witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Huyo Chioma mi mwenyewe simuamini....huyu demu huwa hawezi chomoa chochote anachoambiwa na Dave! Mtu wa show off sanaNa mi hili ndo linanitatiza kila mwaka mtu wake anakufa tena yule wa mwisho nae alizama kwenye swimming pool
Nimeona huko kwenye comment kwa wanaija watu wanauliza davido what did you do to ife?
Kama ni kweli anawatoa kafara namuonea huruma chioma kama ye hausiki!
Na ndoa alikuwa anaitaka kwa sana tu, sasa sijui kutangaziwa kuolewa kaamua kujilipua[emoji1745][emoji1745]