Huyo Chioma mi mwenyewe simuamini....huyu demu huwa hawezi chomoa chochote anachoambiwa na Dave! Mtu wa show off sanaNa mi hili ndo linanitatiza kila mwaka mtu wake anakufa tena yule wa mwisho nae alizama kwenye swimming pool
Nimeona huko kwenye comment kwa wanaija watu wanauliza davido what did you do to ife?
Kama ni kweli anawatoa kafara namuonea huruma chioma kama ye hausiki!
Noma sana asee...kwa watoto inauma kishenziMe nadhani huwa wanafanya sherehe za kuwaaga maana huwa wanajua nini kinakwenda kutokea.
Ndo style zao hizo.
Maisha ni kuchagua na wamehagua hivyo acha waishi life is short mazeee
Huyu David kila mwaka Kuna mtu anadondoka kwenye crew yake naona mwaka huu katoa his own bloodNakutegemea kwenye hizi Habari unipe kidogo maana mimi sio mshabiki kabisa wa hao Nigerian
Wamemuuwa labda wanawake wanaomchukia dem wake amaView attachment 2403867
Huyu Dav achapwe viboko aseme ukweli asiachwe hivi hivi!Nafuatilia Twitter zao
Labda tutayajua mengi
Chef katulia hajapost kituAisee mimi hamna kitu sipendi kama maji na mambo ya swimming pool yanipite tuu.kama namuona chioma ngoja nikamtembelee kwenye account yake
Naona wote wametulia itakuwa maumivu makali sana yakipungua watapostChef katulia hajapost kitu
Kaona sio ishu kama mimba ntabeba ingine afterall anazalia marekani huko!Huyo Chioma mi mwenyewe simuamini....huyu demu huwa hawezi chomoa chochote anachoambiwa na Dave! Mtu wa show off sana
Na ndoa alikuwa anaitaka kwa sana tu, sasa sijui kutangaziwa kuolewa kaamua kujilipua[emoji1745][emoji1745]
Halafu utashangaa kuna raia atakuja kukubishia hapa kwamba hakuna kitu kama hii khaaa.Ila ukiangalia Twitter zao wa Nigerians wanasema ni ndumba maana nao hawajambo kwa Imani za kishirikina
Hizi baadhi ya tweets zao
Halafu compare na likeszilivyo utajua kuna kitu View attachment 2403865View attachment 2403866
Ila binaadam atasahau chap ngoja jamaa akabidhiwe mamlaka na mkuu wao shetani kisha atoe ngoma hatariiiIla ukiangalia Twitter zao wa Nigerians wanasema ni ndumba maana nao hawajambo kwa Imani za kishirikina
Hizi baadhi ya tweets zao
Halafu compare na likes [emoji106] zilivyo utajua kuna kitu View attachment 2403865View attachment 2403866
Beki tatu wote wamedakwaNaona wote wametulia itakuwa maumivu makali sana yakipungua watapost
Mfano akose mimba [emoji26][emoji26][emoji849][emoji849][emoji849]Kaona sio ishu kama mimba ntabeba ingine afterall anazalia marekani huko!
Duniani kuna siri nyingi sana,
aaah asichapwe viboko akamatwe abanwe kengele atataja wenyeweHuyu Dav achapwe viboko aseme ukweli asiachwe hivi hivi!
Hawa wamerudiana juzi kati hapo...mwanzo ilikuwa tifu tifu, sasa sijui demu kasarendaHalafu utashangaa kuna raia atakuja kukubishia hapa kwamba hakuna kitu kama hii khaaa.
Kwa wajuvi wa mambo walaa hakuna kujiuliza saana iko wazi sacrificez
Kuna member mwenzao mmoja anavaaga vikuku miguu yote miwili yeye anashughulika na pombe tuu yaani kila awepo pombe ipo. Ni mwamba ila ndo anavaga vikuku dah CubanatheChiefPries
Ila kuna muda huwa wanajuta sna
Kama kwenye insta ya davido ukimuangalia huyo mwanamke wake week nzima jamaa alikuwa nae karibu sanaa saanaa. Lakini furaha ilikuwa km 0
witnes tuachane na story za Davido nimeipenda hiyo profile pic yako eb njoo pm tuongee kiduchuuuuuuu πMfano akose mimba [emoji26][emoji26][emoji849][emoji849][emoji849]
usiyaogope maji jifunze kuogelea kuna mzee tukuyu huko mda huu anatengeneza SAFINAAisee mimi hamna kitu sipendi kama maji na mambo ya swimming pool yanipite tuu.kama namuona chioma ngoja nikamtembelee kwenye account yake
π€π€π€π€ Wapopo na wabongo wanafana fanana hiviHalafu utashangaa kuna raia atakuja kukubishia hapa kwamba hakuna kitu kama hii khaaa.
Kwa wajuvi wa mambo walaa hakuna kujiuliza saana iko wazi sacrificez
Kuna member mwenzao mmoja anavaaga vikuku miguu yote miwili yeye anashughulika na pombe tuu yaani kila awepo pombe ipo. Ni mwamba ila ndo anavaga vikuku dah CubanatheChiefPries
Ila kuna muda huwa wanajuta sna
Kama kwenye insta ya davido ukimuangalia huyo mwanamke wake week nzima jamaa alikuwa nae karibu sanaa saanaa. Lakini furaha ilikuwa km 0
Acha usengee ongea hapa hapa livewitnes tuachane na story za Davido nimeipenda hiyo profile pic yako eb njoo pm tuongee kiduchuuuuuuu [emoji16]
moderator wanaona ujue iko kivumishi ulichokitumiaAcha usengee ongea hapa hapa live