Unajua hamueleweki ndio maana nasema mnalazimisha mambo, hebu twende taratibu kwanini hao waendesha bodaboda hawaipendi hiyo kazi? Na je ubaya wa bodaboda ni hizo ajali?Siyo kulazimisha, narudia tena hapa kijiweni hayupo wa kukwambia kuwa anapenda kuwa bodaboda.
Nimesema tafsiri ya laana kwetu hapa inaenda mbali na zaidi ikihusisha maafa na aibu ktk jamii.
Kwa mantiki hii nimekuekeza kuwa siku moja ukaone madhara ya hizi bodaboda namna vijana wanavyokufa na kuwa vilema kwa siku, utakuja useme bora hata malaya maana baadae anaweza kubadilika na kuwa mcha Mungu, lakini je akishakufa bodaboda?
Usichokielewa ni nini ndugu mbona yote tumeshakujibu.Unajua hamueleweki ndio maana nasema mnalazimisha mambo, hebu twende taratibu kwanini hao waendesha bodaboda hawaipendi hiyo kazi? Na je ubaya wa bodaboda ni hizo ajali?
Kwenye maisha haturingani Mkuu.Bodaboda ni kazi kama kazi nyingine madam income inaingia.Ninachokiona kwa Bodaboda ni kukosa semina elekezi ya usalama Barabarani.Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Laana inatazamwa ktk michakato na madhara ya kazi yenyewe ktk jamii. Kama kazi ni ilmradi kupata kipato basi hata kilimo cha bangi kinalipa ndugu.Kwenye maisha haturingani Mkuu.Bodaboda ni kazi kama kazi nyingine madam income inaingia.Ninachokiona kwa Bodaboda ni kukosa semina elekezi ya usalama Barabarani.
Kuna boda wangu ninayemtumia,anasomesha watoto wengine wapo Sekondari na university, tuache dharau.
Note:Ukiona watu hawaishobokei kazi ujue hailipi,ingekuwa Biashara ya kukodisha bodaboda hailipi basi usingeona watu wanaishobokea.
Kwa hiyo waendesha bodaboda wote unawafahamuViongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
Huku kwetu hatuwaoni hao watoto wa viongozi kama hapo kwako wapo twambie ni wa kiongozi yupi ili hoja ifungwe.Kwa hiyo waendesha bodaboda wote unawafahamu
Kama kuna enoe chademe walifanikiwa ni kuandaa kundi la vijana wajinga kupitiliza ,yaani huyu mpuuzi anatukana watu ,nyie mnataka kuhalalisha kwa kutaka kusema kwa nini watoto wa wakubwa hawaendeshi boda boda.Badilikeni binhinevyo mtaendelea kulalamika kwa kuendeshwa na waliofeli maadarasa kama akina LEMAHuku kwetu hatuwaoni hao watoto wa viongozi kama hapo kwako wapo twambie ni wa kiongozi yupi ili hoja ifungwe.
Sehemu kubwa ya hizo ajali husababishwa na aina ya uwendeshaji wao wenyewe, sasa ukisema bodaboda hawaipendi hiyo kazi kwa sababu ya ajali unanishangaza. Hizo zengine ni changamoto za kazi na ndio kwanza nakuamsikia wewe kuwa et bodaboda hawaipendi hiyo kazi kwa hizo sababu.Usichokielewa ni nini ndugu mbona yote tumeshakujibu.
Bodaboda hawaipendi kwa sababu nyingi miongoni ni pamoja na,
1. Usalama wa uhai wao kuwa hatarini zaidi kuliko kazi nyingine,
2. Changamoto kubwa za uendeshaji wa shughuli yenyewe kama vile kukamatwa hovyo na askari, kuzuiwa kuingia mjini ambako ndiko kuna abiria wengi, kuwekewa masharti magumu ya ulipaji wa fedha kwa "boss", ulaghai na kulubuniwa ktk mikataba ya mikopo ya pikipiki, nk.
Wewe ni kiongozi wa ccm au bodaboda?Kama kuna enoe chademe walifanikiwa ni kuandaa kundi la vijana wajinga kupitiliza ,yaani huyu mpuuzi anatukana watu ,nyie mnataka kuhalalisha kwa kutaka kusema kwa nini watoto wa wakubwa hawaendeshi boda boda.Badilikeni binhinevyo mtaendelea kulalamika kwa kuendeshwa na waliofeli maadarasa kama akina LEMA
Ila mbona mkuu watoto wa viongozi hatuwaoni kwenye ajira nyingi tu iweje muwaulize kwenye bodaboda tu?Huku kwetu hatuwaoni hao watoto wa viongozi kama hapo kwako wapo twambie ni wa kiongozi yupi ili hoja ifungwe.
