TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

Kuna masela walikuja kasi kumshambulia aliyesema ni kafara

Wamepotea ghafla
 
Halafu ni wewe ndo umeenda kumwaga kiswahili kwenye ile blogu[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]

Someone mama hellenah

Kama ni wewe umetisha[emoji119][emoji119][emoji119][emoji28]
Hahahaaa umeniua mbavu, hayo mambo ya watu wa facebook sina lol
 
RIP
wamemuachaje mpaka akafika huko?
Ndo madhara ya pesa nyingi bila akili.
Mtoto wa kiswazi aka kucheza na maji mpaka siku akikanyaga coco beach
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa wenzetu sijuagi nn shida wao kupotezwa ni kama kuchinja kuku tu. R.I.P Takeoff
Yaani [emoji631] ni shida sana kuishi huko
Bunduki zipo nyingi kuliko population yao, kila mmoja ana bunduki na ni 400m zimo mikononi mwa watu

Kweli wanauwana kama kuku
 
Kuna binadamu wana roho ngumu sana kwa kweli
Unaua ili uzidi kuwa Top daa halafu wa karibu kabisa

Hao waganga walaaniwe
 
Sio swimming pool.tu hata haya majakuzi ni hatari kwa watoto
 
Swimming sio kwa watoto tu kuna dada juzi raia wa kenya mtu mzima kafa kwenye swimming na alikuwa anaogelea huku anajirekod
Kuna nini kwenye Swimming Pool?, maana kuna katoto ka sister kanapenda sana maji sasa itabidi niwe nakakataza kwenda kucheza kwenye maji
 
kwenye swimming kuna maji tu boss. zingatieni sana kuwa na uangalizi na mtoto maana watoto wanapenda maji kuliko hata samaki
Kweli mkuu haka katoto ntakua nakazuia kasiwe kanachezea maji maana kanapenda sana kucheza na maji, isije siku na sisi yakatukuta km yaliyomkuta Davido kwa ifeanyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…