Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Sijawahi kuona kilaza kama huyo mkuu!
 
Hii nimeipenda maana imekuwa vice - versa ya ile ya mkuu
 
Sasha moto washa moto,kama matokeo kifamilia yako hivi,sishangai kauli kuhusu sukari,kuchomoa tairi
 
Naomba msaada. Kuna yeyote anayemfahamu mtoto wa Rais yeyote wa TZ aliyewahi kufanya vizuri ktk masomo?

Naogopa isijekuwa tunapata marais ambao ni genetically weak.
 
Huyu mtt wa JPM hajasoma UDOM coz me nilikuepo miaka hiyo ya 2012 na nlikua nasoma hy coz Bcom HRM sikuskia wala kumuona huyo binti. Yawezekana alichaguliwa ila hakuja kusoma.
 
Kuna kitabu kilitungwa kinaitwa "mafisadi wa elimu" nafikiri lazima part two iwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…