Mtoto wa marehemu John Komba amshauri mtoto wa Ndugai... CCM sikieni

Aiseee..
 
Nimesoma nae Shule ya msingi Kawe A.
Ni hayo tu.
 
Marafk wa Bab ni tofaut na marafk wa familia, marafk wapo wachache wataoisaidia familia yako once you dead & Gone , Ndugu inabd tujenge misingi ya kujaliana san ndio rahis kusaidia

Lakn sizan kam watakuw na shida ndogo ndogo hasa kipnd hiki cha awali, kam mzee amekufa 63 means kam watoto wake 1 had ,3 si watakuw kwenye biashara au ajira
 
Hivi ccm itawasaidia wangapi?
 
Bwana hupatiliza wana wa uovu hadi kizazi cha Nne

Tunawaelimisha kila siku hawaelewi.
 
Wamuulize Dominiki Furaha atawaeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…