Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Kama form 5 na 6 kafanya vizuri anaweza kuchuguliwa kwenda chuo kikuu.
Inakua tatizo kama hajapitia high level au certificate au diploma.
 
Jana kamsema vibaya kikwete alafu akawa anacheka wakati mwenzie kaonyeshwa kanuna.Sifa zikizidi huzaa aibu.
 
Mbona mkuu kasema waliofukuzwa na wanaowatetea ni vilaza, hakusema kwenye public?
 
atoe ufafanuzi maana sije akawafukuza watoto wa wenzake kumbe na yeye watoto wake wanapaswa kufukuzwa
 
Kuwaita watoto wa wenzako vilaza wakati kumbe na wewe umezaa kilaza ni aibu kubwa.
 
Huo mnaoueneza ni uongo ,DV 4 kwa mtu mwenye D 3 na C moja unakwenda chuo kikuu bila kupingwa ,unafuata hatua zifuatazo unakwenda certificate mwaka mmoj Then unaingia diploma miaka miwili,ukitoka unakwenda kusoma degree,Au option nyingine unaweza kwenda ualimu grade one,then unakwenda diploma,then degree...Tatizo kabla hamjatoa hoja chambua kwanza ndugu
 
Acha kutisha watu wewe
 

ndorooboo weyee!!! yeye alivyowaita watoto wa wenzie ni vilaza hakujua kama na yeye amezaa???
 
Bhandu bhabaya aiseee...Mnafukunyua hadi ku-uvunguni? scratch my back i'll scratch yours! #Mbwakalambwa.
 
Mtu akiwa na D 4 anaruhusiwa kufanya professional course then asome foundation course kama atafaulu anaweza kuomba chuo kikuu na akakubaliwa.
So kwa nchi hii kama mtu akimaliza form 4 anaweza kuwa chuo kikuu baada ya miaka 2 bila kuchakachua popote.
Na kama ataenda kwa mtindo wakawaida kama alivyokua anasema rais ataanza na cheti mwaka 1, then diploma mwaka 1 halafu degree ni sahihi.
Ila hawezi kutoka form four tukamkuta chuo kikuuu
 
Naona bro wa Msoga anaangalia movie kwa tabasamu kali akisip juice ya embe tartiiib
 
Swali, huyo mtoto wake naye ni kati ya wale 7000 waliorudishwa nyumbani!!?
 
VILAZA Tuheshimiwe
Pia tunataka iwepo siku ya vilaza Tanzania...
 
Ndugu umekurupuka mbayaaaaa....soma mada upya hapa, hakuna asiyejua ulichoandika bali tatizo mwanafunzi aliyemaliza form four 2011 akafeli kisha kuingia degree 2014 haiwezekani kabisa labda angekunja kwa kurisiti kisha asome form 5-6 kwa mwaka mmoja hapo sawa ila kupitia NACTE means ana diploma jiulize na akili zako kwa miaka hiyo inawezekana??? Angekuwa kamaliza form four 2010 akafeli hapo ingewezekana kwani angepiga certificate na diploma miaka mitatu na 2014 angeingia degree lakini kwa 2011 ni ngumu kabisa
 
Naona bro wa Msoga anaangalia movie kwa tabasamu kali akisip juice ya embe tartiiib
Halafu ukute yeye ndio mastamainda wa muvi karibia zote zinazo ibuka ktk utawala wa msukuma.

"huwaga" simuamini yule mzee hata kidogo.

labda ni figisu figisi za kuelekea kukabidhiwa chama,wameanza na "kuichokonoa" familia yake ili aje kuwa mpole atakapo kabidhiwa mikoba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…