Na nini kimesababisha uendeshaji wao huo mbovu tupe jibu hapa.Sehemu kubwa ya hizo ajali husababishwa na aina ya uwendeshaji wao wenyewe, sasa ukisema bodaboda hawaipendi hiyo kazi kwa sababu ya ajali unanishangaza. Hizo zengine ni changamoto za kazi na ndio kwanza nakuamsikia wewe kuwa et bodaboda hawaipendi hiyo kazi kwa hizo sababu.
Zitaje uambiwe na uoneshwe watoto wao, je ni ualimu, udaktari, jwtz, police, au ipi?Ila mbona mkuu watoto wa viongozi hatuwaoni kwenye ajira nyingi tu iweje muwaulize kwenye bodaboda tu?
Wapo watu wengi Sana wameshobokea ukahaba na wanasomesha. Usniangalia kipato pekee angalia laana ya kazi husika.Kuna boda wangu ninayemtumia,anasomesha watoto wengine wapo Sekondari na university, tuache dharau.
Note:Ukiona watu hawaishobokei kazi ujue hailipi,ingekuwa Biashara ya kukodisha bodaboda hailipi basi usingeona watu wanaishobokea.
Mtotoo wa kigogo atafanyaje hiyo kaziii?? Wale huwenda wanamajukumu mengine , Kwa mantiki hiyo hatutafanana kwenye vyanzo vya mapatoo, Kila mtu Kuna namna MWENYEZI MUNGU atamjalia namna gani apate mkate wake wa Kila sikuuu, Kwa taaarifa yako wapo watu ni matajiri WAKUBWA lakini wameanza chini kabisaa, kwahiyo kuwatukana watu wanaohangaika ni namna gani walishe familia zao, na kusomesha eti WAMELAANIWA ni utovu wa NIDHAM na kumdhalau MWENYEZI MUNGU mtoa riziki. Hata mfagia soko usizarau KAZI yakeee. Kama unaona boda boda ni laanaa awafungulie office Sasa. Hovyo kabisa.Hapa unakwepa hoja, siyo lazima wote wawe ofisini au wabunge la khasha!
Kwanza twambie kwa nini hakuna hata mtoto wa kiongozi hata wa ngazi ya chini ambaye ni bodaboda? Je hii ni bahati mbaya mbona kazi zingine wapo?
Na hii ya riziki havihusiani Ndiyo hadaa yenyewe hii, kwani kabla ya bodaboda kuingia hapa walikuwa hawakati riziki?
Mwisho ni kwamba ujue hata laana inayosemwa pia iko ktk muktadha wa madhara ya kazi yenyewe. Je unajua ni bodaboda wangapi wanakufa au kuwa walemavu kwa siku?
tuambie mtoto wa waziri nani au rais yupi au katibu mkuu yupi anaenfeaha bodaboda kama hutaonyesha wewe ni moja ya wanufaika wa mfumo wa ccm uliofel kutengeneza ajira ndio maana watoto wetu wamegeuka bodaboda.Kwahiyo wote ni watoto wa hao?? Achenii siasa za matusii. Mtu alikaa ukoo, Leo hiii Arusha inapendeza barabara nzuriii, halafu mtu unatukana Ajira za watu wanaolea familia zao eti wanafanya KAZI za kulaaniwaa??
Utajiri unaweza kupatikana hata kwa wizi, ukahaba,ama ufedhuli mwingine wowote.Kwa taaarifa yako wapo watu ni matajiri WAKUBWA lakini wameanza chini kabisaa, kwahiyo kuwatukana watu wanaohangaika ni namna gani walishe familia zao, na kusomesha eti WAMELAANIWA ni utovu wa NIDHAM
you are out of context na kwa kuwa ni mjinga nitakujibu kulingana na ujinga wako kama ifuatavyoMbona hoja ya kijinga kwani watoto wote wasio wa viongozi wanaendesha bodaboda hadi uhoji watoto wa Kitila mkumbo kutokuendesha bodaboda? Mbona hauhoji hao watoto wa Kitila kutokuendesha Taxi au kuwa madereva wa kuendesha viongozi?
Kazi ya laana ni kujiuza na uwizi tu!Usiangalie hela tu. Kama unaangalia hela tu utaishia kusema hata wizi ni kazi, hata kujiuza ni kazi, n.k
Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine.
Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda?
Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda?
Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.