Mtoto wa mkubwa yupi anaendesha bodaboda? CCM acheni hadaa

kwa hio mmetengeneza bomu la bodaboda kwa watoto wa watu huku watoto wa kitila mkumbo na madelu wakitaftiwa kaz BOT na TRA, CCM ni mandezi kweli kwa taarifa yenu tumewashtukia bodaboda wote nchin kataen ccm maana haina nia njema na nyinyi.
 
huko thailand hadi watoto wa viongoz wanaendesha tuambie hapa tanzania ni mtoto wa waziri nan anaendesha bodaboda usipotaja wewe pia ni mjinga pamoja na andiko lako.
Kwani Watoto wa viongozi kama Wana option nyingine Kuna ulazima wa wao Kuendesha bodaboda?
 
Ni mtu mvumilivu saana asiyeweza kukuambia ukweli kwamba wewe ni mjinga

Hata huwezi kutambua madaraja ambayo yapo tu na hayatakoma Milele!

Enzi na enzi, watu wa madaraja mbalimbali walikuwepo tu, Matajiri wakubwa walikuwepo, watu wa kati na wa mwisho pia walikuwepo,

Dunia bado ni ile ile, tatizo lako na hoja yako, unataka nchi nzima iwe ni watu wenye uwezo tupu, na tukiwa wote wenye uwezo kama Mo na Bahkresa ni nani atamuuzia mwinzie?

Lakini hujatambua pia kwamba, kila mtu anapigana kuondokana na hali ya umasikini! Kwa hiyo huwezi kuidharau kazi yangu na kuiita ni kazi ya laana kisa wewe kwa mapenzi na upendo wetu tulikupa ubunge na kutokana na posho ulizokuwa unazipata ukaondokana na umasikini kupitia sisi!

Halafu unarudi kwetu kutukania kazi zetu?

Huo ni upumbavu!

Kazi ya laana mpaka leo ni kujiuza na kupora mali na uwizi, rushwa n.k
 
Reactions: Tui
huko thailand hadi watoto wa viongoz wanaendesha tuambie hapa tanzania ni mtoto wa waziri nan anaendesha bodaboda usipotaja wewe pia ni mjinga pamoja na andiko lako.
Kwa hiyo wakiendesha watoto wa viongozi ndio inakuwa ajira inayokubalika?Watoto wa wenye uwezo bila kujali vyama wanakuwa na fursa zaidi kuliko watoto wa raia wa kawaida.Hali ipo duniani kote.Jiulize watoto wa Lema sasa hivi wako wapi?Wanasoma Unga limited Primary School?Kiongozi unatakiwa uongoze kwa vitendo na mifano bila hivyo ni a pot calling a kettle black.
 
Ulivyouliza hilo suali umenikumbusha filam ya Michael Moore 'Fahrenheit 9/11', kuna sehemu alisema wanaokwenda vitani au wazalendo wa kimarekani ni wale watoto wa masikini tu kwa vile wanaahidiwa kusomeshwa bure wakijiunga na jeshi. Hakuna mtoto wa tajiri aliyejiunga kwenda kupigana vitani Iraq au Afghanistan.
 
tuambie mtoto wa waziri nani au rais yupi au katibu mkuu yupi anaenfeaha bodaboda kama hutaonyesha wewe ni moja ya wanufaika wa mfumo wa ccm uliofel kutengeneza ajira ndio maana watoto wetu wamegeuka bodaboda.
Juuuu ni ukosefu wa ajili timamu, kwahiyo unaishi Kwa kujiringanisha na wengine kwenye vyanzo vya mapatoo?? Hujui muendesha bodabodaa kesho anaweza kuwatajiri kuzidii hao waliyokuwa wamelelewa kanada?? Maishaa ya utafutaji hatutafanana kikubwa mkono uingie kinywaniiii? Au mnataka waache KAZI ya bodabodaa nao wakawe wezi wa magari apo arushaa?? Watu natoka mbaliiii, Leo amewadharau na kuwaita WAMELAANIWA lakini akumbuke wao na laana zao wameenda kumpokea na akashangiria UWEPO wao hao wenye laana zao. Hakuna nchi Dunia nzima wote watakuwa watoto wa mawaziriiii. Usidharau mtu yeyotee hujui keshoo
 
Reactions: Tui
kwa hio mmetengeneza bomu la bodaboda kwa watoto wa watu huku watoto wa kitila mkumbo na madelu wakitaftiwa kaz BOT na TRA, CCM ni mandezi kweli kwa taarifa yenu tumewashtukia bodaboda wote nchin kataen ccm maana haina nia njema na nyinyi.
Kwani duniani vyanzo vya mapatoo vinalinganaaa?? Kila Mumoja Kuna namna atafanikiwaaa, usiiishi Kwa kujiringanisha na wengine kikubwa wewe pambana na kile unachoona kitakutoa maishaniiii. Leo hiii yukijana Alie kua kanada watoto wake wako apa kwenye shule ipiii. Hata mchimba mawe na usidharau anaumuhimu wakeee. Heshimu KAZI yamtuui inayompa kipato halaliii. Kuwatukana wenzio kwamba wamelaaniwaa, hili bila shaka usikute jamaa alivuta Ile sigara karii, maaana kule kanada walishaihalalishaaaa. Duuuuuuh
 
Kwahiyo wote ni watoto wa hao?? Achenii siasa za matusii. Mtu alikaa ukoo, Leo hiii Arusha inapendeza barabara nzuriii, halafu mtu unatukana Ajira za watu wanaolea familia zao eti wanafanya KAZI za kulaaniwaa??
Ww mataga tuliza kalio hilo
 
Acha kutetea ujinga kazi halali ya mtu huwezi kuita laana, wakati imeandikwa utakula kwa jasho
 
Reactions: Tui
Nchi ina watu wengi hii, lazima fursa ziwe nyingi kila wakati, huwezi kuita kazi ya mtu ni laana wakati havunji sheria wala hajafanya jambo baya kwenye kazi yake
 
Reactions: Tui
Mkuu kusema kwamba hakuna mwendesha bodaboda mwenye kupenda hiyo kazi ya bodaboda hilo nakataa, tuongee uhalisia msilazimishe kulitetea hilo neno lenu "laana". Maana naona mnataka kufanya kazi ya bodaboda ionekane ni kama umalaya vile.
Kwani ni uongo?
 
Una hoja dhaifu sana kijana[emoji706][emoji706]
 
Na nini kimesababisha uendeshaji wao huo mbovu tupe jibu hapa.

Kwa taarifa ni kwamba zaidi ya 47% ya ajali zote Kati ni bodaboda
Mimi ndio nataka wewe ueleze kwa vp ajali za bodaboda iwe sababu za madereva wa bodaboda kutoipenda hiyo kazi ya bodaboda? Maana hizo ajali wana sababisha wenyewe kwa aina ya uendeshaji wao.
 
Wanasema ni kazi ya baraka ila watoto wao hawaifanyi
 
Kwani ni uongo?
Ndio ni uongo, zipo kazi ambazo unaweza kusema hakuna anayezipenda mtu hufanyia shida tu kama zile za viwandani zenye kuhatarisha afya ya mtu kazi ambazo hutakiwi kufanya muda mrefu au zile kazi zenye kudharirisha ila bodaboda si moja wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…