G
Kaolewa na mzee wa jambia sio? 😁😁😁Wa Komba walitelekezwa completely hata madai ya baba yao kwenye chama walidhulumiwa.
Kuna yule dada “our age” alibidi aghairi mwaka chuoni auze chakula ili kukusanya ada. Yule ameolewa na mchambuzi wenu wa mpira.
Wewe mkewe? Asset Za haki? Kama sio haki unaweza kukuta inadondoka moja mojaNdugai kaacha assets za kutosha, familia haiwezi tetereka. Hakuacha madeni kama komba.
Duuh komba huyu huyu wa Wembe ni ule ule.....Wa Komba walitelekezwa completely hata madai ya baba yao kwenye chama walidhulumiwa.
Kuna yule dada “our age” alibidi aghairi mwaka chuoni auze chakula ili kukusanya ada. Yule ameolewa na mchambuzi wenu wa mpira.
Sa sijui wali divorce rasmi au vipiLow profile.
Waulize waliopita huku then wako kibao namna ya kugawana mpk wanauanaKama assets zipo hakuna shida. Zaa hata na wanawake 20.
Wengi tu wanaotakiwa kupumzika ila wameshupaza shingo na kung'ang'ania na hawajajifunzaNi kweli. Binadamu haturidhiki, lakini kwa investments za Ndugai ilikuwa ni muda wa kupumzika ale matunda ya miradi yake.
Hayo yote yana tatuliwa kwa kuzuia wanasiasa kuwa wapiga kura kwenye chaguzi kuu za kitaifa ...udiwani ubunge urais ...haoa mwanasiasa asiwr mpiga kura wa hizi chaguzi ....na ili ndiyo pungufu kubwa kwenye katiba ya Kenya japo inadaiwa ni nzuriSiasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.
Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za madaraka kwenye CCM. Kundi hili ni kundi linalotumiwa na zile koo zinazomiliki CCM kutengeneza picha kuwa CCM kila mtu anaweza kuwa kiongozi.
Kundi la tatu ni kundi wezeshi ambalo ndani ya kundi hili wapo watu ambao hutumiwa na kundi la Koo za wenye CCM kuonesha kuwa CCM ni chama cha umma.
Kundi la nne ni kundi la wanachama wa kawaida ambao wapo CCM kwa mazoea tu, woga, kujikomba, ujinga, umaskini, na hata ushirikina.
Leo nimemsikiliza mtoto wa Marehemu John Komba (toka kundi wezeshi) akimnasihi mtoto wa Marehemu Job Ndugai toka kundi (Pangu pakavu tia mchuzi) juu ya maisha yao watoto wa Ndugai yatakavyokuwa baada ya baba yao kufariki
View attachment 3439424
Kumbe watoto wa Komba baada ya baba yao kufariki walitelekezwa na CCM😳
Komba alikuwa jamaa wa totos hiyo akiba anawekaje akaishia kuacha madeni hadi shule ikataifishwa.Ndugai kaacha assets za kutosha, familia haiwezi tetereka. Hakuacha madeni kama komba.
In this case hazipukutiki mali za marehemu. Zitatumiwa na mke aliyekua naye ktk shida na raha, ambaye ni huyu wa pili. Mfano, kipindi Ndugai anaugua mpaka kidogo akate roho mpaka kupelekwa India huyu wa pili ndo alikuwa na Ndugai.Alikuwepo ila naona hakutambuoiwa rasmi km yule bi mdogo
Labda wa kwanza walikuwa washa achana 🤷In this case hazipukutiki mali za marehemu. Zitatumiwa na mke aliyekua naye ktk shida na raha, ambaye ni huyu wa pili. Mfano, kipindi Ndugai anaugua mpaka kidogo akate roho mpaka kupelekwa India huyu wa pili ndo alikuwa na Ndugai.
Hapa ndio wapo kina Lucas Mwashambwa, Malaria 2, Tlaatlaah , ChoiceVariable , Pascal Mayalla etcKundi la nne ni kundi la wanachama wa kawaida ambao wapo CCM kwa mazoea tu, woga, kujikomba, ujinga, umaskini, na hata ushirikina.
Hawakuwahi kuachana kisheria inavyosemekana kwasababu za kidini. Japo naamini kwa kiwango cha ufisadi na kuogopwa na mfumo alichokua amefikia Job alikua anaweza hata kupata talaka ya bandia na serikali ikasema ni divorce certificate halali. Ila inasemekana pia kwamba Job alitoa matunzo yoote kwa huyo wa kwanza na watoto wake wakiwa wametengana. Issue hapa ni hizo mali nyingi alizojipatia Job kipindi akiwa na huyu wa pili. Binafsi naona wa pili anastahili hata kama wa kwanza ndo ana cheti cha ndoa.Labda wa kwanza walikuwa washa achana 🤷
Duh haya mambo aisee yasikie tu
Mkubwa wa ndoa ndo Kuna watt nadhani
Ni mrembo anajitahidi na biashara yakeWa Komba walitelekezwa completely hata madai ya baba yao kwenye chama walidhulumiwa.
Kuna yule dada “our age” alibidi aghairi mwaka chuoni auze chakula ili kukusanya ada. Yule ameolewa na mchambuzi wenu wa mpira.
Umeweka vizuri sana hiyo summary ya makundi.Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.
Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za madaraka kwenye CCM. Kundi hili ni kundi linalotumiwa na zile koo zinazomiliki CCM kutengeneza picha kuwa CCM kila mtu anaweza kuwa kiongozi.
Kundi la tatu ni kundi wezeshi ambalo ndani ya kundi hili wapo watu ambao hutumiwa na kundi la Koo za wenye CCM kuonesha kuwa CCM ni chama cha umma.
Kundi la nne ni kundi la wanachama wa kawaida ambao wapo CCM kwa mazoea tu, woga, kujikomba, ujinga, umaskini, na hata ushirikina.
Leo nimemsikiliza mtoto wa Marehemu John Komba (toka kundi wezeshi) akimnasihi mtoto wa Marehemu Job Ndugai toka kundi (Pangu pakavu tia mchuzi) juu ya maisha yao watoto wa Ndugai yatakavyokuwa baada ya baba yao kufariki
View attachment 3439424
Kumbe watoto wa Komba baada ya baba yao kufariki walitelekezwa na CCM😳
Sana.Ni mrembo anajitahidi na biashara yake
Huyu huyu.Duuh komba huyu huyu wa Wembe ni ule ule.....
Lah! Nimecheka asubuhi asubuhi.Kazi unaiweza shemeji.
Umeninunia kwanini shem, ndio maana nashangaa nakonda kumbe sababu ndio hiyo.
😉Kaolewa na mzee wa jambia sio? 😁😁😁
Ulitaka wawahamishie Lumumba?Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.