Mtoto wa Museveni Kainerugaba atema cheche kuhusu Rwanda na DR Congo. Afrika Mashariki wanyamaza

Mtoto wa Museveni Kainerugaba atema cheche kuhusu Rwanda na DR Congo. Afrika Mashariki wanyamaza

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Kipindi flani hawa Rwanda na Uganda wasingetamba hivi. Mimi nawaonea huruma sana DR Congo. Hawa miaka mingi wanachezewa.

Toka miaka ile na wakoloni na sasa Waafrika wenyewe kwa wenyewe. Tena wa hapahapa East Africa. Hapana kwa kweli. Ningekuwa na uwezo ningewasaidia Congo. Hawa wapuuzi wanaamini kwa East Africa wao ni untouchable.

Tunajua Ruto si mtu wa Vita. Anaonekana anapenda sana amani. Hajui wakati mwingine amani haipatikani isipokuwa kwa ncha ya Upanga. Basi ndo hivyo. Msome mtoto wa Museveni. Huyu jamaa kichwani empty sana. Basi tu.

Screenshot_2022-12-03-23-26-39-486_com.twitter.android~2.jpg
 
..Tanzania na Kenya wanatakiwa kuungana kumshughulikia Rwanda. Ikiwezekana watimuliwe ktk East African community.

..As long as Tanzania and Kenya do not speak with one, Rwanda, lazima ataleta chokochoko.
Forodha ya Kenya na TZ inatosha kuwanyoosha hoa ma war mongers. Kenya na TZ wakubaliane ktk hili dhidi ya mu 7 na PK.
 
Usisahau uhasama uliopo kati ya Kenya na Uganda ,unafiki tu ,Burundi ana bifu na Rwanda ,Rwanda Vs Congo , Tanzania pia na Kenya kulikuwa na bifu za chini , unafiki tu labda mambo yanabadilika baada ya luto kuingia .
Hii EAC ni garbage
..Tanzania na Kenya wanatakiwa kuungana kumshughulikia Rwanda. Ikiwezekana watimuliwe ktk East African community.

..As long as Tanzania and Kenya do not speak with one, Rwanda, lazima ataleta chokochoko.
,
 
Forodha ya Kenya na TZ inatosha kuwanyoosha hoa ma war mongers. Kenya na TZ wakubaliane ktk hili dhidi ya mu 7 na PK.
Labda kwa akili za wakomunist wasio na akili kama wewe na sample ya kina Mwigulu, Kenyans are not stupid kumpoteza Uganda ambaye ni key trade partner na biggest client of the port of Mombasa kwa mgogoro usiomhusu au kuathiri uchumi wake
 
Back
Top Bottom