Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
inazekana ni style yake ya kufikisha ujumbeHuyo jamaa anazingua sana.
kuna tatizo,hy misheni italeta chokochokoSasa kwa hali hii kweli kuna kitu kita fanyika hapo.
Ndiyo maana nikasema, jukumu la kuwaondoa m23, apewe Tanzania pekee. Na si EAC.
Hata maji ya kunywa hamna, leo unataka kupigana vita isiyokuhusuNdiyo maana nikasema, jukumu la kuwaondoa m23, apewe Tanzania pekee. Na si EAC.
Ni vituko basi tuuHata maji ya kunywa hamna, leo unataka kupigana vita isiyokuhusu
Forodha ya Kenya na TZ inatosha kuwanyoosha hoa ma war mongers. Kenya na TZ wakubaliane ktk hili dhidi ya mu 7 na PK...Tanzania na Kenya wanatakiwa kuungana kumshughulikia Rwanda. Ikiwezekana watimuliwe ktk East African community.
..As long as Tanzania and Kenya do not speak with one, Rwanda, lazima ataleta chokochoko.
,..Tanzania na Kenya wanatakiwa kuungana kumshughulikia Rwanda. Ikiwezekana watimuliwe ktk East African community.
..As long as Tanzania and Kenya do not speak with one, Rwanda, lazima ataleta chokochoko.
Hata Kama TZ ikiingia uyo Muhooz hana uwezo wa kutuzuia.Kishapiga mstari anayependa vita aingie, hasa wale jamaa zangu wanaosema TZ wakiamua watakachukua Rwanda ndani ya masaa machache, wote mnakaribishwa mstari wa mbele
Labda kwa akili za wakomunist wasio na akili kama wewe na sample ya kina Mwigulu, Kenyans are not stupid kumpoteza Uganda ambaye ni key trade partner na biggest client of the port of Mombasa kwa mgogoro usiomhusu au kuathiri uchumi wakeForodha ya Kenya na TZ inatosha kuwanyoosha hoa ma war mongers. Kenya na TZ wakubaliane ktk hili dhidi ya mu 7 na PK.
Rwanda haihitaji Muhooz kulinda mipaka yake, mnaongea vita kama tamthiriya, Tanzania will never go to war with Rwanda labda kama ikishambuliwa na Rwanda lakini sio kwa sababu ya Congo au M23, mnachoongea ni fantasy tuuHata Kama TZ ikiingia uyo Muhooz hana uwezo wa kutuzuia.