Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Hakuna kitu kinachonisikitisha kama kuanika matokeo ya mtu for the public to see kama Baraza la Mitihani wanavyofanya. Hivi hawa wazee wetu walioko huko NECTA na serikalini kwa ujumla hawajapitia pitia kidogo shule za nchi nyingine waelewe concept za academic privacy jamani, wakoje hawa watu?
Kama haifai kuwa huko, kwa kauli ya rais atatolewa tu. Na hapa ndiyo mtajua rais hatanii.
========
Kama ni Mzee wa kurusha vitimo juu ya zulia kwenye mitandao, basi analo.
View attachment 353194 View attachment 353193 St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
============
Hapo cha ajabu nini? Hujui kuwa kuna kurudia mitihani? Eboo! Alirudia mitihani na kufaulu kisha akaendelea.
Kaka, usibabaishwe na hill neno technician, fuatilia uone Nondo wanazokula! Mimi ninasalute wote wenye FTC
Kama matokeo haya ni ya ukweli,naanza kuziona dalili za kuwashughulikia wenye vyeti feki zikigonga mwamba
Tafuta jina lake hapa ni mwaka 2014Kitu kimoja kimekosekana ambacho kingenogesha zaidi hii thread, tarehe ya hayo matokeo na tarehe ya admission ya UDOM.Mwenye dates hizo tafadhali, fanya msaada!
Kama Division IV point 30 sio kufeli basi toa jina lingine, maana hiyo marks sio ya kuitwa umefaulu.kwani div. 4 ni kufeli ..?
Amechaguliwa kupitia NACTE means equivalent qualifications na amemaliza mwaka 2011 akijiunga chuo sawasawa na wenzake aliomaliza nao kidato cha nne, maajabu hayataisha nchi hii.Hapo cha ajabu nini? Hujui kuwa kuna kurudia mitihani? Eboo! Alirudia mitihani na kufaulu kisha akaendelea.
Tafuta jina lake hapa ni mwaka 2014
https://www.jamiiforums.com/attachments/college-of-humanities-and-social-sciences-xls.188351/
miaka mingapi? Diploma unaenda straight na div 4 yako ya point 30? Tena kwenye chuo cha utumishi wa umma?Acheni kupotosha umma nyie,huyo binti amesoma diploma ya HRM chuo cha utumishi wa umma magogoni ndio akaenda udom.
Amechaguliwa kupitia NACTE means equivalent qualifications na amemaliza mwaka 2011 akijiunga chuo sawasawa na wenzake aliomaliza nao kidato cha nne, maajabu hayataisha nchi hii.
hoja kubwa kwa mtoto wa rais ni tata sana,yeye alifeli kidato cha nne ila saivi yupo chuo degree tena darasa moja na wale aliomaliza nao kidato cha nne.Je hiyo certificate amesoma lini kiasi kwamba ameungana na wenzie waliofaulu kidato cha nne? Jesca yupo mwska ws pili UDOM ila wote aliomaliza nao amewakuta.je huoni maajabu hayo mkuu? udahili wake kuelekea udom unaonyesha umepitia nacte ila hiyo diploma kasoma lini? ilipaswa apitie certificate mwaka mmoja na diploma miaka 2 halaf aeleker huko udom ila maajabu ni kuwa yeyr kaishi miaka 3 ambayo inaurefu sana na ile miwili ya wenzio waliopitia advance....haya ni maajabu.Aliyefeli na aliyefaulu huachana kidogo.Nadhani NACTE ni jipu pia Prof Ndalichako kazi kwako mana sisi kama JF kazi yetu ni kukuonyeshea majipu ili utumbue.
Ni mwaka 2011 mtafute hapa http://196.44.162.33/necta2011/CSEE 2011/s1071.htmAsante Molembe, bado mwaka aliomalizia kidato cha nne, naamini nao nitaupata
miaka mingapi? Diploma unaenda straight na div 4 yako ya point 30? Tena kwenye chuo cha utumishi wa umma?