Mtoto wa marehemu John Komba amshauri mtoto wa Ndugai... CCM sikieni

Kwani Nape Nnauye yeye anafanya nini CCM kama sio kutembelea upepo?
Bahati ikikukuta kama hivyo sawa,.. na huenda Baba ake alishamtengenezea mazingira kama hayo kabla uhai haujamtoka. Lakini mwanaume kisa Baba kafa, hupaswi kuanza kuwananga unaohisi walikuwa marafiki wa Baba wakusaidie, kifupi kwenye maisha haipendezi kutia tia huruma sana machoni pa watu for consideration hata kama ni mtoto wa mtu mkubwa.
 
Kwahiyo unarudia makosa aliyofanya baba yako
Baba hakufanya makosa. Alinilea inavyitakiwa ndio maana nimeweza kuwa na familia yangu, kujitegemea na kuishi na jamii bila matatizo. Huko alipo hana kesi kwa Mungu ya kuniachia mali ya wizi
 
Assets zilizotokana na ccm mara zote zinaisha chap chap before even you know it!
Na vile Kongwa palivyo pagumu subirini mnyukano baina ya wajomba, wake wenzake, machawa n.k
hakuna Mgogo mwenye ubavu wa kuingia mali za Ndugai ambaye wake zake moja ni Mchaga na mwingien Mpare. Cha kuomba hao wake zake tu ndo wasigombane lakini hamna cha baba wala mama wala mjomba wala kaka mtu. Cheza kwingine lakini siyo palipo Mchaga na Mpare
 
Kwani Wana hati miliki? Pumbavu wakubwa Hawa.
 
Political science.nanyi mjifunze hivi ndio mtaeza toa ccm madarakani lakin Kwa njia ya kufanya uana harakat uchwara na kutafuta huruma nje ya nchi mtasubir xnaa
Yaani wewe umeona CHADEMA inatafuta huruma toka nje. Mimi naona CHADEMA huwaambia wanaoisaidia na kuikopesha CCM toka nje wakijue chama wanachokisaidia kuwa ni cha WAHUNI (Kwa mujibu wa H. Polepole)

Halafu hilo neno "Political science" umeliandika kumaanisha nini?
 
Apambane kama baba yake alivyopambana anadhani ye ni mtoto wa mwinyi?
Komba hakuwaanda watoto zake
Ana bint yake mmoja anaitw S alikuwa anamsumbua sana mama yao zamani,kipindi hicho mzee yupo
Wakati huo mama komba ukikutana naye mama komba kweli Machen ya dhahabu gari kali,miradi kama shule ipo nk
Nashangaa kusikia mambo yameenda mrama

Ova
 
Dogo anafananisha mwanakwaya na mzee kazi 🤣🤣🤣
 
Hawa wazee pesa huwa wanapeleka wapi hadi watoto wao wanazunguka kutafuta msaada wa laki tano.

Aibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…