Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Akya mama, huyu binti maringo yote hayo kumbe alipata pass mark hizi, faknlai skubar, daaaaaaaaaaaaa hii nchi bhana wanasiasa inabidiwajichunge nsana maana hata wao sio wakamilifu.
 
Heeeeee
 
Aliyapata mwaka 2011, udom anasoma shahada B. COM HRM tangu mwaka 2014 nina hakika Nimemjibu Maswali yako.
Basi inawezekana akaingia chuoni kwa sifa stahiki. Kwani haishindikani kurudia mtihani 2012 huku ukiwa unachukua masomo ya kidato cha tano. 2013/2o14 amemaliza kidato cha sita mwezi wa tano na mwezi wa saba matokeo kutoka na kuanza mchakato wa kujiunga na chuo.
Yapo mambo mengi yanayochangia mtu kushindwa mtihani. Tatizo baadhi ya wajinga humu jamvini wao wanasababu moja tu ya ujinga wa mwanafunzi.
Kama hizi ndizo sababu pekee unazozitumia kupinga uwepo wa binti Magufuli UDOM hazitoshi bali zinatosha kuthibitisha kuwa wewe unashinikizwa na roho ya wivu wa kichawi.
 
mbona wakina Lizabon...hawaonekani humu wakichangia kulikon...hahahaa
Nimewaita kwa sauti kuu....lakini wamekaa kimya kama maji ya Kisima cha kaole.....chi chi dodo-ndege asiyependa kinyesi,lakini anapenda kula funza,anachukia ufisadi wa elimu,lakini kwa mwanawe saw a,kweli uchungu wa mwana aujuae baba jesi
 
Kupata div 4 form 6 si ukilaza kama ukiisafisha kwa ku re-sit mitihani na kufaulu. Hapa hakuna matokeo ya form 4 kama alirudia pepa, hakuna matokeo ya certificate kama alisomea, hakuna matokeo ya diploma au hata ya form 6 ambayo yote yanawezekana kati ya 2011-2014. Kama tu unataka tufahamu alipata div 4 its ok tushafahamu .
 
@lizaboniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii njoooo huku moto unawakaaaa
 
NACTE wanadahili wanafunzi waliomaliza Form 6? kama ujui bora ukaficha ujinga wako.
 


HAHAHA! NA MAMA JESCA ALIKUWA MWALIMU WA SHULE ....!

AISEE WATU WANAFUKUA!... MAGU ATAKOMA KUROPOKA!
 
Ninavyojua mimi Magufuli hana binti mkubwa kuwa chuo! Na hata kama ni ndugu basi amefukuzwa.
 
Kweli hii ndiyo Tz,ukijifanya wajua kumbe wapo wanaojua zaidi yko,na kama wasipokujua ipo siku watakujua tu
 
Jaman muacheni mtoto wa watu amalizie chuo kikuu mnaweza mkasababisha akajinyonga
Wengine ndiyo kumbe wana haki ya kitwa vilaza , nina imani anapitiaa wakati mgumu vile kama wenzake walioitwa vilaza kweny vichwa vya habri katika magazeti ya leo
 
NACTE wanadahili wanafunzi waliomaliza Form 6? kama ujui bora ukaficha ujinga wako.
Hata wa chuo kikuu anadahiliwa bora awe anakwenda kusoma vyuo vilivyo chini ya usimamizi wao.
Ulivyo mpumbavu wewe ulifikiri vipi? Acha kukariri na kukurupuka. Fuatilia huyu niliyemjibu aliuliza nini? Na mimi nimemjibu nini. Tumia akili.
 
Mkuu na we ulitaga yai nini? Sisi wenye div 1,2 zetu watuoneshe tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…