Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mkuu hesabu ulipata A hongera zako.
 
Kama elimu ya wanawe imemshinda hii ya nchi ataiweza? Kama huyu binti kaingia kwa magumashi mbona yeye kama mzazi hakumzuia?
Heheheh dah nimecheka kama chz mkuu
Eti kama elimu ta mwanae imemshinda je ya nchi ataiweza
 
Ktk ulimwengu huu ni Tanzania pekee mtu aliepata division four anasoma chuo kikuu(anynomous)
 
Aliyapata mwaka 2011, udom anasoma shahada B. COM HRM tangu mwaka 2014 nina hakika Nimemjibu Maswali yako.
Kwa matokeo yake nadhani alipaswa kuanza na certificate (1year) kisha diploma(xyz yrs)....
 
Mtoto wa mkulu atimuliwe,PIA TUHOJI,je anapata mkopo?kama anapata,je asilimia ngapi?baba yake hajiwezi kumlipia mwanae? Kama anajiweza kwa nini asingwaachia maskini anaojinasibu kuwatetea wapate mkopoooooo!!!! Bodi ya mikopo tunaomba kauli
 
Hiyo combination gani ya form six ina masomo saba? Kuna combination yenye somo la Civics?
Sawa nimeielewa mkuu,kuna figure sizielewi.sasa basi kama alizi clear kwa kufanya certificate au diploma au re sitting hawezi ku qualify?
 
Hiyo shule ada shilingi ngapi ?
Unaweza kukuta anapata mkopo wa bodi ya mikopo elimu ya juu japo baba yake ana uwezo,serikali ya wanafunzi UDOM lazima mna data za huyu binti
 
Sawa nimeielewa mkuu,kuna figure sizielewi.sasa basi kama alizi clear kwa kufanya certificate au diploma au re sitting hawezi ku qualify?
Anaweza kuqualify ndugu the issue ni MUDA tu ndio umeleta ukakasi mzima...haiwezekani akaclear na kuunga na leo awe anamaliza mwaka wa pili kwamba anaingia mwaka wa tatu ni jambo lisilowezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…