Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Hawajiongezi,,yaani anaenda kujirusha mda huu bila hata kufikiri anaweza kuharibu image ya mgombea urais,,sasa mnyonge akiona eti analipa milioni na ushee kwenda kupiga pushapu,,si ataona huyu si mwenzetu?
Yaani na ndio mtoa mada kashindilia hapo hapo chadema wanakazi sana mwaka huu
 
Achana na hii habari, hiyo Yatch club ina member zaidi ya 1000 na kila member kwa mwaka analipa 1M. Sasa piga 1M mara 1000 unapata 1B, watu waliwekeza bana daaah!!!
Acha kabisa mkuu - hapo ni nje ya cost zote zinazo patikana hapo ya yatch club
 
Aisee?Kumbe ndiyo uchawi unavyopatikana?Yaani nikisema tu hii bei ni kubwa kwa walio wengi tayari naishia kuwa mchawi?
 
mfano wa kiongozi bora huanzia ktk familia yake mwenyewe, ukishindwa kuiongoza familia yako vizuri kamwe usitarajie kuongoza watu wengine halafu ukategemea wakuelewe au wakuamini. kila mmoja wetu ajitahidi kuwa kiongozi bora wa familia yake.

Nasikitika kusema hizo ni zama za kale.
 
Wananchi kutoka Namtumbo au nanjilinji ndani ndani watayajuaje haya mkuu.


Sio kila alieko dar Yuko mjini [emoji1]
 
Huu ukoo utamalizwa na Faru John wakome kwenda msituni
 
Unataka kusema kila anaeingia pale yatch ana boti ???
 

Roho za kisiasa ndani ya umasikini.
 
No siyo,pale hata Wewe ka una rafiki yako na ni member pale anaweza kukupa namba yake ya uanachama ukaenda ukanywa na kula kwa kutumia kadi hiyo
Kama na wewe ni member naomba hiyo ofa walau nikanywe tu
 
Hivyo ndio viwanja sasa ngoja niongeze bidii ya kutafuta hela.
Viwanja vya hivyo vya kulipia dola500 ndiyo vinakuwa madanguro watu wanasex uchi kwenye makochi na kutumia madawa ya kulevya waziwazi na mashoga kibao ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…