TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

Kwahiyo mkuu, mtoto wa Davido yeye hatakiwi kufariki? Au anatakiwa kufariki Kwa mtindo upi ili awe amefariki kihalali kama mtoto wa Mzee Mosha hapa Moshi tuliotoka kumzika jioni hii?
Kuna vitu vingine unatakiwa upevuke ili uelewe
 
We babu tena usijichanganye as if you can check me! Ok
Davido nimemfahamu tangu 2011, kwenye track inaitwa “back when” ft naeto c.
Mimi ni Wizkid fc to the core so simfatilii davido kivile, ila najua imeshalalamikiwa sana kwamba his associates die mysteriously.
Davido mwenyewe mama yake alifariki kiajabu ajabu hata yeye mwenyewe anasema hajawahi kuelewa story ya kifo cha mama yake (baba ni bilionea)
Kwasababu majina umeomba ngoja nigoogle nikuletee...
Ila namkumbuka rafiki yake Tagbo , maana girlfriend wake “caroline” alimhenyesha sana davido kwa madai ya kumtoa kafara, ndo kwenye ile nyimbo ya fia alimuadress “ Caroline save your drama for soap opera, I don’t need it”
Una kumbukumbu nzuri sana[emoji122][emoji122]

Tena hapo kwa mamaake mzazi,kinda mysterious death [emoji26][emoji848]
 
Inasikitisha sana mkuu kuamini mambo haya
Sijawahi kuamini kwa sababu father alikuwa anapinga sana na ukimuambia huyo ni mchawi anamfokea na kumkaripia sana
Alikuwa haogopi na anawapiga wakimzingua
Alikuwa anatuambia muaminini Mungu tu

Hawa wanaofuata masharti mpaka unamtoa na mzazi au mtoto ajabu sana for what utajiri au mapenzi daa
Mchawi japo aliumbwa na Mungu pia kilichomponza ni uasi wake tuu. Ila alikuwa malaika kipaumbele pia.
Wanaadamu tumeubwa tofauti mkuu. Kila mtu kuna sound ya pekee huwa anaisikia kuhusu aina ya maisha anataka kuishi na ndo maana kuna wataftaji,wapambanaji,wazee wa tamaa na wavivu wa asili.
Tamaa a kuwa tofauti ndio huwapelekea watu kufikia huko.
Madharau,manyanyaso wayapatayo toka kwa binaadamu wenzao kutokana na umasikini wao huwaponza wakajiingiza huko. Si kweli kwamba wote huwa wanapenda wengine ni msukumo tuu wa jamii zinazowazunguka
 
List ni hii;
1. Dj olu
2.Chime Amaechi
3.Tagbo Umeike
4.Ahmed
5.Teejay dmw
6. Obama bmw
7. Fortune( huyu nae alizama kwenye maji)
8. Mwanae
9. Acha mihemko, usikurupuke tena!
Nashkuru Kwa kunielewesha mkuu, kwahiyo hayo majina ni watu tu ambao wamefariki around Davido tu? Kuna ushahidi wowote wa kuniaminisha kuwa hao ni watu wa karibu sana na Davido kama ilivo Kwa rafiki yake aliefariki mwaka Jana na Mtoto wake?

Kibinadamu tu wewe tangu ukiwa mdogo hadi sasa umepata vifo vya watu wangapi ambao wanakuznguka? Maana neno around ni pana ata kama nitafiwa na jirani yangu huku huyo ni basi ni around me, je Kwa upande wako Ukiwahesabu watafika wangapi hadi Leo hii?

Hivi unajua kama ukiwa na pesa au maarufu unakuwa na connection ya watu wengi sana kuliko mtu fukara?

Mfano Steve Nyerere amezika watu wengi sana ambao wapo kwenye mzunguko wake Kwa sababu yeye ni maarufu na anazungukwa na watu wengi

Mtu ambae amefanikiwa au maarufu anakuwa na marafiki katika kila stage anayopitia, na Kwa sababu anafanikiwa au maarufu mara nyingi mzunguko wake waga haufi tofauti na sie wakina kajamba nani

Vitu vingine ni ujinga tu kudhani kwamba kuna kundi la watu Fulani wao hawatakiwi kufa na kama wakifa basi vifo vyao sio vya halali, kwahiyo davido watu wake wa karibu wanatakiwa kuishi milele?

