Mtoto wa Jirani amezoea kuniita baba

Mtoto wa Jirani amezoea kuniita baba

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Kuna Jirani yangu ana mtoto wa miaka mitano ni wa kike.

Ni mtoto muongeaji afu ni mchangamfu Sana, tumezoeana Sana nikirudi kwenye mishe mishe au nikienda dukani lazima nibebe zawadi kwa ajili yake.

Shida mtoto ameanza kuniita baba na akiulizwa na mtu baba Yuko wapi ananionesha mimi.

Je, wakuu sio tatizo kuwa karibu na mtoto huyu nisije kuwa chanzo ndoa za watu kuvunjika

Nb: Baba yake mtoto anafanya kazi nje ya mji anakuja likizo na wikiend Mara mojamoja.
 
Umenikumbusha kitu.
Nilikuwa kila nikienda kanisani nina tabia y kukaa eneo lile lile ninalopendelea kukaa.

Sasa kwa upande wa pili kuna couple moja wana bint yao. Kila wakifika kanisani mtoto ananililia. Ninamchukua nakaa naye hadi ibada inaisha. Yule mtoto sasa hivi ana miaka mitatu na tabia yake ni hiyo hiyo. Wakija kanisani ananitafuta anakuja kukaa na mimi hadi ibada inaisha ndiyo wanamchukua na hapo kananililia kweli kanataka kuondoka na mimi.

Hapo ningekuwa mwanaume nahisi ndoa ya watu ingekuwa mashakani.
 
Nyota zimeendana mtoto anafuraha akiwa karibu yako
 
Kuna Jirani yangu ana mtoto wa miaka mitano ni wa kike.

Ni mtoto muongeaji afu ni mchangamfu Sana, tumezoeana Sana nikirudi kwenye mishe mishe au nikienda dukani lazima nibebe zawadi kwa ajili yake.

Shida mtoto ameanza kuniita baba na akiulizwa na mtu baba Yuko wapi ananionesha mimi.

Je, wakuu sio tatizo kuwa karibu na mtoto huyu nisije kuwa chanzo ndoa za watu kuvunjika

Nb: Baba yake mtoto anafanya kazi nje ya mji anakuja likizo na wikiend Mara mojamoja.
hata wahenga walisema "anayetokea chumbani kwa mama ndiyo baba huyo", itakuwa dogo kakufuma na maza ake zaidi ya mara moja, na wewe kwa kuzuga umelazimika umzuge na izawad kila mkionana kama TAKRIMA.

ila kama mnafanana kdg basi wahenga husema "damu nzito kuliko maji", mwanao huyoo
 
Mkuu sijawahi fanya dhambi hiyo na mama wa mtoto tumefahamiana vzur kupitia mtoto wake
 
Back
Top Bottom