Mkuu davido tumeanza kumjua/kumskia miaka kadhaa nyuma kutokana na kazi yake ya usanii na tangu davido ametoka kwenye game hajawahi kushuka
Kwa Tanzania tumekuja kumfahamu vizuri kipindi ambacho ameshirikiana na msanii wetu Diamond mwaka 2014, nadhani ili kujaribu kutrace back history ya usemacho tukianzia hapo sio mbaya, tuanze na mwaka huu
1.Mwaka 2022 amefiwa na Mtoto wake
2.Mwaka 2021 alifiwa na rafiki yake karibu
3.Mwaka 2020 alifiwa na nani wa karibu?
4.Mwaka 2019 alifiwa na nani wa karibu?
5.Mwaka 2018 alifiwa na nani wa karibu?
6.Mwaka 2017 alifiwa na nani wa karibu?
7.Mwaka 2016 alifiwa na nani wa karibu?
8.Mwama 2015 alifiwa na nani wa karibu?
Karibu utujuze mkuu