ana mtoto wa miaka mitano ni wa kike.
Ni mtoto muongeaji afu ni mchangamfu Sana, tumezoeana Sana nikirudi kwenye mishe mishe au nikienda dukani lazima nibebe zawadi kwa ajili yake.
Shida mtoto ameanza kuniita baba na akiulizwa na mtu baba Yuko wapi ananionesha mimi.
Je, wakuu sio tatizo kuwa karibu na mtoto huyu nisije kuwa chanzo ndoa za watu kuvunjika
Nb: Baba yake mtoto anafanya kazi nje ya mji anakuja likizo na wikiend Mara mojamoja.
Kila nikimfundisha aniite anko aelewBora mzee angekuwepo hiyo ni changamoto ujue,kambie kakuite anko angalau
Mkuu sijawahi fanya dhambi hiyo na mama wa mtoto tumefahamiana vzur kupitia mtoto wakehata wahenga walisema "anayetokea chumbani kwa mama ndiyo baba huyo", itakuwa dogo kakufuma na maza ake zaidi ya mara moja, na wewe kwa kuzuga umelazimika umzuge na izawad kila mkionana kama TAKRIMA.
ila kama mnafanana kdg basi wahenga husema "damu nzito kuliko maji", mwanao huyoo
mwambie ukiniita anko ndo nakupa zawadi, vinginevyo katakuita baba mbele ya baba yake, hapo ndo tutaanza kutafuta ndugu zako wasafirishe mwili.Kila nikimfundisha aniite anko aelew
Huyu mtoto alinizoea ata kabla ya kuanza kumpa zawadi,nahisi nyota zimeendana na ananiona mtu powa kwake.Vizawadi vya nini? Anakuombaga? Ama unapatwa na hisia binafsi kisa waitwa baba?
unadhan hayo maelezo yanamtosha baba wa mtoto? na ukizingatia ni mtu wa safari wiki nzima mke yuko mwenyeweMkuu sijawahi fanya dhambi hiyo na mama wa mtoto tumefahamiana vzur kupitia mtoto wake
Mkuu nimekulewa ntafanyia kazi ushauri wakomwambie ukiniita anko ndo nakupa zawadi, vinginevyo katakuita baba mbele ya baba yake, hapo ndo tutaanza kutafuta ndugu zako wasafirishe mwili.