TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

Kuna masela walikuja kasi kumshambulia aliyesema ni kafara

Wamepotea ghafla
 
Halafu ni wewe ndo umeenda kumwaga kiswahili kwenye ile blogu[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]

Someone mama hellenah

Kama ni wewe umetisha[emoji119][emoji119][emoji119][emoji28]
Hahahaaa umeniua mbavu, hayo mambo ya watu wa facebook sina lol
 
RIP
wamemuachaje mpaka akafika huko?
Ndo madhara ya pesa nyingi bila akili.
Mtoto wa kiswazi aka kucheza na maji mpaka siku akikanyaga coco beach
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa wenzetu sijuagi nn shida wao kupotezwa ni kama kuchinja kuku tu. R.I.P Takeoff
Yaani [emoji631] ni shida sana kuishi huko
Bunduki zipo nyingi kuliko population yao, kila mmoja ana bunduki na ni 400m zimo mikononi mwa watu

Kweli wanauwana kama kuku
 
Halafu utashangaa kuna raia atakuja kukubishia hapa kwamba hakuna kitu kama hii khaaa.
Kwa wajuvi wa mambo walaa hakuna kujiuliza saana iko wazi sacrificez
Kuna member mwenzao mmoja anavaaga vikuku miguu yote miwili yeye anashughulika na pombe tuu yaani kila awepo pombe ipo. Ni mwamba ila ndo anavaga vikuku dah CubanatheChiefPries
Ila kuna muda huwa wanajuta sna
Kama kwenye insta ya davido ukimuangalia huyo mwanamke wake week nzima jamaa alikuwa nae karibu sanaa saanaa. Lakini furaha ilikuwa km 0
Kuna binadamu wana roho ngumu sana kwa kweli
Unaua ili uzidi kuwa Top daa halafu wa karibu kabisa

Hao waganga walaaniwe
 
Hakuna kitu sipendi kwenye nyumba kama swimming pool nikienda nyumba yoyote na watoto kuna swimming pool nakosa amani kabisa nimeshuhudia kwa macho mtoto akitaka kuzama wa miaka 5 japo tulimuwahi kumtoa lakini kila nikikumbuka lile tukio nakosa amani kabisa ndio maana najisikia vibaya kwa family yoyote waliyowahi kupoteza mtu kwenye hali hii. Mimi nyumba ya swimming kama kituo cha police, family nyingi zimepitia hii hali ni hatari sana. Nawashauri wazazi msikubali watoto zenu kuingia humo mimi hata kama najuwa mtoto anajuwa kuogelea lakini akiingia katika maji sina amani. RIP
Sio swimming pool.tu hata haya majakuzi ni hatari kwa watoto
 
Swimming sio kwa watoto tu kuna dada juzi raia wa kenya mtu mzima kafa kwenye swimming na alikuwa anaogelea huku anajirekod
Kuna nini kwenye Swimming Pool?, maana kuna katoto ka sister kanapenda sana maji sasa itabidi niwe nakakataza kwenda kucheza kwenye maji
 
kwenye swimming kuna maji tu boss. zingatieni sana kuwa na uangalizi na mtoto maana watoto wanapenda maji kuliko hata samaki
Kweli mkuu haka katoto ntakua nakazuia kasiwe kanachezea maji maana kanapenda sana kucheza na maji, isije siku na sisi yakatukuta km yaliyomkuta Davido kwa ifeanyi
 
Back
Top Bottom