Ni fikra za kimaskini ndio zinatusumbua na wala sio kingine, na wala sio kwao tu ata kwako IPO siku yatakukuta, we tafuta tu hela na Mungu akusaidie uzipate kuna siku utaitwa FREEMASON na siku ukifiwa na mtu wako wa karibu utaambiwa umtoa kafara

Hesabu za probability zinasema kwamba popote pale penye number kubwa ya watu au vitu basi kuna % kubwa za matukio kutokea kuliko pale ambapo kuna number ndogo

Kwahiyo ukizungukwa na kundi kubwa la watu jua kwamba utashiriki sana kwenye Sherehe za harusi na utashiriki sana kwenye misiba, ila kama huna watu basi kuna matukio wewe utakuwa unayaskia tu Kwa watu
 
Watoto wa wenye nazo wanafia kwenye swimming pool,na wale wetu kwenye mito na ziwani at the end tumezaliwa ili tufe-atazaa wengine.
 
Nimeishia hapo kwenye steve nyerere, Aisee wewe una low IQ... steve nyerere amezika watu wengi kwasababu anataka kula michango ya msibani lmaooo
Tafadhali usiniquote tena
 
Hapa tuendelee kumsikiliza Davista Mata youtube, kuna mtu atakuja tu kusimulia hiki kisa.
 
Nimeishia hapo kwenye steve nyerere, Aisee wewe una low IQ... steve nyerere amezika watu wengi kwasababu anataka kula michango ya msibani lmaooo
Tafadhali usiniquote tena
Nashkuru kukufahamu wewe mwenye high IQ unaejua watu wanaofariki kihalali na ambao hawafariki kihalali

Tafuta hela hadi wenye Akili za kishamba na kijinga kama zako wakuite freemason na siku ukifiwa wakwambie umetoa kafara
 
Nimeishia hapo kwenye steve nyerere, Aisee wewe una low IQ... steve nyerere amezika watu wengi kwasababu anataka kula michango ya msibani lmaooo
Tafadhali usiniquote tena
[emoji23][emoji23][emoji23]...
 
Uchawi upo mkuu ila hili la davido sidhani kama Lina uchawi ndani yake isipokuwa ni ajabu tu Swimming pool kuachwa wazi na wadada wa kazi kumsahau kabisa...!! Inaumizaa ilaa watu hasa wasanii marufu hawajifunzi ..
Najua upo ila siuamini kwa kuutumia au kuukubali

Kweli mtoto alikuwa ndani ya maji kwa mda mrefu kama ajali iliyotokea na wafanyakazi wa ndani wako police wakihojiwa

Ila ukiangalia Twitter za wanaijeria utaona wanavyoamini kuwa ni ndumba na wengine wanawahusisha wanawake kuwa na bifu na dem wa Davido kwa kuwa alisema anampenda huyo zaidi ya wanawake wote

Hatuwezi kujua labda aliuwawa ndio wakamtupa humo au aliwatoroka na kuingia mwenyewe humo

Sijui hili Sakata maana maneno ni mengi sana mpaka uchunguzi uishe
Yaani jengo kubwa hivyo lazima kuwe na cctv ama
 
Mchawi japo aliumbwa na Mungu pia kilichomponza ni uasi wake tuu. Ila alikuwa malaika kipaumbele pia.
Wanaadamu tumeubwa tofauti mkuu. Kila mtu kuna sound ya pekee huwa anaisikia kuhusu aina ya maisha anataka kuishi na ndo maana kuna wataftaji,wapambanaji,wazee wa tamaa na wavivu wa asili.
Tamaa a kuwa tofauti ndio huwapelekea watu kufikia huko.
Madharau,manyanyaso wayapatayo toka kwa binaadamu wenzao kutokana na umasikini wao huwaponza wakajiingiza huko. Si kweli kwamba wote huwa wanapenda wengine ni msukumo tuu wa jamii zinazowazunguka
Nimekuelewa vizuri sana mkuu
Mimi naomba na ninawaombea wanangu na ndugu wote tusijekuwa na tamaa za hivyo

Wote tumefanikiwa kwa bidii zetu na kufanya kazi kwa nguvu na maarifa na sio akili bali kudra za Mungu tu

Asante kwa ufafanuzi huo
 
Shukra mkuu lakini usimsemee mtu.
Kila mtu ana siri kubwa saana linapokuja suala la mafanikio na ndo maana utakuta ni twins lakini hawafanani mafanikio kamwe.
Tukutane muda wa matumizi tuu ila mara nyingi huwa hatuulizani juu ya namna tumepata hizo pesa.
Wenye pepsi na coca mpaka leo hawasemi na hawatokaa waseme abadani hiyo formula
 
Back
Top Bottom